Wednesday 6 March 2013

[wanabidii] mhariri Kibanda kukimbizwa sauth leo

wanabidii

tumepokea kwa masikitikitiko tukio la kuvamiwa na kupigwa kwa mhariri mtendaji wa magazeti ya New Habari,ndugu Absalom Kibanda, taarifa za mchana huu ni kwamba baada ya hali yake kutokuwa nzuri Muhimbiri , mkurugenzi wake ndugu Bashe amewaaambia wandishi kuwa wanajiandaa ikiwezekana leo jioni apelekwa afrika kusini katika hospitali iliyomuokoa Dk.ulimboka.

0 comments:

Post a Comment