Tuesday 16 April 2013

Re: [wanabidii] Leo Nimefika Tena Makao Makuu Ya Jeshi La Polisi

Pole Maggid. Nakuombea yote yenye heri ndugu yangu.
 
Kuna ahadi uliitoa huko nyuma kama utapata kuhusishwa na kumdhuru mwandishi yeyote basi utajiuzulu kabisa kwenye taaluma ya habari, ile nadhiri bado ipo?

On Tue, Apr 16, 2013 at 12:27 PM, ananilea nkya <ananilea_nkya@yahoo.com> wrote:
Pole kijana Maggid, kujenga nchi siyo lele mama, kuna mapito mengi.  Lakini haki na ukweli siku zote husimama viking'aa.
 
From: Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, April 16, 2013 4:32 AM
Subject: Re: [wanabidii] Leo Nimefika Tena Makao Makuu Ya Jeshi La Polisi

Maggid, pole sana. 

Ansbert Ngurumo
Dar es Salaam
Tanzania

On 15 Apr 2013, at 11:01 alasiri, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

Ndugu zangu,

Leo nilifika tena Makao Makuu ya Jeshi la Polisi. Nilikutana na Kamishna wa Polisi ( Upelelezi) Advocate Nyombi na Afisa mwingine wa Idara hiyo.

Kamishna Nyombi alinijulisha kuwa uchunguzi wa suala la Kibanda ungali ukiendelea. Nami nabaki kwenye kundi la watuhumiwa; tuhuma za kumjeruhi Absalom Kibanda.

Tumekubaliana nifike tena Makao Makuu ya Polisi Aprili 23.

Ahsanteni sana kwa kuendelea kunifariji kwenye kadhia hii iliyonikuta. Na hakika, nawashukuru sana kwa kuendelea kuniamini.

Ni dhahiri, kuwa kweli itakuja kudhihiri, hata kama kweli hiyo itachelewa kutufikia. Na tuwe wenye subira.
Maggid,
Dar es Salaam.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment