Matinyi,
Ulipata kusema kuwa Joyce Banda anastahili ki hapo. Nafikiri ajue fika kwamba hata kama atakwenda mahakama gani asilani hawezi kupora haki ya Watanzania, akizidisha kimbelembele ataambulia kichapo tu na Wamalawi watamfunga jela kwa kuwaingiza katika vita ambayo siyo Hastings Kamuzu Banda wala Bakili Muluzi wala Bingu wa Mutharika walithuibutu kufanya hivyo. Huyo mama anatafuta shida na ataipata tu. Tusubiri.
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Mobhare Matinyi
Sent: Tuesday, April 02, 2013 7:13 PM
To: wanabidii@googlegroups.com; mabadilikotanzania@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] FW: Malawi to take Tanzania dispute to court
Baada ya Joyce Banda kuvinjari Washington DC, amepata nguvu sasa.
Je, "marafiki" zetu wanatukwepa kwenye hili?
Urafiki huo..........................................
Nyerere alisema: "Wewe Tanzania, .... huwezi kuwa rafiki na taifa kubwa; hawana marafiki hawa, wana maslahi tu. Ni lazima utakuwa urafiki wa ajabu ajabu hivi."
Alikuwa akimwambia mwanadiplomasia mmoja ambaye sasa ni waziri mwandamizi huko Darisalama.
Matinyi.
Aljazeera reporting:Malawi to take Tanzania dispute to court |
Malawi President Joyce Banda says her country is giving up on mediation efforts in the long running border dispute.Last Modified: 02 Apr 2013 05:36 |
Banda, left, announced decision to go the court after returning from visits to the US and Britain [EPA] |
|
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment