Thursday 21 March 2013

[wanabidii] Re: Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Alex, kina Sam Moyo na Walter Chambati wa AIAS?

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Thursday, March 21, 2013 9:05 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Kiwasilia,
Nikweli mwanzoni baada ya yale mashamba kupokonywa na kupewa wazawa production ilishuka. Lakini kwa sasa wameanza kustabilize. Report za Zimbabwe zinaonyesha production under small peasant zimeongeza uzalishaji tofauti na ilivyokua mwanzo. Nilikua kwenye mkutano Hamburg last month na kulikua wa-Zimbambwe waliohuzuria, watu wali uliza hilo swali. Jamaa wametoa evidence zinazo onyesha kua hali ninafuu kwa sasa na wamerecord poduction na export kubwa kwa sasa under small scale producers. Tofauti nikwamba negative side juu ya zimbabwe na serikali yake inapewa kipaumbele sana kwenye vyombo vya habari ambavyo vingi ni vya watu wa magharibi.
Alexander

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, March 21, 2013 5:40 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Kwani-walipofukuza wazungu wawekezaji mashambani Zimbabwe kuna waafrika waliochukua mashamba yale na kulima kiufanisi? wale wafanyakazi hawakujiunga ktk umoja, kuchukua mashamba na vifaa vyake, kulima, kuomba technical support kuuza mazao ndani na nchi za nje. Walianza kutorokea nchi jirani na South Africa, wakiliwa na simba na wanyama wengine njiani, huko S.A nako wakishambuliwa kufukuzwa.
Uone tatizo la mwafrika kuzoea kutumikishwa na sio kujituma kujikomboa. Wapo hapa bongo waliokaa kama domestic workers kwa wahindi hadi sasa mzee hana pakwenda na hajafanya la maana.

Kwa tanzania, tunatatizo la wazawa kuona kilimo kitatutoa. hivyo, tunawapa tena mashamba wawekezaji wagenii kwa sababu watazalisha, watatuuzia chakula, watatoa ajira na kuvimba viwanda vyetu materials. Kilimo chao kitaongeza uzalishaji wetu ambao ni mdogo na si wa kuhifadhi ardhi. Wao hulima padogo na kuzalisha sana.

Kwa sababu pia tupo ktk level ya circulation sio production. Tunapenda kununua rahisi na kuuza ghari-kwenda China, Malaysia, Kenya etc kuleta vya kuuza-vipodozi, nguo na kwa sasa mitumba ya nguo ndio tija.

Kila mjasiriamali/waliowengi hasa vijana hawapendi kilimo ni kwenda kuliko kwenda China , kuleta vipodozi vyenye madhara. Aliyekuwa mweusi akianza usanii-kwa sasa ni mzungu kwa kujichubua wala hawajali madhara ya kemikali sema usikike. Wababa nao kwa sasa wanajichubua hata wazee hasa akina mama wazee. Mke wa mtu unamuona kababuka usoni ana makovu kwa kujichumua, ngozi za mikono na uso zimesinyaa- mume au bwana wala haangalii fedheha hiyo akamkataza. Kuna madhara kwa kizazi/uzazi lakini hatujali tunajali kuonekana tu. Ukalime tena jua likuunguze!??

Ukienda huko umachinga-Lindi, Mtwara-mabonde mazuri sana na misitu mizito, miembe, minazi kama mchicha aliyoipanda Mwarabu na wazee wao. hakuna anayependa kilimo cha machungwa na maembe ya muda mfupi, ujasiriamali na usafirishaji korosho; kutengeneza mkaa wa makumbi na vifuu vya mnazi, magogo ya mnazi na mikorosho wakatayo kibao wanavichoma moto badala ya kutengeneza mkaa wa kisasa kufunga mifukoni, magunia kupeleka mijiji na supermarket. Wanaotoa mafunzo ya kutengeneza mikaa hiyo wapo TaTEDO na wengineo Ubungo plaza etc. Machinga wapo DSM kutembeza sidiria na vyupi cha mitumba. Vizee ndio vinalima kule. Kila mmoja ameweka mama ntilie nje, kigege,  bango la video. Vijijini mauzo ya petroli kila baraza kwa ajiri ya bodaboda, kila kijana yupo anachoma mahindi machache aliyoiba usiku au kununua. Hawana ari ya kushika jembe.
Hakieleweki hata pale NGO zilikotoa mafunzo ya ujasiliamali na vijiji vikawapa ardhi. hata walipowezeshwa kwa hela, vifaa na study tour ni wachache sana kuzingatia. Hata hiyo Shamba Darasa (Farm Field Schools) haiendelei kama inavyotegemewa na Idara ya Kilimo. Na hata ukipita Morogoro maendeo ya SUA milima nje ya vijiji haina nguo/Miti. Sidhani kama unafika jirani na vyuo vya kilimo ukaona mashamba ya mfano ya wanavijiji au ukazikia vijiji vya mkoa kilipo SUA, Naliendele, Ilonga etc vya Kilimo wilaya hizo ndio zinaongoza kwa Kilimo ekari mija ya mahindi au mpunga inatoa gunia kadhaa ambayo ni standard estimate/requirement. Au next to a livestock institute vijiji au wilaya ni ya mfano kwa ufugaji. jee, umefika penye Chuo cha Ardhi ukakuta vijiji vyote kuzunguka chuo hicho au Mtaa wa eneo kilipo kuna plots zimepimwa, mitaa imekaa sawa, hawahazibu barabara; kila kijiji Kata chuo kilipo kimefanya land use Planning kwa sababu ya mafunzo ya chuo yenye vitendo? Si ajabu next to it kuna mto ambao waannchi wanatupa mataka mtoni, wanachimba mchanga darajani na kuna msongamano wa nyumba na upo next to Chuo hicho na wanakwenda jirani hapo kula na kunywa hakuna facilitation ya land use plan. Chuo cha kilimo ni hivyo-jee kina ekari mamia za kilimo ambapo wanafunzi hujifunza kuzalisha na kuweka ghalani kwenye Grain Store na GVT kwenda kununua? Wana hundreds ya ng'ombe ziwa nune, mbuzi wa maziwa atoaye lita 3-5 kwa siku, mizinga ya nyuki na drums mamia za asali? Wna value added power flower mamia ya traders wanakwenda hapo kununua? Vipi mashamba ya magereza, JKT na JWTZ huko Makutupora, Mafika, Ukonga, Monduli, tabora etc-yanazalisha mamia ya maekari kutoa mtama, mahindi, ulezi? TUMEACHA ya mwaka 47. Serikali ni mfano? wapi mashamba ya Minazi na Pamba, Kahawa ya mamlaka husika?

Hapo ndipo utakapoona tu vipofu na kuwa kuwepo Investor ktk Kilimo ni muhimu for food security na grain stores zetu. Ila, tujue madhara ya uncontrolled investment. Atapewa ardhi ya kilimo-hatolima, atajenga tented camps; atapewa kiwanda cha kusaga nafaka-atakuwa anafanya recycling ya chupa za plastiki; unyanyasaji wananchi, umalaya, utupaji taka hovyo, madumizi mabaya ya madawa ya mashambani kwa kupuliza na ndege bila uangalifu na maji ya madawa ya kutoka mashamba kuingia mtoni watu wakanywa na kupata cancer ya koo na utumbo.

Tukiacha kusema mijini kusiwe na vijiji eti ni mji kusiwe na mashamba na miji/towns za vijijini ambavyo zamani ni vya kilimo kuna hata umwagiliaji mashamba na mifugo michache kila nyumba, eti wenye mifugo wahame sasa ni township-tunakosea. ana nyumba yake bora, watoto/wajukuu wanasoma hapo, ahame na ng'ombe 5 za maziwa ya familia na kuuza, ana mashamba ya kumwagilia aondoke aende wapi? Haya ni mengine ya kutesa wananchi. Huyu planner ni Mtanzania, anaona maisha yalivyo anajali status ya eneo. Watu wanauza mifugo anabaki kuweka bidhaa/kigenge ambacho hakikidhi shida. Ndio rural prostitution ya watoto inakuwa maana hawezi kuhama Bunju, Tegeta, Goba, Kisiwani au Gonja eti sasa ni Township. Tuyaangalie haya tuendako kubaya. Ulaya kuna miji na township zenye mashamba makubwa na misitu jee bongoland kulikoni. TUJISAHIHISHE.
 
--- On Wed, 20/3/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 20 March, 2013, 9:57

Jamanim naomba niulize swali la kizushi kidogo. Hivi wale wazungu wa Zimbabwe ambao Mugabe amewatimua mashambani
hawakuwa investors? Mbona sisi tunakimbilia kuwapa ardhi yetu? Nimesema ni swali la kizushi.
em

2013/3/20 alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Hildarda,
Unaposoma report nyingi juu ya EIA unakata tamaa. Maana huko kilwa EIA imefanyika lakini hazifuatwi na mahala pengine hazifanyiki ipasavyo (Rushwa). Watu wana andika report kufavour investors, kwahiyo EIA kama tool ya kusaidia decision making inakosa maana kwa sasa. Zingefanywa vizuri na mtu akareport kilichopo na kutoa mapendekezo sahihi zingesaidia sana. Tunatakiwa kubadilika sana, hata wasomi wamekua corrupt, hawaangalii mstakabari wa nchi hii 25-50 years to come. Ni aibu sana.
Alexander

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, March 20, 2013 7:53 AM

Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Halafu hawa investors wanaochukua ardhi kubwa na kuanzisha mashamba na biashara, lazima kufanyike EIA kwanza na benefit sharing scheme yake kwa wananchi ijulikane. Lazima kuwe na elimu kwa jamii kujilinda na kulinda watoto wao na masuala ya sexual abuse. Kwani ukifika maeneo ambapo wapo utaona jinsi magari yao yalivyo na visichana vidogo waliovaa kihuni, wanaingia nao bar na lodging; utaelewa na wananchi mambo yao ya kutumia walinzi wao kuwapelekea wasichana, utakuta mtandao wa changu doa unazagaa maeneo hayo na masuala ya abnormal sex kuanza kuzagaa. Tunaona huko yaliko makambi ya uwindaji na huo uwekezaji. Wakati wa msimu wa uwindaji sio kuwinda wanyama tu na visichana na vijana kwa michezo hiyo michafu na wanaingia nao makambini na hoteli tunaangalia. Jinsi tunavyofungua uwekezaji na haya yataongezeka.

tujitahidi kulinda jamii yetu ili tupunguze mambo hayo, ukimwi na genetically transmitted diseases.

--- On Tue, 19/3/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 19 March, 2013, 22:09

Na ajabu ya ajabu, Agrosol hawana zaidi ya eka 17,000 hapa Marekani. Wanakuja Bongo wanapewa eka 600,000. Nasikia kule Mpanda wanataka eka 800,000. Halafu masharti yao ni kwamba mazao watakayozalisha wanapeleka soko la nje.
Sisi tutaendelea kuwa watizamaji wakati wageni wanatajirika kwa migongo yetu. CCM has to go.
em

2013/3/19 Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Kivuyo unamaanisha Kibo Palace iliyopo Corridor area au Palace hotel iliyopo boma road?
Swala la ardhi hapa Tanzania ni tete sana,huko kusini kampuni ya Agrosol imechukua zaidi ya hekari 600,000,kwa msaada wa Serikali dhaifu ya ccm
Ndio maana husema kila kuwa tumeshindwa kujitawala

On Tue, Mar 19, 2013 at 10:52 PM, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> wrote:

Kivuyo,
Kibo Palace bado ni ya bepari wa rombo..ana share na NHC

On Tuesday, March 19, 2013, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
> Kivuyo
>
> Alinunua kwa pesa ngapi aisee
>
>
> 2013/3/19 Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
>
> Watanzania wanaouza ardhi kwa wakikuyu wasilaumiwe hata kidogo. hata wewe ungeuza kwa mtu mwenye pesa unazozihitaji. Serikaloi ndiyo inatakiwa kusimamia na kuratibu sheria ichukue mkondo wake. wanachofanya 
>
> ______________________________________________
> Real Change for Real Development,  
> Lemburis Kivuyo
> +255654650100/078 7665050/0755646470
> Website: www.kivuyo.com,  
> Facebook: https://www.facebook.com/ujasiriamali
> Titter: http://twitter.com/lembu1
> Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo
> Google+: gplus.to/lembukivuyo
>
> 2013/3/19 Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
>
> Kenyata mwenywe anamiliki hoteli ya 4 or 5 stars Arusha inayoitwa Kibo Palace ambayo aliuziwa kutoka kwa fisadi ile ya rombo
>
> ______________________________________________
> Real Change for Real Development,  
> Lemburis Kivuyo
> +255654650100/078 7665050/0755646470
> Website: www.kivuyo.com,  
> Facebook: https://www.facebook.com/ujasiriamali
> Titter: http://twitter.com/lembu1
> Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo
> Google+: gplus.to/lembukivuyo
>
> 2013/3/19 alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
>
> Hildegard,
> Hakuna kipindi ambapo Tanzania tunatakiwa kua na Migration Department inayowajibika ipasavyo kama kipindi hiki ambapo sera za utandawazi zinapaliliwa sana, pamoja na hiki kitu kinaitwa 'EAC'.
>
> --
> Bariki G. Mwasaga,
> P.O. Box 3021,
> Dar es Salaam, Tanzania
> +255 754 812 387
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>  
>  
>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

0 comments:

Post a Comment