Sunday 10 March 2013

Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?

Mkuu Tony shikamoo!

Huwa wakati mwingine nakwaza na hili jukwaa na kuamua niondoke na
kubaki kule mabadiliko tu lakini nikifiria kukosa michango yako naya
kaka Matinyi huwa naamua kuwa mpole.

Leo umeweka sawasawa kisu kwenye mfupa kama ilivyo kawaida yako!
Umeongea mengi kuhusu EL kutokufaa kuwa raisi! Umegusa pia kuwa ni mtu
anaye uabudu udini kwa kufadhili sana makanisa kuliko misikiti. Hapa
umeniacha mdomo wazi!

On 3/10/13, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
> Mr Balile,
>
> Don't water down this topic in protecting your master! Keep off!
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.
>
> -----Original Message-----
> From: "Deodatus Balile" <deobalile@yahoo.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 10 Mar 2013 16:29:16
> To: <wanabidii@googlegroups.com>; Tony PT<tony_uk45@yahoo.co.uk>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>
> Rugambwa,
>
> Kindly waste not time to argue with Tony.
>
> Ask him to declare his vested interests and that background which haunts him
> and what he messed up while working with the man he is castigating.
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> -----Original Message-----
> From: "Laurean Rugambwa " <rugambwa@hotmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 10 Mar 2013 15:46:07
> To: Tony PT<tony_uk45@yahoo.co.uk>;
> wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>
> Tony,
> Sorry for my late response, I am travelling; I know in politics suspicion is
> everything and I agree with you with all analysis; however, I believe in
> presumption of innocence; we should all uphold and as you rightly said who
> would take him to face justice;
>
> Here I have a problem with all your analysis, if the government can't
> prosecute him how would you expect the public to judge him?
>
> Hapo kuna kazi kubwa, Kama alikuwa na tuhuma si ashiktakiwe? Wananchi
> wataelewaje na kumhukumu Kama vyombo vya uchunguzi havijafanya kazi yao?
>
> Ila nakubaliana na unavyoeleza kuhusu mifumo yetu ya mahakama na upepelezi
> vina matatizo;
> pamoja na hayo, haki ya Mtu hanyimwi kwa tuhuma na hisia.
>
> Wenye ushahidi waupeleke kwenye vyombo hivyo.
> Jioni njema;
> LR
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
> -----Original Message-----
> From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
> Date: Sun, 10 Mar 2013 08:16:14
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>
>
> LR
>
> Nobody can dare taking Lowassa to court because most of the so called law
> enforcement gurus also need his cash!
>
> Secondly, in politics there is no need of proving guilty beyond reasonable
> doubt as it is required in criminal justice; perceptions in politics rule
> the day!
>
> Opponents of Lowassa do not have to prove his guilty beyond perceptions.
> They just need to tell the electorate about Lowasa and his illicit
> financial empire, period.
>
> But coming back to the root of the matter, do you agree that Lowasa,
> Chenge, and Rostam were the cause of JK's votes in 2010, from 82pct to 61pct
> in 5 years? His involvement in campaigns for the trio made his miserable
> poll count?
>
> If lowasa was an excellent leader as some of you allege here, why his
> government popularity plummeted like a gravitational mass in only 2-3 years
> of premiership?
>
> No one hates him personally, but many hate his evils. Today we are paying
> graduated high electric tariff because of the capacity charges that stand
> killing to you and the rest of electricity users in this nation!
>
> During lowasa's tenor of office, do you know that under Mrema as a CEO of
> TanRoad, price of a standard double-surfaced paved road raised from
> 300-400m/- to 900m-1.2b/- per Km? After the dual's departure from
> premiership (2008) and CEO, Tanroad (2010) respectively, the price has
> remained the same and dropping in general? Do you know how much this economy
> has been damaged from this level of corruption?
>
> Many issues linger around his premiership! We don't have to prove in a
> court of law as the courts, too are victims of the same system and acquit
> and convict people depending on how much they gain from a case and from
> which side! We are equally killing justice...with impunity.
> ------Original Message------
> From: Laurean Rugambwa
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Cc: wanabidii@googlegroups.com
> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
> Sent: Mar 10, 2013 10:52
>
> Tony,
> I truly respect your opinion, and I am not here to defend Mr. Lowassa, I do
> have a problem with your analysis and some of your incriminating evidence
> below.My question is if indeed he did what you a saying where are justice?
> Why are the so called known scandals and corruption you so eloquently
> narrated not investigated and brought to the court of law?
>
> Remember and I hope you believe that our constitution guarantees everyone
> including Lowassa innocence until proven guilty. It is actually an offense
> to presume someone guilty unless you are competent court of law.
>
> Another thing which I have never understood, if this man has so many
> scandals and shoddy deals and evidence so clear and public knowledge as you
> and others allege, why is he not prosecuted? Since you seem vested with
> these circles p, perhaps you might shed some light for us? Any reason? Is he
> untouchable? Is the prosecution and corruption agencies scared of him? Or
> would you admit they don't have a case against those allegations?
>
> I am reminding you again, I am not his fan or his party or  a member in his
> opposing parties , I am arguing this objectively.
>
> Africa doesn't stop amazing us everyday, as you know, we have seen a
> suspect of crime against humanity Mr.Kenyatta elected 4th President of
> Kenya, Mr. Lowassa who has never been even questioned or investigated, what
> will stop him to be become a President even if he doesn't go by the CCM
> flag? I am just making some logical reasoning here.
>
> From LR
>
> On 10 Mac 2013, at 10:23 asubuhi, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
>
> > Elisa,
> >
> > Aliyewasaidia waTz kupata maji ya Victoria si Lowasa, ni rais Mkapa
> kwenye ahadi yake ya 2000 kwa mkoa wa shinyanga. Wakati huo Lowasa alikuwa
> kama sio bench ni ofisi tofauti kabisa. Baada ya uchaguzi wa 2000 ndipo
> Lowasa na Dk Limbu wakaingia wizara hiyo.
> >
> > Utekelezaji wa mradi wa maji ulianza 2001 wakati wa Lowassa na Diallo
> kama NW.
> >
> > Kama nilivyosema awali, wengi mnaompigia jalamba huyu Mhe ni adui zake
> (kwa kujua au kutokujua) au ni wapinzani wa ccm (kwa kujua au kutojua. Kama
> ccm wakamteua Lowasa kugombea urais ataanguka asubuhi tu! Madhambi
> aliyowafanyia watanzania ni mengi afadhali wakuweke wewe Elisa hauna
> historia ya kuwakosea waTz.
> >
> > Sifa mnazompa lowasa hanazo, alibahatika kuwa kufanya kazi na wasaidizi
> makini na pia Rais makini. Wengi wetu tunasahau au hatujui Lowasa na
> matatizo yake ya nyuma: alipokuwa tume ya Loliondo, na alivyokula hela za
> waarabu na kuwaacha hadi leo wapo Loliondo badala ya ilivyotarajiwa na waTz
> (soma tume teule ya Bunge kuhusu Loliondo) ipo hansard za bunge. Pia
> alipokuwa AICC kama CEO alivyopoteza fedha za ujenzi wa staff na baada ya
> hapo alivyojinyakulia ardhi ya AICC na baadae kuuziwa Themi Hill Suites, na
> wengine walio jirani ardhi iliyokuwa ya AICC!
> >
> > Pia msaada wa ujenzi wa kiwanda cha vyandarua Sunflag, Sumitomo
> waliwekeza na serikali ya Japan na WB wakatoa grant, lowasa akalazimisha
> kuuziwa hisa kiwanda hicho bila kutoa hata senti kumi.
> >
> > Alipokuwa wizara ya ardhi, mnakumbuka alivyokusanya fedha kwa kuuza
> maeneo na haraka haraka kajenga majengo masaki ambayo yalileta skandali
> kubwa. Ubalozi wa Afrika kusini walipangisha jengo lake kwa gharama kubwa na
> dili hiyo ilifanyika yeye akiwa waziri wa ardhi.
> > Nyerere alimuona kama mwizi tu huyo, akamchomoa kutogombea urais 1995.
> Wizi wa mali ya umma kaanza miaka mingi.
> >
> > Hata unapodai kuwa mchapa kazi sikuelewi. Ungesema ana maamuzi ya pupa
> tu. Mfano, alipoamuru jengo moja karibu na mess ya polisi livunjwe kwavile
> wahindi walikataa kumlipa fedha; maamuzi yake yamegharimu wizara na serikali
> mabilioni kwa amri ya mahakama.
> >
> > Leo tunalia elimu kuanguka; kisa kimojawapo ni ujenzi wa pupa wa shule za
> kata! Aliacha mpango wa WB na Nordic countries na kutaka utekelezwe kwa
> jazba! Mradi wa kuyelekezwa kwa miaka 10 yeye kaamua ufanyike miaka 2!
> Matokeo yake, hakuna waalimu, vifaa, maabara, uwezo kukosekana wa kuwachukua
> wanafunzi kuelndelea na kidato cha 5 na sita! Leo mnaunda tume kutafuta
> mchawi! Mchawi ni Lowassa na maamuzi yake y
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com <http://www.wejobs.blogspot.com>
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
> <http://www.jobsunited.blogspot.com>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com

--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
Alternative: +255 (0) 784 24 67 64
Skype: Mohamedi.Mtoi
Twitter: @mohamedimtoi
Facebook: http://www.facebook.com/mouddymtoi
--

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment