Monday 11 March 2013

Re: [wanabidii] Taarifa ya TEF kuhusu hali ya Absalom Kibanda

me nadhani cha msingi kwa sasa, ni serikali ichukue hatua, TISS na Polisi wanaweza kabisa, na nina imani hiyo kuwabaini wa Ulimboka na hawa wa Kibanda, hatuhitaji FBI watusaidie,

lakini tumeona Waziri nchimbi amefanya maamuzi mazito, hongera sana, kwa hiyo hata kama ni TISS wamefanya watajwe, wafutwe kazi na wafikishwe kwenye vyombo vya sheria, matukio haya yanatia aibu nchi yetu ya Asali na maziwa Kisiwa cha amani

On Mon, Mar 11, 2013 at 2:12 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Unyama huu mpaka lini??
kila siku wanatengewa mi-budget kwa siri, magharama lukuki,
wananunuliwa magari na mishahara minono tu, wanafanya kazi gani kama
wameshindwa kutoa boriti la jicho lao?? to some extent hii
intelijensia ya awamu hii ina kasi ya ajabu kwenye (...) kuliko
wanachotakiwa kufanya.
Anyway, zimwi likujualo.......

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment