Wednesday 6 March 2013

[wanabidii] Re: KIGWANGALA AFUNGUKA....AMA NIJIUZULU AU?

Mwanafamilia Kigwangallah huyu huyu aliyejikanganya wakati anajibu tuhuma kuhuzu kudesa/kugelezea si ndiye huyo huyo aliyesema maneno haya hapo chini mwezi ulipita na akasifiwa!

On 24/02/2013, hkigwangalla@gmail.com <hkigwangalla@gmail.com> wrote: > 
Mjengwa, mtani wangu, haujawahi kuwa sawa zaidi ya hapa toka nianze > kukusoma. Mimi nina maisha magumu sana toka nianze maisha haya ya kisiasa > lakini najitahidi sana kutenga muda wa 'quality' na familia yangu. Niseme tu > kuwa nalazimisha kuwa na muda wa familia na ninafanikiwa. > > Wazazi wa leo tujifunze kulea watoto wetu wa kisasa kwa misingi ya kimaadili > ili tujenge taifa imara la kesho, bila hivyo tutapotea. > Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania >

From: Nyoni Magoha <john.magoha@gmail.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Sent: Wednesday, March 6, 2013 9:10 PM
Subject: Re: [Mabadiliko] Re: KIGWANGALA AFUNGUKA....AMA NIJIUZULU AU?

Waswahili husema 'kazi mbaya ukiwa nayo' sasa kuomba ushauri kwa dunia nzima iko vipi? 

Imenikumbusha kisa hiki nilitumiwa kwenye simu....


"Hello,

Once while visiting a very rich friend, the maid approached me and the following conversation ensued, 

Question: what would you like to have, fruit juice, soda, tea, chocolate,cappuccino, frapuccino or  coffee?

Answer: Tea please.

Question: Ceylon tea, Indian tea, herbal tea,  bush  tea, honey bush tea, iced tea or green tea?

Answer: ceylon tea please

 Question: how would you like it, black or white?

 Answer: white

Question: milk or fresh cream?

 Answer: with milk

 Question: goat's milk or cow's milk?

 Answer; with cow's milk please

 Question: freezeland cow or afrikaner cow?

 Answer: umm, think I'll just take it black

 Question: would you like it with sweetner,
sugar or honey?

Answer: with sugar

Question: beet sugar or cane sugar?

 Answer: cane sugar

Question: white, brown or yellow sugar?

 Answer: Oya, forget about the tea, just give me a  glass of  water instead!! 
 
 Question: mineral water, tap water or  distilled water?

 Answer: mineral water

 Question: flavoured or non-flavoured?

Answer: OMG, I think I'd rather die of thirst than going through all this crap!!.

This is why I Don't Visit Rich People"



2013/3/6 Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com>
Ulidhani siasa za sasa ni zile za NDIYO MZEEE...ha ha ha ha!Ila tafakari maana si ufahari kukaa huko wakati hauoni mbele kuna nini!!!USICHANGANYIKIWE,maana na mwenzako jirani yako,ndugu yako yule wa IGUNGA aliaga kwa AMANI.Binadamu hawezi kudumu katika fahari,jali FAMILIA kwanza.Kwa nini uendelee kupata sifa kwa nchi nzima wakati Familiani mambo si shwari!!!!


2013/3/6 Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com>



Huyu JAMAA ana point kabisaaaaaaa....Nime-copy na Ku-pest from william malecela blog--Le mutuz"Nina maswali mengi sana kichwani mwangu. Kama niendelee kuishi maisha haya ya kisiasa ama niache nirudi kwenye uanazuoni. Nakosa majibu. Napenda kufundisha chuo kikuu, napenda kufanya tafiti, napenda kusoma, na pia napenda familia yangu sana. Nikifanya siasa nasafiri sana - naikosa familia yangu. Nikisema nikafundishe chuo kikuu ama niwe mtafiti - safari zitapungua kiasi lakini nitakosa variety, ambayo imo kwenye siasa, na nitakosa fursa ya kubuni na kushauri utekelezaji wa maamuzi mbalimbali nyeti kwa ajili ya maendeleo na ustawi wa jamii. Napenda kutumikia umma na pia kutatua matatizo ya watu. Nikiishi maisha ya kisiasa, naikosa familia yangu kwa kiasi kikubwa. Nikiamua kuishi maisha ya kimwanazuoni nitakosa variety ambayo ipo kwenye siasa na biashara tu. Niishi maisha gani mimi? Nipo kwenye dilemma nzito ambayo sina majibu yake. Nachanganyikiwa tu. Mungu nioneshe njia sahihi ya maisha yangu ya baadaye."
Source: Facebook

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment