Wednesday 20 March 2013

Re: [wanabidii] RE:Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Tony PT

Hawa ndio wanaodai uraia wa nchi mbili ili wanapovuruga na kuchonganisha watu wao hawapo wako mbali. Wasituharibie nchi hawa wenyewe tumetulia na maisha yetu yanakwenda mbele.

Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] RE:Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
Sent: Wed, Mar 20, 2013 4:47:17 AM

Amour,

Kwanini mnaongelea huko ughaibuni tu kuja huku hamtaki? Njoni mfanye hayo ambayo sisi yametushinda ndio tuone umahiri wenu wa kukosoa!

Tunaishi tunavyopenda nanyi kaeni hukohuko na wafaransa na wamerekani wenu. Mtakuwa mnatozwa kodi mnalipa tunnapewa misaada tunakula, kuna ubaya yani? Ongeeni hadi mchoke, sisi tupo na tunadunda, hatukosi raha hata moja ambayo mnajidai nyie huko kuzipata! Mwendo mdundo!
------Original Message------
From: amour chamani
Sender: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RE:Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
Sent: Mar 20, 2013 07:00

Muganda Sana na ndiyo maana bado ni kioo cha maisha yetu(japo kwa nukuu tu).Watanzania hatujaweza chochote hata kimoja kwa miaka yote zaidi ya 50. Muganda hata komedi hatuwezi. Kila kitu ni hovyo kuliko maelezo. Tutazungumza elimu kwa sababu ya mitihani na tutazungumza afya kwasababu ya migomo ya madaktari lakini vipi miundo mbinu unakumbuka nchi hii tulivyokuwa hatuna Ukumbi wa maana wa mikutano,uwanja wa mpira nk,sheria zetu,uongozi,na kila kibaya kiko hapa nchini. Hebu angalia pale Magogoni eneo la chuo ndani ya mita kumi kutoka Ikulu jinsi majengo alivyorundikwa.Angalia majanga ya moto,angalia lundo la vifusi vya Kariakoo(maghorofa),angalia mfumo wa maji taka. Tembelea tovuti za Wizara na Idara za Serikali. Nenda kwenye nishati uambiwe huwezi kufanya malipo TRA kwani mtandao uko chini,au umeme umekatika Bandarini. Nani wa kulaumiwa? Tanzania,Tanzania. Walewale. From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Wednesday, March 20, 2013 6:28 AM Subject: Re: [wanabidii] RE:Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha? Amour, 'Hata baada ya miaka 14 kaburini Nyerere anaendelea kuathiri Watanzania katika uzembe wao? When will people take responsibility for their own ignorance? em 2013/3/19 amour chamani <abachamani@yahoo.com> Matinyi. Pole na maneno yako makali lakini ni kazi ya Nyerere hiyo(malezi) si unajua tena ndiye baba! Walewale From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Wednesday, March 20, 2013 5:09 AM Subject: RE: [wanabidii] RE:Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha? Nyerere aliwahi kusema hivi......ni hatari kumpa maskini haki ya kuuza ardhi. Huu mchezo tunaoufanya sasa utatuliza vibaya siku si nyingi. Tutakuwa watumwa katika nchi yetu.   Na mimi husema kila siku - Watanzania sisi ni watu mabwege sana. Inaingia akilini kweli, kwamba mgeni anakuja anachukua ardhi yetu na anaanza kuwanyanyasa Watanzania na wote tumekaa tu?   Sasa ngojeni hii EAC itumalize na ubwege wetu.   Date: Tue, 19 Mar 2013 15:13:58 -0700 From:
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment