Monday 25 March 2013

[wanabidii] EDWARD LOWASSA ALIJIUZURU MITAMBO IKAUZWA DOWANS

Ndugu zangu

Kuna jambo moja linalonitatiza kuhusu Kujiuzuru kwa Mhe Edward Lowassa
kwenye sakata la Richmond mpaka baraza la mawaziri kuvunjwa na mambo
kadhaa kubadilishwa .

Tunaambiwa na kuaminishwa kwamba mhe huyu aliwajibika kuingiza kampuni
hewa ya Richmond kwenye mkataba na tanesco wa mamilioni ya fedha kwa
ajili ya umeme wa dharura , mhe akakubali akajiuzuru kutokana na
taarifa ya mhe mwakyembe .

Baadaye tukaambiwa mitambo ya Richmond imeuzwa kwa kampuni ya dowans ,
baadaye kesi ikawa ikawa kati ya dowans na tanesco , dowans ikashinda
na inasemekana wameshaanza kulipwa hela zao .

Katika mlolongo huu tukasikia kampuni ya agreko , symbion na ziara ya
waziri wa mambo ya nje wa marekani bi hilali Clinton .

Swali langu ni nini kilirekebishwa hapo na kufanya mambo yaende sawa
huku mwanzo kampuni ya Richmond ilionekana ya kitapeli ?

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment