Sunday 24 March 2013

[wanabidii] WANA MABADILIKO KWANINI MNAJULIZA NA KUJIPA MAJIBU MASWALI WENYEWE

Nadhani muombeni aliyenifungia basi anifungulie niingie nitoe majbu.Mie naona kabisa Mnajiuliza maswali au mnauliza maswali ambayo mie ndiye napaswa kuyajibu,ila tena naona mnayajbu wenyewe.Hii kweli si kujifurahisha...where is real change?Au mnafanya Falsafa!!!
Nadhani ingekuwa vema kuwa,napata nafasi ya kujieleza na kuwajibu kila dukuduku mliyonayo na hapo muweze kwenda mbele katika mabadiliko.Mara ohh Ludo yuko Keko...ohh sijui ni Spirit ya Ludo...ohh sijui his arse be blast...mtatoka povu kwa sababu zisizo za msingi.
Mie napata email zile tu ambazo siwezi kujibu ambazo Angela amesema zipo kwenye Wavuti tu.Na pia naweza kutuma message kwe wote, na Moderators wa Wanamabadiliko.Wanabidii naweza Changia ila siyo nyumbani maana nilijisajili hapa tu,natumia wanabidii ili kuona kama nitapata nafasi ya kupost views zangu.Pia,natuma kwa wengi nadhani haziwafikii,ila nikutuma kwa utaratibu wa kawaida naotumia kutumia wengine na nikatuma kwa Chambi Chachage,basi lazima Wanamabadiliko wazipate...Maswali meeeeeengi yananijia...why???

NAOMBA UFAFANUZI:
1.Je,inawezekana ninasetting mbaya ambayo haitumi kwa wengine ila kwa huyu tu?Mbona nikutuma kwa wengine sipati jibu?
2.Je,nifanyeje ili nipate nafasi ya kuchangia pale panapohitajika?Maana naona kabisa mjadala fulani watu hawana facts,ila wanatafuta tu uhalalishaji wa mjadala bila facts.NAUMIA.Na hivyo napata kukumbuka msemo kuwa...WATU WANGU WANA ANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA...Very true1
3.Mnaruhusu niingie kwa email nyingine na kwa kutumia jina hili lenyewe?
4.Moderator naomba guidelines za kujiunga ili nipate kuleta mabadiliko pia...For no one has nothing to give...!!I can contribute somthing for my country.

Mwisho,naomba msiendelee kutuchanganya mie na Ludovick Joseph.Nilisema kuwa tunafananisha post zetu kwa kuwa tulipata malezi sawa ambayo katika uttetezi wa yale tunayoyaamini basi tulifananisha maono.Hii ni sawa na watu wa Engineering ukiwapa sample ya nyumba uipendayo halafu wakuchoree,utapata majibu ya mwelekeo sawa.Hivyo,msichanganye personalities hizi.

Mwisho,ninawatakia maono mazuri katika kuleta Mabadiliko lakini acheni GROUPTHINK...haina maslahi kwa wengi bali kwa kundi husika.
Deo Kibambizi

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment