Sunday 7 April 2013

Re: [wanabidii] JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA KATIKATI YA JIJI LA DSM

Kama majengo yanajengwa chini ya Kiwango bongoland-India unaambiwa ndio kama salamu ya kila siku. Ukiona kwako kunaungua ujue kuna kwa wenzio kwingine kunateketea!!  Ona hicho kiambata.

Bado ile ya kusubiri inajengwa mnaiona halafu muingie kubomoa. Nani anapitisha michoro, kuangalia na ratios na kukagua ikijengwa halafu ndio mkabomoe ikiwa imeshafika ghorofa 16+. Mnapitisha mchoro wa hoteli kutoa eneo na hati miliki kisha mkaseme-inaunganisha kinyesi baharini-nani alikagua na kuidhinisha mchoro? Anajengaje kiwanda nchi ya kigeni kisichozingatia viwango vya effluent vya kuingia mtoni, pia hana waste stabilization pond anaruhusiwa kuunganisha maji taka mtoni na mnajua ni textile inatoa maji ya kemikali ambayo yanasababisha kansa? Wacheni danganya toto!! Kama usomi wa uinjinia wa ujenzi unakufundisha usalama wa majengo mpaka wa zima moto na uokoaji na lazima za vifaa vya uokoaji-utaruhusuje ghorofa za miji zipande hata manzese ambako ramani ya zamani haikuruhusu. Kama ilisema magomeni mwisho ghorofa mbili, kariakoo nne, posta kumi, ilala mwisho nne za serikali au taasisi maeneo maalum-watapandishaje uswahilini maghorofa watakavyo? matokeo ndio hayo uchochoro hadi uchochoro-maghorofa uchwara, kuziba hewa walio nyumba ndogo na kuongeza maradhi ya mapafu hata TB ambayo kwa sasa huambatana sana na HIV.

Tuwaombe wakamilishe ramani ya Dar mpya haraka kuboresha ile ya zamani na wazuie ujenzi wa maghorofa marefu kutokana na kutokuwepo vifaa vya uokoaji.

Iwe kama mataifa mengine-waruhusu watu wenye hela wanunue vifaa vya uokoaji hata helikopta serikali ije kulipa zinapotumika kuokoa. Kama mtu anaweza kuchangia chama hiki cha siasa -Milioni 500 za kitanzania, kingine milioni 700 au 300 huyu anaweza kununua winchi za uokoaji ulaya.  Uwekezaji uwe katika vifaa vya uokoaji pia.

Wamekufa vijana 2 kutokana na ajali ya gari. Badala ya kutafuta winchi ya kuwaokoa-masaa 16 yamepita watu wanawatazama bila ya kuleta winchi. Jee-vijana wa maandamano wangeandamania hapo na vifaa mbali mbali vya umeme wa solar au betri kukata hizo bati kama wanavyokata mageti ya majumbani, kuyeyusha vioo vya gari na kupora, kukata nondo, kuzipinda kwa kutumia nondo nyingine na kupanda madirishani-wangeshindwa kutumia ujanja na vifaa hivyo kuwanasua hao? Hivi ni vitu vya jamii pia mbona tumekaa na kutezama, kuwahoji mpaka wameaga dunia pamoja na msaada wa dripu walizopewa. Jeshi letu ambalo linapigana vita nje ya nchi na wana vifaa tele-hawana winchi za kuinua magari kusaidia majanga kama lori lililoangukia watu. Vitani inakuwaje lori lililobeba askari likipinduka au kutumbukia shimoni?  Na bado ajali za malori zitaongezeka-barabara ya Dar-Morogoro ni finyu na magari mengi, yanayokufa njiani kilimani na ktk kona mengi na kusababisha ajali.

Jee, haiwezi ikatolewa ruksa kwa matajiri kujenga barabara wakaita majina yao ili kupunguza gharama kwa serikali na kuondoa msongamano? wenzetu Ulaya wanauza mpaka miji watu wa uwezo wanagharimia miundombinu na kukusanya kodi na kuendelea kulipa ushuru wa serikali faida ikawa yake. Mfano-kuwe na barabara kutoka Kimara Temboni kupitia Mlonganzila kwenda Pugu road kufuata njia ya ng'ombe ya zamani barabara pana iwe ya malori tu-moja ya kwenda ingine ya kurudi kuelekea Moro-Mbeya etc? Tuseme hiyo itakuwa -Sabodo Road. Nyingine kutoka Mlandizi tarmac road kwenda Mbezi makabe-Wazo Hill-Bunju Bagamoyo kuungana na ya Mh Kikwete. Foleni na ajali si zitapungua? hii itakuwa Wema Sepetu Road na mihela yake akiweka hapo na kukusanya gate fee maisha na kuikarabati. Itatoka Morogoro Road-Msewe-Changanyikeni Goba-salasala kuungana na ile ya lami-Diamond Road au achukue ya Pugu Road-Ukonda-Kipunguni-Mbagala-Msongola. Hii itapunguza foleni balaa ya Kilwa Road-Mbagala na Chang'ombe. Wasanii wana magari ya ufahari na majumba ya mamilioni zaidi ya moja-hawawezi kuchangia maendeleo? Au kuchanga na kununua chombo kimoja cha uokoaji? Kuna ulazima kabisa bajeti ya Wizara ya Miundo Mbinu iwe kubwa inunue kila mwaka kifaa muhimu cha uokoaji nchi kavu na baharini. Wawekezaji wa madini au Gas-aambiwe kwanza mojawapo alete chombo cha uokoaji ardhini kwa GVT maana migodi nayo na machimbo ya kokoto huporomoka. hata eneo likifungwa bado huenda kuchimba na wakafukiwa huko. Kwa mbinu hii ya kulazimisha mafao ya uwekezaji kuwa kuleta mashine ya uokoaji GVT itapunguza ukali wa bajeti kujinunulia mashine za gharama. nao wasilete kanyaboya bali quality machines.

Mtanzania anapochakachua jengo mfano la shule ambako watoto wake pia watasoma, jengo la ofisi ambapo nduguze pia watafanyakazi hapo au kutumia huduma-anajua wazi kwamba anapeleka maafa. Unapong'oa mataluma ya train-unajua fika kuwa itaanguka na utaua nduguzo, unapobomoa momba la maji unaelewa fika utafanya kaya yake ipate usumbufu kupata maji. Unapojenga bondeni kwenye mto na njia ya maji ya mto au ardhi chepechepe-unajua hasara na matatizo yake. Unapofisadi na kutoa matokeo mabaya ya ujenzi unaelewa utata unaouweka. Unapoharibu vyanzo vya maji kwa kukata miti, kuchungia mifugo, kulima au kuchimba madini na kupekecha mtoni unaelewa. Unaona na kusikia mifano ya milima inayolimwa kuporomoka kuzika watu bado unalima na kuchungia milimani na kuwasha moto kulegeza ardhi na mawe. Wewe mmbogo lini utakuwa na akili ukajihurumia na kuzingatia sheria, kujilinda mwenyewe na maisha yako, kuzingatia utu kwa binadamu wenzako?

--- On Sat, 30/3/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA KATIKATI YA JIJI LA DSM
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, 30 March, 2013, 11:45

Madam Kiwasila,
Nikweli tumekua tunalalamika sana juu ya ujenzi holela usio fuata sheria. Nakumbuka ile mada ya Waziiri wa Mazingira Dr. Huvisa baada ya kuamua kuzifungia zile hotel zilizokua zinatiririsha kinyesi baharini ulivyokua moto hapa jamvini, na jinsi tulivyo gusia suala la kuzingatia sheria za ujenzi, michoro na ukaguzi wa majengo kabla hayajaanza kutumia.
 
Nashukuru kitu kimoja, nimeona miongoni mwa watu walioenda kuangalia hili tukio la kuporomoka kwa jengo ni pamoja na Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ndugu Sadiki. 

Naamini wamejifunza kitu na ninamatumaini makubwa kwao kua sasa watafanya kitu; kwa maana ya kuzibana sector na idara zinazo shughulikia ujenzi. 

Tofauti na hapo waheshimiwa hao wategemee kuendelea kutoa mkono wa pole kwa wahanga wa hizo ajali; maana kama unavyosema zitaongezeka huko mbeleni ni kweli.
Alexander

--- On Sat, 30/3/13, nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com> wrote:

From: nevilletz@gmail.com <nevilletz@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA KATIKATI YA JIJI LA DSM
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, 30 March, 2013, 10:27

Ingekuwa siku ya kazi ingekuwa balaa!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 30 Mar 2013 10:02:00 +0000
To: Wanabidii googlegroup<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA KATIKATI YA JIJI LA DSM

Tushukuru Mungu haikuwa siku ya kazi kilio kingekuwa kikubwa zaidi mji wetu unavyokuwa
na msongamano wa watu na magari sijui ingekuwaje. 

Date: Fri, 29 Mar 2013 11:01:08 +0300
Subject: Re: [wanabidii] JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA KATIKATI YA JIJI LA DSM
From: samchaz307@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

BADO WATU WAPO ENEO LA TUKIO WAKIWEMO VIONGOZI WAKUBWA WA MKOA;ASILIMIA KUBWA YA WATU WAMEOKOLEWA HUKU VIFAA DUNI VYA UOKOAJI VIKIKWAMISHA KAZO HIYO;WATU KADHAA WANAHOFIWA KUFA JAPOKUWA SINA IDADI KAMILI, ILA BADO TUNAENDELEA KUPOKEA TAARIFA ZAIDI JUU YA HILO

On Fri, Mar 29, 2013 at 10:57 AM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Jamani tusaidieni updates za jngo hili, hali ikoje...
 
K.E.M.S.
From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 29 March 2013, 0:01
Subject: Re: [wanabidii] JENGO LA GHOROFA LAPOROMOKA KATIKATI YA JIJI LA DSM

Nimesikia breaking news radio one kwamba ni kweli jengo la ghorofa 16 limeanguka lote na inahofiwa watu takriban 60 wanaweza kuwa wameathirika
On Mar 29, 2013 9:41 AM, <johnlemomo@gmail.com> wrote:

Kuna taarifa za jengo la ghorofa kuporomoka katikati ya jiji la Dar es salaam - mtaa wa Mosque.

Waliofika kwenye eneo la tukio watupe taarifa zaidi.

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment