Yona nimekuelewa katika hayo. Asante
--- On Tue, 4/16/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote: From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> Subject: Re: [wanabidii] KUTOA TAARIFA ZA MAWASILIANO YA ELEKTRONIKI NI KOSA LA JINAI To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> Date: Tuesday, April 16, 2013, 5:38 AM
Maoni yangu ni machache katika hili . 1 – Tunataka sheria ya mawasiliano ya elekroniki iangaliwe upya ili iweze kuendana na wakati wa sasa iliyopo sasa hivi ina mianya mingi ya watu haswa wahalifu kutumia mapungufu hayo kutenda makosa . 2 – mawasiliano mengi ya sauti au sms yanaweza kupatikana hata kwa njia ya mtandao tu kuna tovuti za kulipia zinazotoa huduma hizo za sauti na mtu anaweza kudownload akaenda kusikiliza na kama ni sms akasoma . 3 – kampuni za simu zina tabia za kuhifadhi mawasiliano ya watu , nashauri mteja awe ana uwezo wa kujua ni mawasiliano gani yake yaliyohifadhiwa na kama yamehifadhiwa kwa idhini yake au ya nani . 4 – pindi taarifa za mteja zinapohitajika na mtu mwingine lazima mteja au mmiliki wa namba husika ya simu ahusishwe maana siku hizi tumeona watu wanatumiwa sms na promosheni bila kujiunga wao wenyewe 5 – watumiaji wenyewe wa huduma hizi za mawasiliano wajenge utaratibu wa kujua na kusoma haki zao kama wateja wa huduma hizi na endapo wakidhulumiwa pia wajue njia za kufikisha suala katika vyombo vya sheria . -- Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
|
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment