Sunday 24 March 2013

[wanabidii] Nafasi ya Tanzania Kombe la Dunia 2014 Brazil

Group C
TeamMPWDLGFGAPts
Ivory Coast3210727
Tanzania3201546
Morocco3021462
Gambia3012261

 

 

Msimamo hadi leo.........ni hapo juu. FIFA wanatuzungumzia kwenye baa zao zote leo.

Tanzania tunarudiana na Moroko hapo Juni 7, 2013. Tutachezea Moroko na tutashinda.

Baada ya hapo, tutacheza na Gambia kwao na Kodivaa Dar es Salaam. Tutashinda mechi zote.

Baada ya hapo kutakuwa na washindi wa makundi kumi, na tutapangiwa mshindi mmoja ili tukipige naye kwao na kwetu.

Tutashinda.

Mwaka 2014 tuko Brazili kwenye Kombe la Dunia na tutaishia robo fainali kwa uhuni wa refa.

 

 

http://www.fifa.com/worldcup/preliminaries/africa/standings/index.html

0 comments:

Post a Comment