Sunday 24 March 2013

[wanabidii] Naibu Waziri wa Elimu sasa mambo yake safi

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo, anadaiwa kutumia ujanja katika wasifu na elimu yake ambapo katika maisha yake ya kielimu ametumia majina manne tofauti.
 
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1729652/-/item/0/-/mxbsy6/-/index.html

0 comments:

Post a Comment