Monday 18 March 2013

[wanabidii] Fwd: [TAFESAssociates] Politics and You - Baraza la Katiba la Kata



Kusirie

Begin forwarded message:

From: "Henry M. Mawere" <hmawere@yahoo.com>
Date: March 18, 2013 11:23:45 GMT+03:00
To: TAFESAssociates@yahoogroups.com
Subject: [TAFESAssociates] Politics and You - Baraza la Katiba la Kata
Reply-To: TAFESAssociates@yahoogroups.com

 

wapendwa nina swali....kwa sisi ambao ni waajiriwa je inawezekana kuwa wajumbe wa mabaraza ya kata? muda uliobaki ni siku tatu from today hadi 20 march kupeleka maombi ya ujumbe.

--- On Wed, 3/13/13, Emanuel <moshiemanuel@yahoo.com> wrote:

From: Emanuel <moshiemanuel@yahoo.com>
Subject: Re: [TAFESAssociates] Re: Politics and You - Baraza la Katiba la Kata
To: "TAFESAssociates@yahoogroups.com" <TAFESAssociates@yahoogroups.com>
Date: Wednesday, March 13, 2013, 11:42 AM

 
Masatu safi sana

Umehit penyewe ngoja na mm nifiatilie

Sent from my iPhone

On 13 Mar 2013, at 10:25, "paul masatu" <sambaa00@yahoo.co.uk> wrote:

 
Thanks bro Sokile for reminding us! Nimepita hapa kata na nimesha drop maombi yangu, lazima tuweke imani kwenye matendo
paul masatu

From: Charles Sokile <sokilecs@yahoo.com>
Date: Tue, 12 Mar 2013 22:52:37 -0700 (PDT)
Subject: [TAFESAssociates] Re: Politics and You - Baraza la Katiba la Kata

 
 
Colleagues,
 
This morning I have realised how political we all are and how our Bible indeed is.
Here I don't mean merely how you vote. I mean how you think about having your citizenship decisively in heaven, not decisively in Tanzania. How do you live on the earth when your life is hidden with Christ in God (Colossians 3:3), when you are an alien and exile on this earth (1 Peter 2:11), and yet called to submit to the powers that be (Romans 12:1), and to love your neighbor (Matthew 22:39), and to make a living (1 Thessalonians 4:10–12), and to subdue the earth (Genesis 1:28)? How shall we be in the world and not of the world (John 17:15)? This is a call for extraordinary spiritual –political wisdom.
 
Leo pitia kwenye ofisi ya serikali za mitaa ili ujiandikishe kuwa mumbe wa Baraza la kata la Katipo ili upate fursa ya kupigia kura vipengele vizuri kwenye rasimu ya katiba. Mchakato umeanza tangu tar 8/3/2012.
 
JIANDIKISHE TAFADHALI
 
Dr. Sokile


From: Grace Kamugisha <kamugishagrace@yahoo.com>
To: "TAFESAssociates@yahoogroups.com" <TAFESAssociates@yahoogroups.com>
Sent: Wednesday, 13 March 2013, 6:48
Subject: Re: [TAFESAssociates] Shukrani kwa NYAMACHOMA
 
Jamani kila mtu na huduma yake, kaka Andrew Kajeguka karudi!

From: Ndugu Kajeguka <akajeguka@yahoo.com>
To: "TAFESAssociates@yahoogroups.com" <TAFESAssociates@yahoogroups.com>
Sent: Tuesday, March 12, 2013 9:03 PM
Subject: [TAFESAssociates] Shukrani kwa NYAMACHOMA
 
Shalom wapendwa,
 
Nami pia naungana na wajumbe waliotangulia kutoa shukrani za dhati kwa familia ya Mramba waliotu-host kwenye tukio lililofana sana.
 
Mie nilifurahi kuona turn up kubwa sana. Unajua tuliandaa viti 110 na watu wengine walisimama hivyo mahudhurio yalikuwa ni watu kama 120 hivi. Hakika hii ni idada kubwa na nzuri kwa sie kukutana na kufurahi pamoja. Asanteni wote mlioitikia wito wa kuja kwenye hiyo hafla. Ingawa associates wengi walikuwa wa Dar ila tulibahatika kuwa na wengine kutoka Iringa (Yusuf Ssessanga) na Kampala (Kenneth Masuki). Pia Linda Jerry alitufurahisha kuwa hiyo ilikuwa ni nyamachoma yake ya kwanza kabisa na hivyo alipania sana na alitimiza azma yake ya kuhudhuria.
 
Pia mimi binafsi nilifurahi kuona kuwa kuna wajasiriamali wengi sana ndani ya TAFES Associates kwani watu walitangaza biashara zao nyingi sana. Kumbe kupitia hizi networking events mtu anaweza kuongeza wigo wa wateja wake.
 
Napenda kuupongeza umahari wa MC wa shughuli ya siku hiyo Dr. Charles Sokile ambae aliratibu mambo vema sana.
 
Pia uongozi wa TAFES Makuu waliratibu makabidhiano ya uongozi wa juu kabisa wa TAFES Council ambapo sasa tuna Mwenyekiti mpya wa council. Hili naliacha kwa TAFES ND, Rex atujulishe sie kiundani.
 
Asante dada Luphurise kwa ku-summarize baadhi ya matukio kwa picha kupitia blog yako, that wa fabulous.
 
Kwa vile tulisema kuwa Theme ya Nyamachoma iliyopita ilikuwa ni Reflection of Campus life before 2000", basi mie nilifurahi kuona waimbaji wa kwaya mbili za Mlimani yaani USCF choir wakiimba wimbo popular wa miaka hiyo "Usiogope Bwana yu nawe atakulinda" wakiongozwa na Mrs. Grace Diyu Simalenga, pia University Singers wakiimba wimbo wa "Righteousness, peace, joy in the Holy Spirit", wakiongozwa na Mr. Amani Boma. Pia ilikuwa raha kuona wapendwa wenye huduma za vichekesho za kipendwa. Huo ni muhtasari tu wa mambo mengi yaliyojiri huko. Muda haukutosha kwani tulikuwa tunasubiria kwaya ya SUA, Mzumbe, etc ambapo pia walitarajiwa kuimba. Kama tulivyosema awali tunatamani kuwa na nyamachoma nyingine itakayo-reflect maisha ya vyuoni after 2000 (dotcom generation).
 
Pia ilikuwa ni baraka kuwapongeza associates watatu (waliokuwepo kwenye kwenye nyamachoma) ambao wamepata PhD hivi karibuni i.e. Grace Kamugisha Kazoba, Kenneth Masuki na Andrew Mushi. 
 
Katika yote twamrudishia Mungu utukufu kwani tuliomba mvua isinyeshe na haikunyesha siku ya J2 wakati jana yake na J3 mvua ilinyesha sana.
 
Mbarikiwe sana nyote mlioshiriki kwa njia tofauti tofauti including kuomba hata mkiwa mbali.
 
Kajeguka
...............

From: luphurise lema <mankababy@yahoo.com>
To: TAFESASSOCIATES <TAFESAssociates@yahoogroups.com>
Sent: Tuesday, March 12, 2013 8:17 AM
Subject: [TAFESAssociates] TAFES Associate Nyama Choma Party yawa kichochezi cha kuiendeleza TAFES


Siku ya Jumapili,TAFES Associates wa Dar es Salaam walikutana nyumbani kwa Associate Felchism Mramba kwa nyama choma. Kwakweli party hiyo ilikuwa ya kufana maana kwanza Associates walianza na supu tofauti na vile tulivyozoea.Ndipo ukafika muda ambao wengi walikuwa wanauongoja wa nyama choma...kwakweli ilikuwa kazi maana watu walifurahia mbuzi choma ambaye alichomwa kwa ustadi. Kwawale ambao hamkuwepo poleni sana maana associates walifurahi sana hasa kukutana na mates wao wa vyuoni.
From: Asanterabi Sang'enoi <asangenoi@yahoo.com>
To:

0 comments:

Post a Comment