Wednesday 24 April 2013

Re: [wanabidii] Fw: NZEGA INA NAFASI 3 ZA MDs!

Hamis,
Nimependa jinsi unavyolitetea jimbo lako. Maana hukuishia tu kuwafahamisha watu juu ya nafasi za kazi lakini umeenda mbali na kuonyesha kua kuishi Nzega sio kupotea. Natamaini utapata hao madaktari. 
Alexander


From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, April 24, 2013 12:05 PM
Subject: [wanabidii] Fw: NZEGA INA NAFASI 3 ZA MDs!


------Original Message------
From: Hon. Dr. Hamisi Kigwangalla
To: muxalumni@googlegroups.com
ReplyTo: Hon. Dr. Hamisi Kigwangalla
Subject: NZEGA INA NAFASI 3 ZA MDs!
Sent: Apr 24, 2013 12:24 PM

Jamani eh,

Naomba niwafikishie taarifa kwamba Nzega, ambapo mimi ni Mbunge, kuna nafasi tatu za madaktari wa tiba (Medical Doctors), wanaotafuta ajira tafadhali tuwasiliane ili tuwezeshe mchakato wa ajira hizo kufanikiwa.
Ndugu zangu, ukipata ajira Nzega utapapenda tu na hautotamani kuondoka! Maana ni rahisi kufika popote pale, kuna lami kutoka Dar -Nzega - Mwanza na sasa tunajenga lami nyingine toka Nzega - Tabora. Tabora kuna kiwanja kikubwa cha ndege kinakamilishwa, pia kuna kiwanja cha ndege Shinyanga na precisionair inatua kila siku - Shinyanga ni 45min away tu.
Kuna mawasiliano mazuri na rahisi ya simu za viganjani - airtel, vodacom, tigo na zantel - zote zinapatikana. Kuna mawasiliano mazuri ya internet kwa modem zote. Kuna umeme wa grid usio na shida. Hospitali ni kubwa na ni kongwe, ina theatre na wards zote. DMO ni colleague Dr. Mwombeki, ni mtu safi tu. Nyumba za kuishi zipo. Kuna viwanja vya kutosha vya kujirusha (kwa wale washabiki, kama mimi). Hali ya hewa si ya joto wala baridi, ni nzuri sana. Hakuna vumbi wala udongo wa kunata wa tope. Kuna fursa za kufanya biashara za kumwaga. Kuna wachumba wazuri (kwa wale walio serious tu!)

Karibuni makomredi na ma-colleagues!

Regards,
HK.

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



0 comments:

Post a Comment