Sunday 14 April 2013

Re: [wanabidii] Death Announcement

 

 

Oohh..........Noooooooo!!!

Nalimjua huyu Bwana. Alijiuzulu uDC baada ya kutoa taarifa ya njaa, akiwa DC wa Ifakara(?), na kupingwa sana na Ma DC wenzake wa Morogoro pamoja na "Serikali ya Mkoa"

Aidha alikuwa na uwezo mpana wa kuongea lugha za kimataifa zaidi ya mbili (kifaransa na Kireno) na alikuwa mmoja wa mhimili wa  Tanzania Mozambique Friendship Association (TAMOFA), na akina Jenerali na George Mkuchika. Poleni sana.

Poleni wafiwa. Mungu ailzae roho yake mahali pema peponi!

MJL

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment