Monday 15 April 2013

Re: [wanabidii] Leo Nimefika Tena Makao Makuu Ya Jeshi La Polisi

Du Majjid kuna zaidi ya hilo au kuna kubwa gani hapo?

On 4/16/13, Didas Clemence <didasclemence@yahoo.com> wrote:
> Maggid,
>
> POLE SANA KUTOKA NDANI YA MOYO WANGU. YATAKWISHA, NDIO GOVERNMENT
> BUREAUCRACY HIZO.
>
>
> --- On Mon, 4/15/13, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:
>
> From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] Leo Nimefika Tena Makao Makuu Ya Jeshi La Polisi
> To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>, "mabadilikotanzania"
> <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> Date: Monday, April 15, 2013, 8:01 PM
>
> Ndugu zangu,
>
> Leo nilifika tena Makao
> Makuu ya Jeshi la Polisi. Nilikutana na Kamishna wa Polisi ( Upelelezi)
> Advocate Nyombi na Afisa mwingine wa Idara hiyo.
>
> Kamishna
> Nyombi alinijulisha kuwa uchunguzi wa suala la Kibanda ungali
> ukiendelea. Nami nabaki kwenye kundi la watuhumiwa; tuhuma za kumjeruhi
> Absalom Kibanda.
>
> Tumekubaliana nifike tena Makao Makuu ya Polisi Aprili 23.
>
> Ahsanteni sana kwa kuendelea kunifariji kwenye kadhia hii iliyonikuta. Na
> hakika, nawashukuru sana kwa kuendelea kuniamini.
>
>
> Ni dhahiri, kuwa kweli itakuja kudhihiri, hata kama kweli hiyo itachelewa
> kutufikia. Na tuwe wenye subira.
> Maggid,
> Dar es Salaam.
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment