Monday 11 March 2013

Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?

lowasa akisimama chama chochote atashinda kwa kishindo ajabu.Sisi tunaongea na watu wenye shida na uchungu na nchi hii na wanakiri kuwa ni jembe la 2015.Watanzania hawataki mbabaishaji na mtu mnafikinafiki tu.Nakushauri Jembe Lowasa,CCM wakikukataa nenda chama chochote uunyakue urais uisogeze nchi mahali.Tukiyafanya mambo yaleyale na kwa style ileile,tutapata matokeo yaleyale.Mtu asiyeweza chukua hatua za hatari,atabaki masikini siku zote.wanaokuita fisadi achana nao kwani hawajui mwenye nacho huongezewa?ngupula



------------------------------
On Mon, Mar 11, 2013 7:50 PM EET johnlemomo@gmail.com wrote:

>
>Umepotea Tony! Siyo huko wala sivyo!
>Usipotee wakati mwingine kwa majina!
>
>
>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
>-----Original Message-----
>From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Mon, 11 Mar 2013 17:46:15
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>
>John,
>
>
>Mr. Lemomo, lemomo! Herooo... Tumekuelewa!
>
>
>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.
>
>-----Original Message-----
>From: johnlemomo@gmail.com
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Mon, 11 Mar 2013 16:11:23
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>
>
>Wasiomtaka ENL ni wale ambao kwa namna moja ama nyingine wamewahi kukutana na joto la utendaji wake - Wao ama jamaa zao!
>Kama kweli akiamua kugombea, na akapenya katika mchakato wa chama chake, basi mtaona nguvu iliyomo katka sanduku la kura. WaTZ wengi watamchagua tena, kwa kishindo!
>
>
>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
>-----Original Message-----
>From: Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Mon, 11 Mar 2013 18:20:32
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>
>Du! Kweli HK yaonekana umekolea kwa Mh. Membe hata EL humtaki?
>Vin
>
>On Mon, Mar 11, 2013 at 6:23 AM, <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
>
>> Rugambwa, Balile, hiyo justice unayoizungumzia ni ya kisheria, ya kisiasa
>> ni kumnyima kura tu, na hapo ndipo inapoishia, haijalishi ni kweli ama si
>> kweli! Leo hii kila mtu anaihukumu CCM na failures zote zinazotokea hata
>> kama ni za watumishi na hata kama ni za wananchi wenyewe, si kwa sababu ni
>> kweli, la hasha, ni kwa sababu ni hukumu ya kisiasa! Mi sisemi kama Lowassa
>> ni mwizi, la, bali nahoji na kutazama uwezekano wa kuchaguliwa kwake nje ya
>> CCM maana akina Slaa wamemchafua sana na ndiyo ilikuwa ngazi yao ya
>> kupandia kwenye siasa. Msitudanganye leo eti amekuwa mzuri, mnamuunga mkono
>> ilihali mkijua kuwa hachaguliki na ni rahisi kukumbushia kashfa
>> mlizozisambaza nchi nzima. Wakubwa wakidanganyika wakaleta jina la Lowassa
>> wajiandae kuikabidhi nchi upinzani!
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>
>> -----Original Message-----
>> From: "Laurean Rugambwa " <rugambwa@hotmail.com>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Sun, 10 Mar 2013 15:46:07
>> To: Tony PT<tony_uk45@yahoo.co.uk>; wanabidii@googlegroups.com<
>> wanabidii@googlegroups.com>
>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>>
>> Tony,
>> Sorry for my late response, I am travelling; I know in politics suspicion
>> is everything and I agree with you with all analysis; however, I believe in
>> presumption of innocence; we should all uphold and as you rightly said who
>> would take him to face justice;
>>
>> Here I have a problem with all your analysis, if the government can't
>> prosecute him how would you expect the public to judge him?
>>
>> Hapo kuna kazi kubwa, Kama alikuwa na tuhuma si ashiktakiwe? Wananchi
>> wataelewaje na kumhukumu Kama vyombo vya uchunguzi havijafanya kazi yao?
>>
>> Ila nakubaliana na unavyoeleza kuhusu mifumo yetu ya mahakama na upepelezi
>> vina matatizo;
>> pamoja na hayo, haki ya Mtu hanyimwi kwa tuhuma na hisia.
>>
>> Wenye ushahidi waupeleke kwenye vyombo hivyo.
>> Jioni njema;
>> LR
>> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>>
>> -----Original Message-----
>> From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>> Date: Sun, 10 Mar 2013 08:16:14
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>>
>>
>> LR
>>
>> Nobody can dare taking Lowassa to court because most of the so called law
>> enforcement gurus also need his cash!
>>
>> Secondly, in politics there is no need of proving guilty beyond
>> reasonable doubt as it is required in criminal justice; perceptions in
>> politics rule the day!
>>
>> Opponents of Lowassa do not have to prove his guilty beyond perceptions.
>> They just need to tell the electorate about Lowasa and his illicit
>> financial empire, period.
>>
>> But coming back to the root of the matter, do you agree that Lowasa,
>> Chenge, and Rostam were the cause of JK's votes in 2010, from 82pct to
>> 61pct in 5 years? His involvement in campaigns for the trio made his
>> miserable poll count?
>>
>> If lowasa was an excellent leader as some of you allege here, why his
>> government popularity plummeted like a gravitational mass in only 2-3 years
>> of premiership?
>>
>> No one hates him personally, but many hate his evils. Today we are paying
>> graduated high electric tariff because of the capacity charges that stand
>> killing to you and the rest of electricity users in this nation!
>>
>> During lowasa's tenor of office, do you know that under Mrema as a CEO of
>> TanRoad, price of a standard double-surfaced paved road raised from
>> 300-400m/- to 900m-1.2b/- per Km? After the dual's departure from
>> premiership (2008) and CEO, Tanroad (2010) respectively, the price has
>> remained the same and dropping in general? Do you know how much this
>> economy has been damaged from this level of corruption?
>>
>> Many issues linger around his premiership! We don't have to prove in a
>> court of law as the courts, too are victims of the same system and acquit
>> and convict people depending on how much they gain from a case and from
>> which side! We are equally killing justice...with impunity.
>> ------Original Message------
>> From: Laurean Rugambwa
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Cc: wanabidii@googlegroups.com
>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>> Sent: Mar 10, 2013 10:52
>>
>> Tony,
>> I truly respect your opinion, and I am not here to defend Mr. Lowassa, I
>> do have a problem with your analysis and some of your incriminating
>> evidence below.My question is if indeed he did what you a saying where are
>> justice? Why are the so called known scandals and corruption you so
>> eloquently narrated not investigated and brought to the court of law?
>>
>> Remember and I hope you believe that our constitution guarantees everyone
>> including Lowassa innocence until proven guilty. It is actually an offense
>> to presume someone guilty unless you are competent court of law.
>>
>> Another thing which I have never understood, if this man has so many
>> scandals and shoddy deals and evidence so clear and public knowledge as
>> you and others allege, why is he not prosecuted? Since you seem vested
>> with these circles p, perhaps you might shed some light for us? Any reason?
>> Is he untouchable? Is the prosecution and corruption agencies scared of
>> him? Or would you admit they don't have a case against those allegations?
>>
>> I am reminding you again, I am not his fan or his party or a member in
>> his opposing parties , I am arguing this objectively.
>>
>> Africa doesn't stop amazing us everyday, as you know, we have seen a
>> suspect of crime against humanity Mr.Kenyatta elected 4th President of
>> Kenya, Mr. Lowassa who has never been even questioned or investigated, what
>> will stop him to be become a President even if he doesn't go by the CCM
>> flag? I am just making some logical reasoning here.
>>
>> From LR
>>
>> On 10 Mac 2013, at 10:23 asubuhi, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>> wrote:
>>
>> > Elisa,
>> >
>> > Aliyewasaidia waTz kupata maji ya Victoria si Lowasa, ni rais Mkapa
>> kwenye ahadi yake ya 2000 kwa mkoa wa shinyanga. Wakati huo Lowasa alikuwa
>> kama sio bench ni ofisi tofauti kabisa. Baada ya uchaguzi wa 2000 ndipo
>> Lowasa na Dk Limbu wakaingia wizara hiyo.
>> >
owa

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment