Friday 26 April 2013

Re: [wanabidii] Hamisi Kigwangalla : Tunaanzisha Nzega Community Bank

Hongereni sana napenda mabadiliko

Kama mtahitaji ushauri wa TEHAMA tafadhali mnaweza kunijulisha au hata kutembelea huko kidogo , pia kuwe na kamati ya watu wachache kwa ajili ya kushugulikia suala la benki na muwe waangalifu sana maana katika nchi yetu mradi fulani ukiharibika au kuvurugika ndio kukua kwa siasa kwa mpinzani wako .

2013/4/26 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Dr. HK
 
Congrats, napenda na kuheshimu ubunifu kama huu kwa manufaa ya wananchi wetu. Aidha uanzishaji wa Banks una changamoto zake, kama mlijiandaa haitawapa shida lakini kama ndio wazo linaanza basi mnatakiwa kutulia sana katika maamuzi mbalimbali ili kukamilisha mchakato wa uanzishwaji wa benki hiyo.
 
K.E.M.S.
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 26 April 2013, 0:59
Subject: [wanabidii] Hamisi Kigwangalla : Tunaanzisha Nzega Community Bank

Kwenye kikao cha Nzega Full Council (Baraza la Halmashauri ya Wilaya ya Nzega) tumefanikiwa kupitisha uamuzi wa kuanzisha Nzega Community Bank, mtaji unatokana na pesa za ushuru wa huduma tulizokusanya kutoka kampuni ya Resolute (Tanzania) Ltd baada ya harakati zangu nikishirikiana na wananchi wa Nzega. Ni uamuzi wa busara na wa kimabadiliko, ni imani yetu kuwa tutakamilisha mapema mchakato wa kusajili benki hiyo
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment