Asante hakukuwa na mtandao. Tulifanikiwa kutoka lakini kufika mbele kidogo karibu na Ruvu darajani nyuma ya njia ya reli lori limeziba njia tena. Coaster na gari nyingine ndogo tukapita njia za porini tumetoka. Mabasi na magari makubwa tumeyaacha hapo maana hawana kwa kupita si ya Dar au Moro.
-----Original message-----
From: anna nyanga
Sent: 19/04/2013, 19:50
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Fuso la nyanya laziba njia ya Dar-Iringa
Poleni sana.
Itabidi kuwahamasisha fast jet walete ndege hako kaeneo. Kuna watu mipango yao inaharibika!!
________________________________
From: "achengula@gmail.com" <achengula@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>; "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Friday, April 19, 2013 5:16 PM
Subject: [wanabidii] Fuso la nyanya laziba njia ya Dar-Iringa
Natoka Moro kuelekea Dar kwa basi mbele ya Chalinze nakutana na foleni ya magari. Hakuna gari linalopita kwenda Dar au Moro. Inasemekana kuna fuso la nyanya limeanguka na kuziba njia. Ni mbali sana kutoka hapa nilipo hadi eneo la tukio kama kilomita 5 hivi. Wanaondoa nyanya ili liondolewe. Hatujui saa ngapi tutatoka.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment