Monday 8 April 2013

Re: [wanabidii] Kigogo TBC afumaniwa

Mimi simlaumu aliyeileta. Nalaumu unafiki wa kuileta halafu haina jina hata moja. Kamw mtu hana balls za kutoa taarifa jinsi ilivyo atuokolee muda kwa kuleta taarifa za maana...........

On 08/04/2013 9:51 AM, "Selemani Swalehe" <semkiwas@gmail.com> wrote:
Mwesiga mtoa habari kweli ni kiboko maana hiyo font aliyotumia hata kipofu atasoma hii habari. Mtu asiseme hajaona. Hii ndio ile wanasema Live bila chenga
 
Suleiman Swalehe
2013/4/8 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Inasikitisha ila mtoa habari kiboko kama nawaona wazee tambi tambi zao
wakimuenzi tyson lol

On 4/8/13, magreth Mulokozi <m.mulokozi@gmail.com> wrote:
> .................................................................
>
> Mwanamke mmoja ambaye amebainika kuwa ni Kigogo wa TBC amefumaniwa  katika
>  fumanizi  kati  yake- hawala  yake  wa muda mrefu, mstaafu wa TBC na
> Kigogo wa TRA akiwa  katika majukumu ya kazi hapa Mbeya.
>
>
>
> Safari hiyo ya kikazi kutoka  D'salaam kuelekea  Mbeya ilianza  kwa
> Kigogo  huyo
> mwanamke  kuchukua fungu  la  pesa  ili kuweza  kukamilisha jukumu  Nyanda
> za
> Juu Kusini mwa Tanzania, akiwa na wafanyakazi wengine wa TBC.
>
> Mwanamke huyu amekuwa akidaiwa  kuwachanganya mno  vigogo wa shirika hili
> ata katika maamuzi hadi  kuweza kumpa nafasi nyeti za shirika  hili.
>
>
>
> Mtoa taarifa  hizi anadai kuwa mama huyo  amekuwa akitumia kaumbo kake
> kama
> chambo kwa wanaume wakware ambapo mara nyingi wamekuwa  hawawezi
> kuruka  vihunzi
> vya ushawishi huo.
>
> Cha kushangazwa mara baada ya kuwasili  Mbeya wakiwa  katika majukumu yao
> kama kawaida  mara usiku mmoja (tarehe imehifadhiwa) yalisikika
> makelele  mengi
> ndipo watu wakajaa  mara  wakamuona mtu mmoja ambaye aliyejitambulisha kuwa
> mfanyakazi wa TRA(Jina limehifadhiwa) huku akirushiana makonde na kigogo
> mmoja mstaafu wa TBC(Jina limehifadhiwa), ambaye  kutokana na umaarufu wake
> watu waliokimbilia tukio hilowalimtambua kwa haraka.
>
> Huku chumba  kimoja kikiwa  wazi nguo  zikiwa zimetawanyika miongoni
> mwao  zikiwa
> nguo  za  ndani, khanga na suruali moja  ya  mwanaume ikiwa juu ya kitanda.
>
>
>
> Kila mmoja akidai  mwezake mwizi anamuibia mkewe. Lakini mtoa  habari hizi
> anadai kuwa  mama huyo ameolewa na mjeda mmoja. Si  Bosi wa TRA wala
> mstaafu wa TBC hawana ndoa  naye.
>
> Inadaiwa kuwa  Kigogo wa TRA alikuwa nae  kwa siku moja na siku ya pili
> aliaga na kuondoka kumbe alikuwa akimfuatilia nani anapika nae chungu
> kimoja.
>
> Ahmadi, ndipo alipotambua kuwa ni mstaafu mmoja wa TBC, alikuwa akivunja
> nae
> amri ya sita  kama yeye alivyokuwa akifanya.
>
> Mle mle alipokuwa amelala nae jana yake  ndipo alipomkaribisha yule
> mstaafu. Duu  kuokoa  jahazi mama mmoja kibonge aliokoa kwa kumchukua
> mwanamke mwezake na kumficha chumbani kingine cha  hoteli. Ikasaidia watu
> kuondoka na walinzi wa hoteli wakalimaliza lile soo kimya kimya, huku
> waliokimbilia tukio hilo wakipatwa na bumbuazi na  yaliyotokea na wengine
> wakijiokotea  pesa na business  cards.
>
> .....................................................................
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment