Sunday 17 March 2013

Re: [wanabidii] TUNATAKA KUBADILI TUKIWA NJE,TUKIINGIA TUNAOGOPA

Kha mandela umefunguliwa? Habari za jela

On 3/16/13, Deo Kibambizi <kibambizi@gmail.com> wrote:
> Haya maneno nawatumia,MABADILIKO GOOGLE GROUP Moderators.Hivi kama mnataka
> mabadiliko ya kweli kwa mwendo huu tutafika?Hata siku moja.Nadhani hapa
> kuna mabadiliko hawa mods wanapenda kuyafanya hasa kutaka kulibadili imani
> za watu na pia kushambuliana kwa hoja si mbaya,maana michango yoote ambayo
> inaachwa inahusisha mambo ya dini tu.Msiogope kuwa nanyi kama wote tunaoona
> wanawasumbua watu wa kuonyesha makosa kijamii wanatendewa unyama,natumaini
> hata nyie kama tukiweka katika usawa wa madaraka,basi nanyi hamna tofauti
> na wale wanawanyamazishwa wengine kwa kuwang'oa kucha na meno.Kwa kumzuia
> mwana mabadiliko kuchangia maana mnang'oa meno na kucha.
>
> MABADILIKO HAYAWEZI KUJA hadi kila mmoja mmoja abadilike....NIFUNGULIENI
> NIINGIE NIWABADILISHE...ha ha ha ha ha!
> NAWASILISHA.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment