Wednesday 20 March 2013

Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?

Dr. Mkumbo Kitila

Binafsi mimi katika CHADEMA watu wawili tu ambao nawakubali mtizamo wao, uwezo wao wa kuelewa mambo, uwezo wao wa kushawishi na hata uwezo wao wa kuongoza wengine ni ZITTO na SILINDE.

Zitto anakubalika karibu na jamii nzima ya watu, wasiompenda wanalazimisha aonekane hafai lakinibado hawana uwezo wa kuzima uwezo wake kiakili na kuchambua mambo. Kimsingi Zitto ni mzalendo sana, wengine sioni kitu wana sababu zao tu zikifanikiwa wala hutawaona wakiimba tena wimbo wa ukombozi wa nchi. Watajiwekea fensi kali ili wasikaribiwe na wananchi wakitoa sababu mbalimbali kama hii kwamba wana wasiwasi na usalama wao..... ni wa kuangalia sana hawa watu.

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
Sent: Wed, Mar 20, 2013 3:03:35 AM

Ndugu yangu walewale, kumbe hata huyo kijana Mnyika mseminari naye unamkubali? Naanza kuuona mwanga mwishoni mwa tunnel......

On 20/03/2013 4:47 AM, "amour chamani" <abachamani@yahoo.com> wrote:
Dr.Kitila Mkumbo.
Binafsi nawakubali sana watu wawili katika CHADEMA.John Mnyika na Zitto Kabwe.Nadhani uwezo wao ni mkubwa sana.Hawa ni silaha kubwa kwa chama nadhani watu wote wanajua.

Walewale.

From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, March 19, 2013 8:38 PM
Subject: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?

Kitila,

Hili unasema ni kweli hasa ukichanganya na ushamba, umaskini, wivu, na kutojituma inazidisha chuki za akina sie!

Ni balaa la kijamii!
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

From: Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
Date: Tue, 19 Mar 2013 19:52:01 +0300
Subject: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?

Ukitulia vizuri ukaangalia mbele na nyuma utaona kwamba katika jamii yetu tuna tabia ya kuchukia watu wenye uwezo, hasa wa kiakili. Tangu tukiwa mashuleni watu wanaonyesha uwezo mkubwa darasani na wanaofanya sana bidii huwa wanachukiwa na kutengwa. Hilo linaendelea hadi katika jamii na linajionyesha waziwazi pale ambapo huwa tunajikuta tunachagua viongozi bora viongozi na kuwaacha wale wanaoonekana wana uwezo. Mtu anayeonekana ana uwezo atapigwa vita kila kona hadi 'aishe' kisiasa. Ni nadra katika jamii yetu mtu mwenye uwezo sawasawa akapenye katika uongozi. Ndivyo alivyokwama SAS, na ndilo jambo analohangaika nalo ZZK na yeye amekuwa na ngozi nzito kwelikweli!!

2013/3/18 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu

Katika siku za karibuni tumeona vitisho , kashfa , dharau na aina
nyingine za dhihaka dhidi ya mwanasiasa kijana mhe zitto kabwe na hata
wakati mwingine unasoma kwenye mitandao ya kijamii safari zake binafsi
au mikutano binafsi ikichapishwa kwa maana ambayo sio sahihi .

Mpaka sasa hivi sijawahi kuelewa tatizo la Zitto Kabwe ni nini mpaka
anaandamwa ndani ya chama chake kwa siri siri na hata kwa uwazo tu
toka kwa baadhi ya viongozi na wanachama ambao ungetegemea wawe ndio
kichocheo ya maelewano ndani ya chama na nje .

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment