Wednesday 20 March 2013

[wanabidii] Re: Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Mtoa taarifa sio Mluo. Kama kweli alishuhudia Wakikuyu (na si Waluo au Wamasai wa Kenya) wakichukua ardhi Arusha miaka ya 70 na sasa asiseme? Aseme hao ni Wakenya tu? Ukabila Kenya upo na mgawanyo tete wa ardhi unauchochoea hivyo unaweza kuingia Tanzania kihivyo.

From: Finnigan wa Simbeye <f_simbeye@yahoo.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Sent: Wednesday, March 20, 2013 1:19 AM
Subject: Re: [Mabadiliko] Re: Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Chambi,

Ni ubaguzi tu tena unaochochewa na wenzetu wa Luo ambao wapo pia Tanzania. Ardhi yetu kubwa sana inachukuliwa na wazungu na waarabu na siyo wa Kikuyu kama baadhi yetu wanavyotaka kutuaminisha hapa, ni chuki zile zile za Kenya, Odinga na Kenyatta!!

wa Simbeye

--- On Tue, 3/19/13, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> wrote:

From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
Subject: [Mabadiliko] Re: Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Tuesday, March 19, 2013, 10:38 PM

Chanzo cha taarifa pia kinatukumbusha kuwa Arusha ni saa 2 kutoka Nairobi ilhali Dar es Salaam ni saa 6-8 hivyo mji na mbuga zetu zitaishiwa kuwa 'Kenyanized'.

From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, March 19, 2013 4:25 PM
Subject: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Nilitaka niweke 'Wakenya' badala ya 'Wakikuyu' kwenye kichwa cha habari ila chanzo cha taarifa kimesisitiza ni Wakikuyu na naona humu ndio wanatajwatajwa.

From: Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Sent: Tuesday, March 19, 2013 4:20 PM
Subject: Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Dada Anna umeona vyema, ndio faida ya mijadala kama hii

______________________________________________
Real Change for Real Development,  

Lemburis Kivuyo
+255654650100/078 7665050/0755646470
Website: www.kivuyo.com,  
Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo

2013/3/19 anna mghwira <aemghw@gmail.com>

Ukabila tena, kila mtu ataleta vya kwao. hata la Wakikuyu hakuna anajua, japo mtoa mada ameiita hivyo, kwa taaarifa alizo nazo...ukweli wengine tunajua tu ni Wakenya, hatujui makabila yao ila mtu akijua anasema na nafikiri suala si ukabila, bali ni ardhi ya tanzania, watanzania na raia wa nchi zingine za jumuiya, sera ya ardhi ilikuwa wazi kuwa shirikisho lisiingize ardhi...kwa hiyo hawa wanaingiaje nadhani ni suala muhimu.
 
Hoja ya ukabila inaweza kupunguza maana halisi ya tatizo na kulifanya kuwa la wengi wakati waathirika hasa ni sisi wenyewe.
 
2013/3/19 Leila Sheikh <calabashtz88@yahoo.com>
Tanga jalala la wavamizi jirani

 ----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: <va_ntetema5@yahoo.co.uk>
To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Tuesday, March 19, 2013 1:38:42 PM GMT+0000
Subject: Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Huko Mbeya viJijini na Tunduma wapo tele.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Zain Tanzania

-----Original Message-----
From: anna mghwira <aemghw@gmail.com>
Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Date: Tue, 19 Mar 2013 16:21:26
To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Reply-To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Subject: Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Siuji kama sheria inafanya kazi maana wapo wenye ekari 200, wamechukua
vilima vile vizuri vya kisongo, mahoteli makubwa yamejengwa, sina hakika
ila kuna haja kufuatilia...mwaka 1998 Monduli ilikuwa imeuza asilimia 85 ya
ardhi yake, wakazi wake walibakiwa na 15% tu, sijui leo ambamo imekuwa
karibu zaidi na arusha,

2013/3/19 Finnigan wa Simbeye <f_simbeye@yahoo.com>

> Chambi,
>
> Wameliwa hao, ardhi siyo swala la Jumuiya na sheria yetu inakataza mgeni
> kumiliki ardhi, watanunua lakini mwishowe watu watawarudi baada ya kwenda
> mahakami. Wanaweza kupata ardhi kama wawekezaji kupitia TIC. Waache waje
> nami nawashauri Watanzania mlioko na ardhi Arusha wauzieni then mwende
> mahakamni hawana chao!!
>
> wa Simbeye
>
>
>
> --- On *Tue, 3/19/13, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>* wrote:
>
>
> From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
> Subject: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
> To: "Wanazuoni" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
> Date: Tuesday, March 19, 2013, 2:02 PM
>
>
> Mfuatiliaji wa kwa karibu wa masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
> anasema kuwa katika miaka ya 70 baada ya Arusha kufanywa makao makuu ya
> jumuiya hiyo, Wakikuyu wengi walinunua/walitwaa ardhi hapo. Hivyo, Arusha
> ikaanza kuwa kama sehemu ya Kenya na fedha ya Kenya ikawa ndio
> inadaiwa/inatumika katika mahoteli, maduka n.k. Kwa mujibu wa maelezo yake,
> hali hii ilikoma baada ya Tanzania kufunga mpaka wake na Kenya katika
> mtafaruku wa kuivunja jumuiya hiyo.
>
> Mdau huyo anasisitiza kuwa tukio hilo lilisababisha Wakikuyu
> warudi/wakimbilie kwao Kenya. Sasa anaona wanarudi kwa kasi sana na anahisi
> Watanzania hawana wasiwasi kabisa. Anashauri watafiti wa masuala ya ardhi
> watathmini kwa kina ni kiasi gani cha ardhi huko Arusha kimeshatwaliwa na
> Wakikiyu. Hofu yake ni kuwa ushindi wa Uhuru Kenyatta unaweza kusababisha
> hali hii izidi hasa katika muktadha wa kuiimarisha Arusha kama makao makuu
> ya Jumuiya mpya ya Afrika Mashariki.
>
> "Kwa kuwa Arusha sasa imekuwa kitongoji cha Nairobi katika Jumuiya ya
> Afrika Mashariki ni vyema kutathmini ardhi inayotwaliwa na Wakikuyu" - Mdau
> Mfuatiliaji
>
> --
> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
>
> TEMBELEA Facebook yetu:
> http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
>
> For more options, visit this group at:
> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
>
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Mabadiliko Forums" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.

TEMBELEA Facebook yetu:
 http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl

For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en

---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment