Sunday 7 April 2013

Re: [wanabidii] KUDUNDWA HAKIMU MKAZI LUSHOTO: KILICHOTOKEA

Hivi kwa nini baadhi ya police hasa na viongozi wengi wa police ni wanene sanaaa? Sasa mtu unajiuliza-ikitokea dharura huyu anakimbiaje? Anakimbizaje majambazi? Analalaje chini na kusota, kupindukapinduka ili ashughulike na silaha? Pamoja na kwamba raia na viongozi wengine ni wanene-pamoja na baadhi ya wabunge, lakini ifike wakati serikali iweke kiwango cha mwisho cha size ya kiuno na tumbo la mtu ambaye ni ASKARI-awe wa police, JKT, JWTZ, FFU, Prisons (huko wanene sana prisons). Anayezidi size hiyo iliyowekwa-aachie ngazi. Labda itapunguza rushwa na tamaa ya kubambikiza kesi ili upate ulaji. Wembamba utaleta ungangari ktk kazi. Hili ni wazo la usiku huu!!

--- On Sun, 7/4/13, anna nyanga <luguanna@yahoo.com> wrote:

From: anna nyanga <luguanna@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] KUDUNDWA HAKIMU MKAZI LUSHOTO: KILICHOTOKEA
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, 7 April, 2013, 23:07

Mimi najua hayo, kwa hiyo inawezekana jamaa wameona kama Mheshimiwa kawazidi kete! kwa kufuta kesi.
Unajua pale Soni pia kulikuwa na mambo ya ajabu polisi walikuwa wanawafanyia vijana wa boda boda. Nikamweleza mkuu wa kituo wakati ule, na kumwambia kama hatachukua hatua aniruhusu mimi nichukue! 
Vijana wakaelezwa haki zao na wajibu wao!.
 
From: mutabaazi lugaziya <mjlugaziya@mail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, April 7, 2013 9:04 PM
Subject: Re: [wanabidii] KUDUNDWA HAKIMU MKAZI LUSHOTO: KILICHOTOKEA

Anna,

Wewe Lushoto unaijua. Huyu Bwana kabla ya kuja Lushoto, alikuwa Muleba. Nikiwa Hakimu Kagera, siku zile, tulikuwa na shida ya wafugaji(Wanyarwanda) kunyang'anywa mifugo yao na kisha mifugo hiyo kugawanywa kati ya mapolisi na wenye bucha Bukoba mjini.

Nilisaidia kupigana na hilo. Nilipoacha uhakimu, washirika hao walijipongeza, na kadhia ikaanza tena. Nikiwa Wakili, cha kufanya, nilipoweza, ni kuwatetea hao ndugu wasidhulumiwe.

Sasa kama hayo yalikuwa yanaendelea Bw. Juke akiwa huko, kwa hapa Lushoto hizo fursa hazipo. Kwa hapa, wanaishi hivyo hivyo, kufungua na kubambikia watu kesi. Kesi nyingi za Lushoto zinazoletwa mahakamani ni za "armed robbery", na baada ya "chochote" hupunguzwa na kuwa "wizi" wa kawaida, ambao baadaye huharibiwa ushahidi, na washtakiwa kuonekana "wameshinda", "Chochote"ninachokizungumzia ni mlungula, aka rushwa!!

Mbona unasahau kuwa katika maofisa wa polisi waliosimamishwa hivi karibuni, RCO wa Kagere, Peter Matagi(aliyekuwa bosi wa Juke) ametuhumiwa kubambikia watu kesi zisizo na dhamana kwa nia ya kushinikiza rushwa?

Nilipotoka Kagera walijipongeza kwamba "rafiki yenu mwenye kiherere kaondoka" mtaipata frresh" Nikiandika "memoirs" zangu za upande huo, wengi watashangaa!

MJL
--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
0 comments:

Post a Comment