Wednesday 20 March 2013

Re: [wanabidii] RE:Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

SISI TUMELALAAAA! wa kutuamusha hajazaliwa bado, na msipitepite huko kwa wawekezaji mtakufa, sasa ngoja wagikuyu wachukue ardhi nyie kazi yenu kama kawaida ni kulalamika, mjumbe analalamika, m/kiti wa serikali ya mtaa analalamika, diwani analalamika, mbunge akiwa bungeni analalamika, waziri nae analalamika akiinuka bwanamukubwa ni kulalamika! nani ATATUOKOA?

2013/3/20 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Mimi nilikuwa field wakati huo nikizunguka kuanzia Vumari, Ruvu Mferejini, Mkonga Ijinyu, Kisiwani Barazani, Gonja-Maore, Mnazi, Ndugu,Makokane,  Hedaru, Mgandu Mkundimbaru, Mnazi. 1995-1997 March. Nikarudi tena, 2001, 2003 na 2006, 2012 katika shughuli nyingine za utafiti. Mabadiliko ni makubwa 2012 na ni mabaya zaidi. Ila, ninamsifu sana mbunge wa Same kusini kuwapatia maji kule maeneo ya Hedaru vijini jirani na Kalemawe-Mgandu ambapo wakinjwa maji ya mifereji yenye pesticides ambapo 2001 wakiteseka na wakifa kwa cancer za koo wakawa wanapata maji ya boreholes na water user association zikisimamia miradi yao. Abarikiwe mama huyo.

 Huyo mzungu wa Kisiwani Barazani alivyonifanyia yaliyompata nilisali kuona Mungu Mkubwa na nilimuahidi kuwa mimi ni mtanzania behaviour yake itamgharimu ipo simu jogoo atawika yataimia. Kwenda kumuhoji na vibali vilikuwa navyo na kijiji kinanionyesha ofisi yake nilipofika alinitukana mbele ya akina mama hapo. Kisha akaita police akasema amevamiwa na majambazi. Mwenyekiti wa kijiji wakati huo Mzee Kibacha alikuja mbio kuona majambazi waliokamatwa akakuta ni mimi niliyepelekwa kuna naye. Alikaa chini akakosa la kuuliza. Kumkomesha mzungu, nikiwa mtafiti nilihamasisha kujenga madarasa mawili hapo ya sekondari ambapo watoto walikuwa wakasome Gonja kilometa 30+ kwenda na kurudi daily. Kuhamasisha ni ile kuwawezesha kuwa organized na kujitolea kukusanya raslimali asili-mawe, kufyatua tofari, kuzichoma na kulipa mafundi na yakajengwa nao mafundi wa kijiji. Sasa shule imepanuka ni high school. Niligharimia mchoro sanifu tu laki na nusu. Hii ilimkera mzungu zaidi. Alikiwa hapendi wataalam wa GVT na wengineo kufika hapo kuwa alikuwa kama MTAWALA. Ukifika kwake anakujibu mavi mavi (ashakum)

Na yule wa Maore mradi wa SNV umwagiliaji-volunteer. Details za kufukuzwa kwao na vule Mjamaica jangiri aliyejificha Rufu mferejini-Mpigie Peter Kangwa nitakupa simu yake. Huyu alikuwa DC wakati huo, na aliwafuata mwenyewe kwa niaba ya Rais akawakuta alipowakuwa ni hapo hapo Kabang wakabebwa na vyombo vya usalama kama alivyoagiwa na ofisi husika kuwa yeye ni mwakilishi wa Rais wa wakati huo. Jumba lipo la huyo mdachi hapo Kisiwani karibu na Ofisi ya Kata kama unaelekea kitongoji cha Njiro kuvuka tu mto mkomazi hapo kisiwani kushoto amemuachia mtoto anaesemekana akilelewa na hiyo couple ambae ni yatima. maelezo yao mengine-Msake Mama Kavumo ambaye alikuwa mmoja wa kiongozi wa kikundi cha huyo mama cha wanawake. Simu ya mama Kavumo na kangwa ntakupa. Mimi ni mtanzania mpenda nchi yangu. Huwa sisemi uongo. Kangwa atakueleza ufisadi wa chama cha wakulima wa mpunga cha ndungu-CHAWAMPYO na jinsi tulivyojitahidi kukikwamua. Nchi hii ni kazi hasa kuleta maendeleo, ndani yetu wenyewe hadi kijijini na katika koo dhuluma na ufisaji, chuki na uadui balaa. Ila, kusema uongo na kukataa uwazi na ukweli-hatari ni cancaer ya akili na moyo.

--- On Tue, 19/3/13, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> wrote:

From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>

Subject: Re: [wanabidii] RE:Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 19 March, 2013, 22:13

Hildergada, naomba unitumie taarifa zaidi kuhusu hao wa Kisiwani na Gonja/Maore

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, March 19, 2013 12:35 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE:Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Alexander,
Jiulize-mfugaji kutoka Burundi ameingia na mifugo vipi tunayoiona katika TV akakaa na kubughudhi wenyeji wa kijiji hicho kwa maelfu wao wachache tu.

Kutoka nayo kwao, yupo kijiji fulani, kitongoji fulani kijiji hicho au msituni analima, anachunga, anakata miti, anachoma mkaa, anawatuma vibarua vya kulika na kukata miti, kubeba magunia-Kabang, kaingiaje hapo?

Ukifuatilia-mtu anakuambia hii ni customary land yangu nina uhuru nayo kumuuzia nimtakae nina shida ya hela na hii si yako. Mwingine anaoa msichana kinamna, anapata ardhi, anahamia, anakaa naye, anamuacha analeta watu wa kwao. Ulimpa mwenyewe ardhi kama mkwe. Akili kukichwa na vitambulisho ukamtafutia kwa rushwa.

Na ndio unaweza ukafika kijiji fulani ukauta kuna Raia wa kigeni kaoa kabinti wana maekari ya ardhi. Anatembelewa na watu kibao eti wageni wake kutoka kwao ulaya. Kumbe wale ni watalii, hana udugu nao hata ni mtandao. Wanamlipa yeye hela, wanaingia wanatumia magari yake kwenda kutembea mbugani wanakodi kwake. Utalii wa kisiri na huyo kadadaa anaiuza nchi.

Mpaka majasusi yameshakamatwa nchini hapa likitafutwa miaka na interpool. Moja likisakwa USA black lakini Jamaican Origin. Hili lilihamia eneo la vijiji vya Mto Ruvu Wilaya ya Same. Likawa linalima hapo, linatoa ajira watu kujipendekeza kwake. Usiniulize mengi, si uongo. DC anakwenda kutembelea vijiji na kilimo cha umwagiliaji anaona kajumba na rasta huyo akauliza ni nani yule anafanya nini-ahaa huyu mtu wetu mwekezaji anatusaidia sana hapa!! Alikwenda akamuohi machale yakamcheza. Akalifuatilia, kisha kuwauliza US Embassy kama wanamfahamu huyu mtu muwekezaji Jamaican aliyepo hapo ambae ni Raia wao-Ambassador mwenyewe alisema naja huko huko huyo wanted ni hatari. Alifika Same na jamaa masaa 24 kabebwa kapeleka alikotakiwa.Non-persona grata  hii iliwapata wazungu 2 mmoja Kijiji cha Kisiwani na mmoja Maore/Gonja. Nilimsifu DC Peter Kangwa-yupo Moshi kwa sasa. Nao hao masaa 24 hadi leo hawajarudi na mmoja alijenga nyumba hapo Kisiwani lipo. Hao wakifanyakazi za NGO lakini walikuwa maalun, fidhuli wanyanyasaji, dharau hata kwa viongozi, watafiti, kuchochea mambo na kugombanisha wanandoa kwa mafunzo ya gender yasiyo maadili. Wakibebwa na wanakijiji waliokuwa wanajipendekeza kujipatia kuomba visent. Walikukutana na mtu apendae taifa lake Peter Kangwa -Hadi leo hawajarudi mjumba wa kisiwani upo.

Mtwara kuna wasomali na biashara zao. Majumba ya NHC Dar unaona yamefanyiwa extension kuwekwa restaurant, maduka ya spea etc unashangaa mtu amepanga lakini amebadili design. Tumelala. Utayaona Jangwani Fire area, Upanga etc.

Kuna hadithi za wahamiaji kujazana humo kwa jamaa zao waliowaleta toka bombay, Somalia etc wanapika mavyakula ya hoteli hawaonekani nje bali nje ni vijana wetu kugawa chakula. Baada ya muda-wanamudu kuhamia na kununua majumba/ardhi kujiweka kibiashara bila kupitia TIC. Hawa wawekezaji uchwara bila benefits kwa jamii ni wengi.

Utayaona haya- wameuza Ardhi Mafia kwa wageni kinyemela wanalia wenyewe sasa uonevu-hawasikii. Milingoti imejaa Kiwa, Lindi, Bagamoyo watu wamenunua ardhi sana baadhi ni kutoka nchi jirani kupitia migongo ya vijana wetu. Kijana mbongo ananunua kwa niaba.  Utatofautishaje Mkurya na Mkikuyu, Mhaya na Mganda, Mnyarwanda na Mha? Anasema nduguye!!. Anamunulia, anaishi bila vibali yeye yake ni 10% tu anapata. Sasa Wachina ndio wanaoa vibaya kama vijana wetu wanachooa majimama mazee ili apate kujengewa aukate. haya ndio maendeleo. wageni watapata ardhi kwa mbinu nyingi kama sisi tunavyotorokea kwanda na kukaa nchi zao kwa mbinu nyingi.

TUCHUKUE HATUA sote tuwajibike tusidanganyike kwa tamaa ya mafao ya muda mfupi.

--- On Tue, 19/3/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Subject: [wanabidii] RE:Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, 19 March, 2013, 14:55

Chambi na Wasimbeye,
Chambi aksante kuliona hilo. Mimi binafsi nitofautiane na wa-Simbeye juu ya mawazo yake. Japo sheria hairuhusu mgeni kununua ardhi hatupaswi kuwaacha wachukue ardhi alafu baadae ndipo tuende kuwapinga mahakami. Tukiacha ifikie hapo tutapata shida sana mbeleni, hasa ukizingatia udhaifu wa vyombo vyetu vya kutoa haki kama polisi na mahakama kutokana na RUSHWA. Kumbukeni kuo hao Wakenya Kwa sasa wanatumia pia KETE AU UJANJA wa kuoa dada zetu ili wapate haki za-Watanzania hasa Ardhi. Kimsingi hawana haja ya kuwaoa ila wanataka kuhararisha kiu yao ya ardhi. Ikiwezekana tunapaswa kukaza sheria kua wanapowaoan dada zetu ardhi iandikishwe kwa jina la mwanamke.

Chamsingi ndugu zangu tunapaswa kuwafundisha watu wetu juu ya umhimu wa ardhi hasa katika kipindi hiki ambapo ardhi inatafutwa na mataifa mengi. Wakenya wameshindwa kutatua masuala ya ardhi internally-maana wameacha watu wachache kujimilikishia maeneo makubwa; ndio maana matukio ya mapigano juu ya ardhi Kenya ni mengi sana . Kwa mtizamo wangu nchi nyingi tulizojiunga nazo kwenye hii EAC na hasa Kenya lengo lao kubwa nikutumia EAC kutatua matatizo yao ya ndani hasa suala la ardhi. Yatupasa tuwe macho sana. Watanzania tunatakiwa kufumbua macho na kuona nje ya BOX kinachoendelea. Mara nyingi viongozi wanasaign mikataba ambayo itatuacha solemba mbeleni kama taifa.
Alexander

From: Finnigan wa Simbeye <f_simbeye@yahoo.com>
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Sent: Tuesday, March 19, 2013 2:10 PM
Subject: Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Chambi,

Wameliwa hao, ardhi siyo swala la Jumuiya na sheria yetu inakataza mgeni kumiliki ardhi, watanunua lakini mwishowe watu watawarudi baada ya kwenda mahakami. Wanaweza kupata ardhi kama wawekezaji kupitia TIC. Waache waje nami nawashauri Watanzania mlioko na ardhi Arusha wauzieni then mwende mahakamni hawana chao!!

wa Simbeye

--- On Tue, 3/19/13, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> wrote:

From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
Subject: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
To: "Wanazuoni" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Date: Tuesday, March 19, 2013, 2:02 PM

Mfuatiliaji wa kwa karibu wa masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki anasema kuwa katika miaka ya 70 baada ya Arusha kufanywa makao makuu ya jumuiya hiyo, Wakikuyu wengi walinunua/walitwaa ardhi hapo. Hivyo, Arusha ikaanza kuwa kama sehemu ya Kenya na fedha ya Kenya ikawa ndio inadaiwa/inatumika katika mahoteli, maduka n.k. Kwa mujibu wa maelezo yake, hali hii ilikoma baada ya Tanzania kufunga mpaka wake na Kenya katika mtafaruku wa kuivunja jumuiya hiyo.

Mdau huyo anasisitiza kuwa tukio hilo lilisababisha Wakikuyu warudi/wakimbilie kwao Kenya. Sasa anaona wanarudi kwa kasi sana na anahisi Watanzania hawana wasiwasi kabisa. Anashauri watafiti wa masuala ya ardhi watathmini kwa kina ni kiasi gani cha ardhi huko Arusha kimeshatwaliwa na Wakikiyu. Hofu yake ni kuwa ushindi wa Uhuru Kenyatta unaweza kusababisha hali hii izidi hasa katika muktadha wa kuiimarisha Arusha kama makao makuu ya Jumuiya mpya ya Afrika Mashariki. 

"Kwa kuwa Arusha sasa imekuwa kitongoji cha Nairobi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki ni vyema kutathmini ardhi inayotwaliwa na Wakikuyu" - Mdau Mfuatiliaji
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment