Sunday 10 March 2013

Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?

Tony, unamaanisha tuogope na tuepuke kabisa kuingiza mtu mwenye tuhuma za wizi Ikulu?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 10 Mar 2013 11:58:28
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?

Ephata,

Katika afrika, urais ni muhimu sana kwavile huwezi kutofautisha Urais na taifa. Kwa maana hiyo basi mie sijumuishi kuwa chama fulani k.v ccm wote wameoza; la hasha! Rais kwa nchi za kiafrika ndiye kila kitu na akiwa wa hovyo, nchi na mambo yake yanakuwa ya hovyo.

Mfano mnaopenda kuutumia wa Rwanda, huwezi kusema kinachowasaidia kusukuma mambo ni mfumo, sio kweli, ni Kagame! Kagame asipokuwepo leo akaingia mwingine msishangae kuona mambo yakienda mrama! Afrika, rais ndiye nguzo, nuru na tegemeo kuu la utaifa!

Nchi za wenzetu mifumo ndiyo inayoongoza taifa na kinachofanyika taifa likiongozwa na vyombo mahususi vya dola ndivyo vinasimamia mifumo na private sector inaongoza uchumi. Serikali huingia na kutoka, hazileti mabadiliko mengi ya kimfumo na serikali na kiongozi wake wakitaka kubadili mfumo huchukua muda mrefu na wakati mwingine waasifanikiwe. Viserikali vya kiafrika kila kukicha mambo mengine, hakuna uimara katika kila kitu.
Akiingia rais mzembe nchi inakuwa na institutionalized uzembe na akiingia rais mwizi, kila mtu anaanza kuiba kila alipo! Ndio Afrika yetu ilivyo.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

-----Original Message-----
From: Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 10 Mar 2013 14:32:45
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?

Ndani ya ccm hakuna msafi samaki wote wameoza.Tatizo la ccm ni
mfumo,mfumo ambao wote walioko ndani yake wameharibika,hakuna
atakayesimama kwa tiketi ya ccm akajinadi kuwa ni msafi,ni kiwango cha
uchafu tu ndio kinatofautiana

On 3/10/13, tikooza@yahoo.com <tikooza@yahoo.com> wrote:
> Tony
>
> Umesema vizuri ndugu yangu. Kati ya watu ambao hawana sifa ya kupambana na
> matatizo tulinayo kama taifa ni Yeye.
> Ila ni mmoja ya watu ambao maamuzi yake lazima yaambatane na gharama. Ni
> maamuzi yake mengi ni ya pupa.
>
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
> -----Original Message-----
> From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 10 Mar 2013 07:23:39
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>
> Elisa,
>
> Aliyewasaidia waTz kupata maji ya Victoria si Lowasa, ni rais Mkapa kwenye
> ahadi yake ya 2000 kwa mkoa wa shinyanga. Wakati huo Lowasa alikuwa kama sio
> bench ni ofisi tofauti kabisa. Baada ya uchaguzi wa 2000 ndipo Lowasa na Dk
> Limbu wakaingia wizara hiyo.
>
> Utekelezaji wa mradi wa maji ulianza 2001 wakati wa Lowassa na Diallo kama
> NW.
>
> Kama nilivyosema awali, wengi mnaompigia jalamba huyu Mhe ni adui zake (kwa
> kujua au kutokujua) au ni wapinzani wa ccm (kwa kujua au kutojua. Kama ccm
> wakamteua Lowasa kugombea urais ataanguka asubuhi tu! Madhambi aliyowafanyia
> watanzania ni mengi afadhali wakuweke wewe Elisa hauna historia ya kuwakosea
> waTz.
>
> Sifa mnazompa lowasa hanazo, alibahatika kuwa kufanya kazi na wasaidizi
> makini na pia Rais makini. Wengi wetu tunasahau au hatujui Lowasa na
> matatizo yake ya nyuma: alipokuwa tume ya Loliondo, na alivyokula hela za
> waarabu na kuwaacha hadi leo wapo Loliondo badala ya ilivyotarajiwa na waTz
> (soma tume teule ya Bunge kuhusu Loliondo) ipo hansard za bunge. Pia
> alipokuwa AICC kama CEO alivyopoteza fedha za ujenzi wa staff na baada ya
> hapo alivyojinyakulia ardhi ya AICC na baadae kuuziwa Themi Hill Suites, na
> wengine walio jirani ardhi iliyokuwa ya AICC!
>
> Pia msaada wa ujenzi wa kiwanda cha vyandarua Sunflag, Sumitomo waliwekeza
> na serikali ya Japan na WB wakatoa grant, lowasa akalazimisha kuuziwa hisa
> kiwanda hicho bila kutoa hata senti kumi.
>
> Alipokuwa wizara ya ardhi, mnakumbuka alivyokusanya fedha kwa kuuza maeneo
> na haraka haraka kajenga majengo masaki ambayo yalileta skandali kubwa.
> Ubalozi wa Afrika kusini walipangisha jengo lake kwa gharama kubwa na dili
> hiyo ilifanyika yeye akiwa waziri wa ardhi.
> Nyerere alimuona kama mwizi tu huyo, akamchomoa kutogombea urais 1995. Wizi
> wa mali ya umma kaanza miaka mingi.
>
> Hata unapodai kuwa mchapa kazi sikuelewi. Ungesema ana maamuzi ya pupa tu.
> Mfano, alipoamuru jengo moja karibu na mess ya polisi livunjwe kwavile
> wahindi walikataa kumlipa fedha; maamuzi yake yamegharimu wizara na serikali
> mabilioni kwa amri ya mahakama.
>
> Leo tunalia elimu kuanguka; kisa kimojawapo ni ujenzi wa pupa wa shule za
> kata! Aliacha mpango wa WB na Nordic countries na kutaka utekelezwe kwa
> jazba! Mradi wa kuyelekezwa kwa miaka 10 yeye kaamua ufanyike miaka 2!
> Matokeo yake, hakuna waalimu, vifaa, maabara, uwezo kukosekana wa kuwachukua
> wanafunzi kuelndelea na kidato cha 5 na sita! Leo mnaunda tume kutafuta
> mchawi! Mchawi ni Lowassa na maamuzi yake ya pupa.
> Madhambi yatoikanayo na uamuzi wa hovyo alioufanya huyo ndugu yako ni mengi
> na pia utajiri alio nao wa kugawa fedha kwenye makanisa hauelezeki. Anatoa
> fedha kwa wakristo akidhani watamsaidia. Hajasaidia msikiti hata mmoja kama
> kweli angekuwa na nia ya kusaidia jamii ya nchi hii. Anafanya akijua eti
> zamu ya mgombea kutoka kwenye ukristo ndilo linalofuata! Anasikitisha kwa
> kuona karibu na kijinga hivyo! Ni kati ya wanaochochea mgawanyiko wa dini
> nchini!
>
> Hana maana wala sababu ya kuendelea kuhadaa waTz. Ngoja ufike muda uone
> kivumbi. Kajitahidi kuwanyamazisha wahariri wa magazeti mengi, hajui wakati
> wa chaguzi magazeti yote huhuishwa na mengine kufuka kwa kazi moja tu ya
> uchaguzi! Kuhonga kuna mwisho wake.
>
> Leo wahariri wanadhuriwa na kulalamika kunyamazishwa! Ni wao wameyatafuta
> hayo, unakula fedha ya mtu halafu unafanya kinyume na matakwa yake
> unatarajia nini? Kwenye fedha mtu atakufanyia lolote akiona unataka
> kumdhulumu kinyume na matarajio yake.
>
>
> ------Original Message------
> From: ELISA MUHINGO
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> To: wanabidii@googlegroups.com
> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
> Sent: Mar 10, 2013 09:35
>
> Swali zuri na gumu kujadili ndugu Yona na wengine tuliolielewa.   2015
> tunatarajia kumchagua rais Mpya wa Tano Tanzania. Mfumo wetu ni wa Vyama
> vingi hivyo anaweza kutoka popote na kwa hiyo tuna nafasi kubwa ya kuchagua
> kati ya wengi.   Tunatarajia Katiba mpya itusaidie kurekebisha mazingira ya
> kumpata rais kwa uhuru na haki zaidi japo mizengwe kwenye vyama sijui kama
> katiba itaushughulikia.   Watanzania walio wengi bado wanaweza kufanya
> maamuzi kutegemeana nani amempatia nini. Mtu akileta kanga au T-shirt au
> chakula anaweza kuwasahaulisha watu waliyoyaona au kuyasikia.   Lakini pia
> nchi yetu imepitia misukosuko mingi ambayo imevunja matumaini ya maendeleo.
>   1) Wizi wa mali za umma (Ufisadi) kama hizi za EPA Richmond amabamo
> capacity charges zinatia aibu na mengine, 2) Kashfa ya Rada na majibu yake,
> 3) Udini kuota polepole na kutufikisha kuuana hovyo, 4) Watu kuuawa au
> kuteswa na vyombo vya dolla kutajwa kuhusika na majibu yanayotolewa
> kutoridhisha watu wanaofikiri zaidi ya pua zao. 5)Watanzania kubeba ziko
> kubwa la serikali yenye matumizi ya kihanasa wakati nchi ni maskini. Tuna
> mawaziri wengi. Wakuu wa Mikoa na wilaya wengi, wasaidizi katika ofisi hizi.
> Mbaya matumizi yao wanaiga nchi zilizoendelea ambazo uchumi wake umekua na
> wananchi wake wanaishi vizuri. 6) Lakini mbaya zaidi ni katika matatizo hayo
> Serikali kukaa kimya bila kuchukua hatua au kuchukua hatua za upendeleo au
> kuchukulia hatua mkosaji na asiyekosa ili kuridhisha 'pande zote'. 7) Na
> mengine mengi   Ukiyapima hayo yote unaona kuwa Tanzania inahitaji kusaidiwa
> kumpata kiongozi bora anayeweza kufanya maamuzi bila woga. Nitamalizia kwa
> kusemea swala la kusaidiwa kupata kiongozi. ila nijadili kiongozi
> tunayemtaka.   Sawa na maelezo ya Yona Tanzania inamtaka mtu KAMA Lowasa.
> Tukimjadili Lowasa kuanzia popote hata kama mkurugenzi wa Kwanza wa AICC,
> Waziri wa maji na mifugo. Jinsi alivyoweza kuwasaidia watanzania kutumia
> maji ya Ziwa Victoria bila kujali vitisho vya waMisri. Akiwa Waziri Mkuu
> jinsi alivyowasaidia waTanzania kujenga shule za Kata. Akiwa kijiweni jinsi
> alivyoweza kukabiliana na mashambulizi Utamuona anafaa. Akiwa Rais anaweza
> kuwaambia wasaidizi wake kuwa wakiiba atawachukulia hatua na anaweza
> kuchukua hatua kweli. Akiwa Rais akisema Mwiko kutukana dini ya mwenzako
> anaweza kweli kulisimamia. Tunataka mtu kama Lowasa.   Tanzania Haimtaki Mtu
> kama Lowasa. Kuendelea kumjadili Lowasa kuanzia popote hata aliposemea Yona.
> Jinsi alivyoweza kuishia kujiuzuru tu uwaziri mkuu na asifikishwa
> mahakamani, kama wengine walivyokosa kufikishwa mahakamani-kama mzee wa
> Vijisenti, na wengine wengi (nisiwataje kuleta mjadala ndani ya mjadala).
> Hii si sifa njema Yona. Kuwa ukikumbuka hata kwa mbali maelezo ya Tume ya
> Bunge na mengine ambayo hawakuyaeleza kulikuwa na ushaidi wa kutosha
> kuiondoa serikali yote achilia mbali waziri Mkuu.    Jinsi Lowasa
> alivyotumia mamilioni kufanya mkutano wa wakuu wa mikoa walioshindwa kujenga
> shule za kata.   Jinsi anavyojaribu kupenya kwa kutoshtakiwa ili 2015 aseme
> mbona sikushtakiwa na mambo mengine mabaya ambayo labda ni vyema yataje na
> wengine. Utaona kuwa hatumtaki mtu kama Lowasa kuwa Rais wa Tanzania.   Kama
> watanzania wakisaidiwa sawasawa wanaweza kumchagua mtu Kama Lowasa ila si
> lazima Lowasa.   Lakini nafikiri pia Lowasa anaweza kuchaguliwa kuwa Rais wa
> Tanzania na akaonyesha uzuri wake au ubaya wake watanzania Wakafurahia au
> wakajuta.   Anaweza kutumia fedha aliyonayo kununua urais, kuvishawishi
> vyombo vya dola vikawa upande wake na kuwa Tayari kukabiliana na nguvu ya
> umma huku akitenda mema na nchi ikaendelea   AU Anaweza kukiri ubaya wake
> hadharani na akaahidi kuwa Lowasa tunayemtaka. Akifanya hivyo nitampigia
> kampeni. nami mdogo ninao wanaonisikiliza. Nimelijadili nao jambo hili na
> tumekubaliana kutomuunga mkono asipokiri.   Nilisema Watanzania wanahitaji
> kusaidiwa kumchagua Rais na nafikiri kuna njia mbili: 1) Msaada wa ndani
> ambapo watu wataelimishwa maana ya uchaguzi na wataacha kuchagua viongozi
> wanaowataka. Kama katiba ikipita kama tulivyopendekezwa hiyo ni sehemu kubwa
> ya msaada huo Vyama vya siasa vimeanza na viendelee kuwaelimisha wananchi na
> kwa kweli sasa wanaweza kutetea wanachokitaka bila woga.   2)Njia ya pili ni
> ukosefu wa hilo la kwanza basi kwa uchungu kupitia njia waKenya waliyopitia
> na sasa wamefanya uchaguzi wa angalau haki. Mungu apishe mbali kupitia huko.
> Mnasemaje??????   Elisa Muhingo --- On Sat, 3/9/13, Yona F Maro
> <oldmoshi@gmail.com> wrote: From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com> Subject:
> [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ? To: "Wanabidii"
> <wanabidii@googlegroups.com> Date: Saturday, March 9, 2013, 11:58 AM Ndugu
> zangu , Sehemu nyingi ninazopita hata kuulizia au kuongea mambo ya urais
> 2015 wengi wanampa kura Lowassa kutokana na historia yake ya nyuma na jinsi
> alivyoweza kukabiliana na masuala kadhaa wa kadha mpaka sasa hivi
> ninavyoandika . Kubwa zaidi ni jinsi alivyokubali kuwajibika kama waziri
> mkuu kwenye kashfa ya richmond na bila kufikishwa mahakamani mpaka leo .
> Sasa naomba kuuliza wenzangu hivi Ta
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>


--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment