Tuesday 16 April 2013

Re: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] Leo Nimefika Tena Makao Makuu Ya Jeshi La Polisi

Thanks Simon for updating us about our Mjengwa. Brother be courageous we are praying for you during this difficult time you re passing through. God is not human being. He will stand with you and the truth will always  stand.
Mwassa.

From: Simon Mkina <smkina@gmail.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, April 16, 2013 9:46 AM
Subject: Re: [Mabadiliko] Re: [wanabidii] Leo Nimefika Tena Makao Makuu Ya Jeshi La Polisi

Maggid,

Hili nalo limekuja, litakaa, litaisha. Litapita na maisha yatasonga bila kujali matokeo yake.

Hayo ndiyo maisha yalivyo. Leo uko wewe, kesho wako wengine na wengine na mzunguko hauishi. Utadumu hata mwisho wa sayari hii.

Simon Mkina
Njombe

2013/4/16 Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com>
Maggid, pole sana. 

Ansbert Ngurumo
Dar es Salaam
Tanzania

On 15 Apr 2013, at 11:01 alasiri, Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com> wrote:

Ndugu zangu,

Leo nilifika tena Makao Makuu ya Jeshi la Polisi. Nilikutana na Kamishna wa Polisi ( Upelelezi) Advocate Nyombi na Afisa mwingine wa Idara hiyo.

Kamishna Nyombi alinijulisha kuwa uchunguzi wa suala la Kibanda ungali ukiendelea. Nami nabaki kwenye kundi la watuhumiwa; tuhuma za kumjeruhi Absalom Kibanda.

Tumekubaliana nifike tena Makao Makuu ya Polisi Aprili 23.

Ahsanteni sana kwa kuendelea kunifariji kwenye kadhia hii iliyonikuta. Na hakika, nawashukuru sana kwa kuendelea kuniamini.

Ni dhahiri, kuwa kweli itakuja kudhihiri, hata kama kweli hiyo itachelewa kutufikia. Na tuwe wenye subira.
Maggid,
Dar es Salaam.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mailto:mabadilikotanzania%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Simon Martha Mkina
Executive Chairman  & Founder
Tanzania Journalists Alliance (Tajoa)
Author/Columnist/Editor/Publisher
Tanzania
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment