Wednesday 17 April 2013

Fw: [wanabidii] NISIAMBIWE SIMPENDI MAMA WATOTO WANGU!

Mkumba,
Acha chokochoko zako hizo!
Behind any successful discussions between men are women!
So, instead of being behind she is in front, so what is your problem with that?
After all, huu ni mwaka wa akina mama na kwahivyo mwache amalizie kula matunda ya Uhuru na katika 2015 aje mchumba wa Dr Slaa nae kula matunda yake!
In fact, picha ile imewekwa pale Zanzibar Ni Kwetu kwasababu tumefurahi sana kumuona mama JK anaweka mfano mzuri kwa wake wa wakubwa wengine - yaani 
badala ya kuingia mitaani The Hague/Amsterdam kufanya shopping yeye anawasilisha wanawake wake wa nchi hii katika  yale mazungumzo  ! What else do you want?
Huyu mama angelipigwa picha yupo shopping basi wewe ungelikuwa wa mwanzo kupiga kelele, sasa kapigwa picha anahudhuria mikutano aliyoiendea unapiga kelele
vile vile. Oh my goodness, sisi Watanzania ni wagumu kweli! Sijui nini mtu atende apate kumfurahisha Mtanzania!
For your info mimi sijakamatwa kama unavyonitakia!

...bin Issa.


From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, April 17, 2013 9:56:36 AM
Subject: [wanabidii] NISIAMBIWE SIMPENDI MAMA WATOTO WANGU!

Jamani, samahanini. 
Tafadhalini nisiambiwe kuwa simpendi mama watoto wangu, lakini haya ya Mzee JK naona sasa yanazidi.
Inakuaje Rais akiwa anaongoza ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na ujumbe wa serikali ya nje 
hawezi kuachana na mama watoto wake hata kwa dakika moja? Hivyo hawa wawili hawawezi kuachana hata kidogo 
ili baba akafanyakazi tuliompa Watanzania? Hivyo kweli patakuwa na mazungumzo hapo na mama akiwa pembeni?
Naona hata Membe yamemshinda haya maanake kajiweka kipembeni.
Is our delegation on an official visit or on a love affair?

Ona mwenyewe hapa kutoka ippmedia:

--





0 comments:

Post a Comment