Thursday 21 March 2013

Re: [wanabidii] Re: Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Elisa,
Sasa nimekuelewa, kwangu binafsi sioni shida ya Tanzania kutenga 39% ya ardhi yake kama reserve (hiyo nayo ni moja kati ya land use/matumizi ya ardhi).

Nakama tukiwa makini katika kusimamia vema pesa na utajiri  upatikanao kutokana na hizo ardhi tulizo zitenga kama hifadhi bado nchi ingepata faida sana. Tatizio kama nchi tunafadika kidogo na sector ya utalii, na kwasehemu kubwa uhifadhi unafanyika on expense of the community who surround our reserves-hiyo sio sawa.

Eliasa huwezi acha  kila kipande cha ardhi kikatumika kwa kilimo. Pamoja na kwamba Tanzania kama nchi tumetenga 39% ya ardhi kwa ajili ya hifadhi bado kuna ardhi nyingi amabayo tungewapa watu wetu bila kuathirika na uhifadhi. Hilo hatujalifanya, matokeo yake tunaigawa kwa wageni 'wawekezaji' na sasa kwa hao majirani zetu ambao wameanza kutumia kila mbinu kuchukua ardhi yetu na watanzania wakibakia landless.

Kwahiyo Elisa, kwangu naona hata kama tungetenga 45% bado ardhi ingetutosha kama tungefanya assessment ya mahitaji ya watu wetu ili ardhi isigawiwe kiholela.

Pia kumbuka kua kwakuweka ardhi kama hifadhi kwangu naona ni faida maana ni kama umejiwekea fedha benki- maana tunaweza kubadilisha matumizi wakati wowote itakapo hitajika kufanya hivyo. Kwa sasa hali ilivyo na ombwe la uongozi uliopo tukikiacha na hizo hifadhi pia zitumike kwa kilimo zitachakuliwa na wakola na kuicha nchi kwenye matatizo zaidi.
Alexander

From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
To: "Wanazuoni@yahoogroups.com" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Thursday, March 21, 2013 12:07 PM
Subject: [wanabidii] Re: Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

From Mtoa Taarifa: "Very interesting info from Elisa and her last comment is to the point...for Tanzanians because they live in another universe from the Kenyans for whom suala la ardhi is NOT la kitaifa but kikabila...as is every other issue. How is it that the Kenyattas "own" half a million acres of the country? Reading the comments from your network it is clear that Tanzanians have difficulty in understanding the nature of ukabila politics...to their credit. They think that it's an insult to pinpoint the Kikuyu land ownership in Arusha. So it is necessary perhaps to explain how tribalism is the basis of "nation-building" in Kenya. Hence my code phrase the 'Kikuyu Raj'."

From: "eligreco@yahoo.com" <eligreco@yahoo.com>
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
Sent: Thursday, March 21, 2013 5:33 AM
Subject: [Wanazuoni] Re: Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Ahsante Alezander,

nilikuwa ninajaribu kuendeleza mazungumzo kuhusu ardhi kwa kukumbusha kwamba wengi wanazuiwa kuitumia ardhi ya nchi kwa ajili ya hifadhi. Asilimia 39% ni kubwa mno ukiilinganisha na ile ya nchi tajiri na hata ya nchi nyingine zisioyendelea.
Kwa hiyo naona ni muhimu tukishaanza kuzungumzia ardhi, basi tujiulize je, wanyamapori na watanzania wana haki gani?
Natumaini nimejieleza zaidi.

Elisa

p.s. jina langu Elisa, eligreco ni anwani ya baruapepe.

--- In Wanazuoni@yahoogroups.com, alexander chipalazya <chipalazya@...> wrote:
>
> Ndugu Eligreco,
> Sijaelewa swali lako. Unakubali kua ardhi ni nchi. Na hapohapo unauliza kwanini 39% ya ardhi Tanzania ipo chini ya hifadhi. Je! unataka kusema kua ardhi ikiwa chini ya hifadhi inakosa sifa ya kuwa nchi?
> Alexander
>
>
>
>
> ________________________________
> From: "eligreco@..." <eligreco@...>
> To: Wanazuoni@yahoogroups.com
> Sent: Wednesday, March 20, 2013 5:15 PM
> Subject: [Wanazuoni] Re: Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
>
>
>  
> kweli, ardhi ndiyo nchi.
> sasa kwa nini 39% ya ardhi Tanzania ipo chini ya hifadhi?
>
> --- In Wanazuoni@yahoogroups.com, "Mtemi G. Zombwe" <mtemi78@> wrote:
> >
> > Wapendwa,
> >
> > Wakati fulani tulimcheka Rais Robert Mugabe. Nukuu ya mwanazuoni wetu hapa
> > chini (ARDHI NDIYO NCHI). Ni nukuu takatifu ambayo pia utaikuta sehemu
> > nyingi za hotuba ya Mugabe- ambaye ni adui mkubwa wa dunia ya wastaarabu *kama
> > wanavyodai wao*.
> >
> > Tatizo liko kwa Wakenya au kwenye Sheria zetu za ardhi na ugawaji ardhi?
> > Liko kwetu watanzania tusiothamini nchi yetu tunaoweza kuuza kila kitu kwa
> > starehe ya muda mfupi? Liko kwa wapiga porojo(*wanasiasa*-*japo siyo wot*e)
> > wasiojua kutetea nchi yao?
> >
> > Liko kwa viongozi na wataalamu feki wanaoghilibu maliasili za nchi kwenye
> > vikao vya maamuzi feki? Liko kwenye asasi za kiraia zisizo elimisha na
> > kuamsha watu kikamilifu kutetea nchi yao? Liko kwangu na kwako kwa
> > kushindwa kutimiza wajibu wetu wakati fulani?
> >
> > Ardhi ni maji, ni miti, ni madini, ni nyasi. *Kila aina ya maliasili chanzo
> > chake ni ardhi*.
> >
> > Ni lazima tuipende nchi yetu na tuelimishane kuanzia vijijini hadi mijini.
> > Kila mmoja kwa nafasi yake. Wanaonyemelea ardhi yetu wanatuona *tumelala*.
> > Na wahenga walisema usimwamshe aliyelala utalala wewe
> >
> > Kweli; Tuendelee kulala Watanzania?
> >
> >
> >
> >
> > 2013/3/19 Chambi Chachage <chambi78@>
> >
> > > **
> > >
> > >
> > > Nilitaka niweke 'Wakenya' badala ya 'Wakikuyu' kwenye kichwa cha habari
> > > ila chanzo cha taarifa kimesisitiza ni Wakikuyu na naona humu ndio
> > > wanatajwatajwa.
> > >
> > > ------------------------------
> > > *From:* Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@>
> > > *To:* mabadilikotanzania@googlegroups.com
> > > *Sent:* Tuesday, March 19, 2013 4:20 PM
> > > *Subject:* Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
> > >
> > > Dada Anna umeona vyema, ndio faida ya mijadala kama hii
> > >
> > > ______________________________________________
> > > Real Change for Real Development,
> > >
> > > Lemburis Kivuyo
> > > +255654650100/078 7665050/0755646470
> > > Website: www. <http://www.infocomcenter.com/>kivuyo.com,
> > > Facebook: *https://www.facebook.com/ujasiriamali*
> > > Titter: http://twitter.com/lembu1,
> > > Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo,
> > > Google+: gplus.to/lembukivuyo
> > >
> > >
> > > 2013/3/19 anna mghwira <aemghw@>
> > >
> > >
> > > Ukabila tena, kila mtu ataleta vya kwao. hata la Wakikuyu hakuna anajua,
> > > japo mtoa mada ameiita hivyo, kwa taaarifa alizo nazo...ukweli wengine
> > > tunajua tu ni Wakenya, hatujui makabila yao ila mtu akijua anasema na
> > > nafikiri suala si ukabila, bali ni ardhi ya tanzania, watanzania na raia wa
> > > nchi zingine za jumuiya, sera ya ardhi ilikuwa wazi kuwa shirikisho
> > > lisiingize ardhi...kwa hiyo hawa wanaingiaje nadhani ni suala muhimu.
> > >
> > > Hoja ya ukabila inaweza kupunguza maana halisi ya tatizo na kulifanya kuwa
> > > la wengi wakati waathirika hasa ni sisi wenyewe.
> > >
> > >
> > >
> > > 2013/3/19 Leila Sheikh <calabashtz88@>
> > >
> > > Tanga jalala la wavamizi jirani
> > >
> > > ----------
> > > Sent from my Nokia phone
> > >
> > > ------Original message------
> > > From: <va_ntetema5@>
> > > To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> > > Date: Tuesday, March 19, 2013 1:38:42 PM GMT+0000
> > > Subject: Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
> > >
> > > Huko Mbeya viJijini na Tunduma wapo tele.
> > > Sent from my BlackBerry® smartphone from Zain Tanzania
> > >
> > > -----Original Message-----
> > > From: anna mghwira <aemghw@>
> > > Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> > > Date: Tue, 19 Mar 2013 16:21:26
> > > To: <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> > > Reply-To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> > > Subject: Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
> > >
> > > Siuji kama sheria inafanya kazi maana wapo wenye ekari 200, wamechukua
> > > vilima vile vizuri vya kisongo, mahoteli makubwa yamejengwa, sina hakika
> > > ila kuna haja kufuatilia...mwaka 1998 Monduli ilikuwa imeuza asilimia 85 ya
> > > ardhi yake, wakazi wake walibakiwa na 15% tu, sijui leo ambamo imekuwa
> > > karibu zaidi na arusha,
> > >
> > >
> > > 2013/3/19 Finnigan wa Simbeye <f_simbeye@>
> > >
> > > > Chambi,
> > > >
> > > > Wameliwa hao, ardhi siyo swala la Jumuiya na sheria yetu inakataza mgeni
> > > > kumiliki ardhi, watanunua lakini mwishowe watu watawarudi baada ya kwenda
> > > > mahakami. Wanaweza kupata ardhi kama wawekezaji kupitia TIC. Waache waje
> > > > nami nawashauri Watanzania mlioko na ardhi Arusha wauzieni then mwende
> > > > mahakamni hawana chao!!
> > > >
> > > > wa Simbeye
> > > >
> > > >
> > > >
> > > > --- On *Tue, 3/19/13, Chambi Chachage <chambi78@>* wrote:
> > > >
> > > >
> > > > From: Chambi Chachage <chambi78@>
> > > > Subject: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
> > > > To: "Wanazuoni" <Wanazuoni@yahoogroups.com>
> > > > Date: Tuesday, March 19, 2013, 2:02 PM
> > > >
> > > >
> > > > Mfuatiliaji wa kwa karibu wa masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki
> > > > anasema kuwa katika miaka ya 70 baada ya Arusha kufanywa makao makuu ya
> > > > jumuiya hiyo, Wakikuyu wengi walinunua/walitwaa ardhi hapo. Hivyo, Arusha
> > > > ikaanza kuwa kama sehemu ya Kenya na fedha ya Kenya ikawa ndio
> > > > inadaiwa/inatumika katika mahoteli, maduka n.k. Kwa mujibu wa maelezo
> > > yake,
> > > > hali hii ilikoma baada ya Tanzania kufunga mpaka wake na Kenya katika
> > > > mtafaruku wa kuivunja jumuiya hiyo.
> > > >
> > > > Mdau huyo anasisitiza kuwa tukio hilo lilisababisha Wakikuyu
> > > > warudi/wakimbilie kwao Kenya. Sasa anaona wanarudi kwa kasi sana na
> > > anahisi
> > > > Watanzania hawana wasiwasi kabisa. Anashauri watafiti wa masuala ya ardhi
> > > > watathmini kwa kina ni kiasi gani cha ardhi huko Arusha kimeshatwaliwa na
> > > > Wakikiyu. Hofu yake ni kuwa ushindi wa Uhuru Kenyatta unaweza kusababisha
> > > > hali hii izidi hasa katika muktadha wa kuiimarisha Arusha kama makao
> > > makuu
> > > > ya Jumuiya mpya ya Afrika Mashariki.
> > > >
> > > > "Kwa kuwa Arusha sasa imekuwa kitongoji cha Nairobi katika Jumuiya ya
> > > > Afrika Mashariki ni vyema kutathmini ardhi inayotwaliwa na Wakikuyu" -
> > > Mdau
> > > > Mfuatiliaji
> > > >
> > > > --
> > > > Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la `Mabadiliko'.
> > > > Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
> > > mabadilikotanzania@googlegroups.com
> > > >
> > > > Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> > > > mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> > > > Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
> > > >
> > > > TEMBELEA Facebook yetu:
> > > > http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
> > > >
> > > > For more options, visit this group at:
> > > > http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> > > >
> > > > ---
> > > > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > > > "Mabadiliko Forums" group.
> > > > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > > > email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> > > > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> > > --
> > > Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la `Mabadiliko'.
> > > Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> > >
> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda;
> > > mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> > > Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
> > >
> > > TEMBELEA Facebook yetu:
> > > http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
> > >
> > > For more options, visit this group at:
> > > http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> > >
> > > ---
> > > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > > "Mabadiliko Forums" group.
> > > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > > email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
> > > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> > --
> > Chochote Kinawezekana, Jitahidi Kufikiri!
> >
>

__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (22)
Recent Activity:
.

__,_._,___

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment