Monday 25 March 2013

[wanabidii] Re: Dr. Slaa humjui Ludovick Joseph?

Tusiongelee mambo tusiyoyajua tutahatarisha maisha ya wengine na hata
yetu pia - naona ndugu kicheere amekula chumvi nyingi yeye hana shida
sana hata akivuruga ameshakula chumvi nyingi - chonde chonde jamani .

On Mar 25, 9:59 am, isack mchungu <isackmn1...@gmail.com> wrote:
> Tuseme ukweli katika hali ya kawaida huwezi leo uko darasani unasoma mambo
> ya uhandisi,baada ya miaka minne, uko tena darasani unasomea uanasharia
> miaka miwili huko umefukuzwa, unajiunga na upolisi mpaka unamaliza, baada
> mda unakutwa uko jeshini unapiga ukuruta, sasa wewe hata kama ni
> kujiendeleza sio bwana huo ni uTISS,oy
>
> 2013/3/22 Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>
>
>
>
>
>
>
> > Kwahiyo mtu asijiendeleze kwenye fani mbalimbali kuanzia IT , SHERIA ,
> > KILIMO , UCHUMI , UHANDISI MITAMBO  ? Ina maana wote wanaojiendeleza
> > kwenye fani mbalimbali hata kuhama kwa kupenda kwao tu ni Sehemu ya
> > Idara hii ?
>
> > Kicheere nadhani kwa bandiko lako hili unapotosha baadhi ya taarifa na
> > unaweza kuweka wengine katika mazingira magumu ya kufanya kazi zao
> > hata kujiendeleza kwenye fani mbalibali .
>
> > On Mar 22, 1:36 am, nyaronyo kicheere <kiche...@yahoo.com> wrote:
> > > hi wanabidii,
> > > nijuavyo mimi wafanyakazi wa tiss husoma milele, wanajiunga chuo hiki
> > baada ya kingine na wanafanya kazi hii baada ya nyingine siku zote wao ni
> > kuhama tu kwa kufukuzwa au kutafuta maslahi au makusudically ili wakae
> > jirani na jambo au watu wanaowachunguza. ninyi wengine mtadhani anachapa
> > kazi kumbe kaja kwenye kampuni, shirika au taasisi fulani kukusanya taarifa
> > hata akifukuzwa ni kujisumbua maana utadhani atajifunza kumbe yeye ndiyo
> > kwanza kapata sababu ya kuondoka rasmi ili akachunguze kwingine.
> > > namkumbuka mmoja pale majira katika miaka ile ya mwanzo. akiwa na safari
> > ya kazini kwake atakuja anatembea kama bata akidai ana jipu limekaa pabaya
> > sana jirani kabisa na kariakoo katika ya mji lakini akitoka tu kapata
> > ruhusu akapumzike utamkuta town anatembea kama si yeye uliyemwona akitembea
> > upandeupande kama bata.
> > > kama huna nia mbaya na jamhuri waacheni tu mashushushu wafanye kazi yao
> > na kuendelea kusoma, mara ualimu baada ya mmiaka miwili anasoma uanasheria
> > baaa ya miaka mitatu utamkuta anasomea upolisi miaka minne baadaye utamkuta
> > jeshini anasoma ukuruta nayoote  haya kwa kodi yako na mimi,
> > > kicheere, tungi kigamboni tanganyika territory
>
> > > --- On Thu, 3/21/13, Laurean Rugambwa <rugam...@hotmail.com> wrote:
>
> > > From: Laurean Rugambwa <rugam...@hotmail.com>
> > > Subject: Re: [wanabidii] Dr. Slaa humjui Ludovick Joseph?
> > > To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> > > Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> > > Date: Thursday, March 21, 2013, 9:16 AM
>
> > > Anna,
> > > Sema occupation sio profession, hiyo itakuwa na maana zaidi kwa muktadha
> > wa sentensi yako hapo chini.
>
> > > From LR
>
> > > On 21 Mac 2013, at 6:18 alasiri, "anna nyanga" <lugua...@yahoo.com>
> > wrote:
>
> > > Watanzania, tusipokuwa makini tunaweza  hata kusahau professional
> > yetu hasa ni ipi?
> > > Maana Siasa sasa ndio inataka kuwa professional kuu ya Watanzania!
>
> > > Unasoma ujumbe unabaki na maswali zaidi kuliko majibu! sijui tunaelekea
> > wapi?
> > > Nawaza kwanguvu tu!
>
> > > From: isack mchungu <isackmn1...@gmail.com>
> > > To: wanabidii@googlegroups.com
> > > Sent: Wednesday, March 20, 2013 6:55 AM
> > > Subject: Re: [wanabidii] Dr. Slaa humjui Ludovick Joseph?
>
> > > Walewale,
>
> > >  Ni kweli hilo nalijua, ila atakuwa msikitini au TFF au hata kwenye bar
> > anauza bia lakini atakuwa anaitumikia TISS,  anapeleka information za kazi
> > TISS, sasa hili la LUDO, limekaa kinyume yaani aitumikie TISS wakati huohuo
> > afanye kazi kupeleka taarifa CDM!  atafanyakazi CDM na kupeleka taarifa
> > TISS mimi ndivyo ninavyojua
>
> > > 2013/3/20 amour chamani <abacham...@yahoo.com>
>
> > > Isack Mchungu,
> > > Mtu anaweza kuwa mwajiriwa wa TISS na akawa kituo chake cha kazi ni
> > msikitini,TFF kama kiongozi,mwandishi wa habari na kadhalika na kadhalika.
>
> > > Walewale.
>
> > > From: isack mchungu <isackmn1...@gmail.com>
> > > To: wanabidii@googlegroups.com
> > > Sent: Wednesday, March 20, 2013 8:04 AM
> > > Subject: Re: [wanabidii] Dr. Slaa humjui Ludovick Joseph?
>
> > > Hata mimi nashangaa baada tu ya huyo jamaa kukamatwa tuliambiwa humuhumu
> > kuwa anatumikia TISS sasa inakuwaje tena sasa hivi mnageuka kudai
> > anaitumikia CD? which is which?
>
> > > 2013/3/19 Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com>
>
> > > Kwendeni zenu na upuuzi mara Ludovic usalama wa taifa mara anafanya
> > intelijensia ya CHADEMA tujue lipi tuchukue lipi. Mambo ya vijiweni kaeni
> > nayo huko huko, kwa sasa Ludovic yuko kwenye vyombo vya usalama serikali
> > itatujuza huyu mtu ni nani
>
> > > 2013/3/19 Emma Kaaya <emmaka...@gmail.com>
>
> > > Nimeinasa híi
> > > "Dr.slaa amkana ludovick,Amesahau alivyomuajili ndani ya chama kitengo
> > > cha intelejensia.
>
> > > Dr.slaa ludovick ulimtumia kupeleleza taarifa za vijana walionekana
> > > tishio kwenye uchaguzi wa BAVICHA mwaka 2011.Alifanikiwa kuwaondoa
> > > Mwampamba na mchange.
>
> > > Ulimtuwa Uzini Zanzibar kwenye uchaguzi mdogo akawe afisa mawasiliano.
>
> > > Ulimtuma Mbozi akahakikishe baba mzazi wa Mtela Mwampamba anaondolewa
> > > CHADEMA.
>
> > > Ulimuunganisha na Ben Saanane waandae mashitaka na ukwepaji wa sheria
> > > za chama ili vijana Juliana,Mchange na Mwampamba waondolewe haraka
> > > CHADEMA bila kufuata kanuni za chama.
>
> > > Dr. Slaa humjui Ludovick Joseph? Huyo Ludovick atakuumbua kwa mambo
> > > yote uliyokuwa unamtuma.
>
> > > By kimeta wa mpui
>
> > > Chanzo :
> >http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/420040-chadema-maji-shingo...
>
> > > --
> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
>
> > > Disclaimer:
> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > > ---
> > > You received this message because you are subscribed to the Google
> > Groups "Wanabidii" group.
> > > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> > an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

> ...
>
> read more »

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment