Monday 11 March 2013

Re: [wanabidii] URAIS 2015 – Anthony Diallo Kufufua AirTanzania na Kupanua Uhuru wa Habari ?

Yona,

Kichwa cha habari umechanganya sana! Unasemea air tanzania mara unaelezea community air! Yona unaonyesha haupo makini na unachokielezea hapa.

Kumbukumbu zinaonyesha alikuwa mbunge kwa miaka 15 na pia hajaangushwa na ccm kama unavyojichanganya kwenye hoja yako. Dialo kaacha uwaziri 2008 baada ya baraza la mawaziri kuvunjwa kufuatia kujiuzulu kwa aliyekuwa WM Mhe Lowasa.

Pili, Diallo hafai kuwa rais kwa sababu nyingi mojawapo hajaonyesha nia hiyo na wala sijasikia yeye kutamka hivyo mahali popote. Pia wakati akiacha uwaziri inasemekana alitamka kwa waandishi wa habari Dodoma kuwa yeye anaamua kurudi kwenye biashara zake. Lakini cha kushangaza ni pale alipoamua kugombea wenyekiti wa chama chake mkoa wa Mwanza.

Yona naona umeleta hoja hii kupotosha hoja iliyokuwa ikiendelea na uliyoileta mwenyewe ya Lowasa.
Kwa kifupi Diallo sio presidential material. Sema mwingine maana naona unatupeleka unakopataka, hii ni danganya toto tu yako.
------Original Message------
From: Yona F Maro
Sender: wanabidii@googlegroups.com
To: Wanabidii
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] URAIS 2015 – Anthony Diallo Kufufua AirTanzania na Kupanua Uhuru wa Habari ?
Sent: Mar 11, 2013 21:25

Anthony Diallo ni Mwanasiasa machachari aliyewahi kuwa mbunge wa
Ilemela 1995 – 2000 mpaka alipoangushwa na Mgombea wa CCM , Hivi sasa
ni mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza , amekuwa NEC kuanzia mwaka 2002
Amewahi kuwa Waziri na Naibu waziri katika vipindi tofauti .

Pia ni mfanyabiashara mmiliki wa Sahara Media wenye Star TV , Radio
free Africa na vyombo kadhaa vya habari nchini , pia amewahi
kuhusishwa na shirika la ndege la Community Air .

Wakati yeye ameanzisha Community Air Ndio airtanzania ilipokuwa
inaendelea kufa huku yeye akiwa kiongozi wa serikali na amewahi
kutishia kumfungulia mashtaka ndugu msemakweli alipotuhumiwa kuhusu
uhalali wa Chuo kimoja kilichompa cheti .

Kwa uzoefu wake katika siasa , biashara na masuala mengine ya kijamii
mnafikiri anatufaa kuwa rais wa Tanzania Mwaka 2015 kweli ?

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

0 comments:

Post a Comment