Thursday 25 April 2013

Re: [wanabidii] HAWA WABUNGE WA UPANDE HUU SIWAELEWI?

Umesema kweli isack hii nchi sijui ikoje bana,maana  hata pale baadhi ya wabunge wasipounga mkono hoja, na hata pale wanapotoa shilingi kivumbi kingine kinahamia kwa spika anapowahoji watu wasiojulikana idadi yao bali kwa sauti za ndioooooooo na siooooooooo matokeo kila siku waliosema ndioooooo wameshinda. ni ajabu na kweli. Tatizo la mifumo litaisha lini? Hadi walioweka hii mifumo watakapoondoka madarakani.

2013/4/25 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
JAMANI hata mimi jana niliona kituko BUNGENI pale mbunge wa simanjiro Mh. CHRISTOPHER Ole Sendeka alipoanza kuchangia bajeti ya wizara ya maji alianza kwa kuitetea wizara kana kwamba yeye ndo waziri wa maji then akaanza kulalamika kuwa wananchi wa simanjiro wanatembea 40km kwa mguu kufuata maji, sasa mimi nikabaki najiuliza huyu mbunge kaanza kuitetea wizara then analalamika tena akasema serikali ni sikivu, nikashindwa kumwelewa kabisa kabisa!i
  
Lakini si wote wako wabunge wenye akili kabisa mfano mzuri ni Mh. kangi Lugola yeye hakumugunya maneno pale alipowakosoa mawaziri kwa kupeana upendeleo ktk suala la maji kwamba majimbo ya mawaziri yanapewa upendeleo wa wazi kupata maji kuliko majimbo yenye wabunge wa kawaida, akaishangaa wizara kwa kupeleka wataalamu wa kuchimba visima katika jimbo la mwibara ilihali ziwa victori linaonekana umbali wa kilomita nane tu, kwamba garama za kuchimba visima litachukua pesa nyingi kuliko kuvuta maji kutoka ziwani. Lugola hakuunga mkono na akawapa wabunge picha ya akina mama wanogombea maji kisimani ili wabunge waione na akaifananisha na nyoka wa dhahabu wa MUSA wakati akiwatoa wana wa ISRAEL  utumwani MISRI
 
  BIGUP KANGI LUGOLA , lakini wabunge wengine mmmmmmmh! wanafanyakazi ya kujikomba kwa serikali ili waendelee kuganga njaa wasijetoswa baadae

2013/4/25 mngonge <mngonge@gmail.com>
Wameenda bungeni kwa jeki ya chama hivyo ni wanafiki wanataka wananchi tuwaone kwenye TV kwamba wanatutetea wakati huo huo wako upande wa kutetea serikali ya chama chao. Wabunge kama hao tuwaangalie sana hawatufai kabisa

2013/4/25 Selemani Swalehe <semkiwas@gmail.com>

Jamani nisaidieni toka kutolewa kwa wale wabunge watano naona kama mfumo mzima wa bunge umebadilika sana. Juzi nilikuwa naangalia bunge likijadili bajeti ya wizara ya maji lakini kilichonishangaza ni kuwa mbunge anasimama ananza kwa kuunga mkono hoja mia kwa mia hata kabla hajachangia chochote. Mshangao ulinipata zaidi pale alipoanza kuchangia kwa kutoa malalamiko mengi mpaka  kusema  hadharani kuwa hakuna mbunge wala waziri hapa bungeni anaeweza kusimama na kusema kwamba kwenye jimbo lake hakuna shida ya maji. Sasa mi nashindwa kuelewa kwa nini mchangiaji huyu huyu alisema anaunga mkono hoja tena mia kwa mia? Bungeni ni jumba la sanaa hivyo kuna mchezo wa kuigiza ama vipi? Kwa nini asiseme kuwa siungi mkono hoja kwa sababu kuna shida kadha wa kadha kuhusu wizara hii. Au akisema atafukuzwa kwenye kundi? Nashindwa kuelewa mtu kuunga mkono hoja mia kwa mia halafu unalalamika na kukosoa. Mia kwa mia si ina maana hakuna kasoro hata moja? Na hii mara nyingi inatokea kwa wabunge wa upande mmoja, mi sielewi jamani nisaidieni hapo.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment