Tuesday 19 March 2013

RE: [wanabidii] Re: Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Wahanga wa ukabila ni wananchi wenyewe.  Haturuhusiwi kuangalia hili jambo la kutwaliwa aridhi kama ni jambo linalowagusa kabila fulani kwani hakuna kabila zaidi ya utaifa kwa hiyo utaifa kwanza na utaifa baadae.  Tunahitaji tuwe na sera za ardhi ambazo zinakidhi mabadiliko kama haya tunayoyaona sasa hivi. Katiba mpya iwe makini sana na issue ya rasimali na mkakati wa mgawano ambao una uwiano usiobagua.

Ahsante

Herment A. Mrema


Date: Tue, 19 Mar 2013 17:10:47 +0300
Subject: [wanabidii] Re: Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
From: oldmoshi@gmail.com
To: Wanazuoni@yahoogroups.com
CC: wanabidii@googlegroups.com



2013/3/19 Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com>
 

Mrema, kama kweli kuna ukabila Kenya (kama tulivyothibitishwa kwenye mjadala wa kwanza wa Urais wa Kenya) huoni unahamishiwa Tanzania kupitia gia ya ardhi?

Unasema wahanga ni Wachagga. Wapo wanaosema wahanga ni Wanyakyusa. Pia wapo wanaosema wahanga ni wahaya. Haya madai ya ukabila nchini mnayatoa wapi?


From: Johnmrema <johnmrema@yahoo.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Cc: Wanazuoni <Wanazuoni@yahoogroups.com>
Sent: Tuesday, March 19, 2013 9:35 AM

Subject: Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Ukabila........?huku ndani wahanga ni wachagga ......Jumuiya ya EAC wahanga n wakikuyu......?

Sent from my iPad

On 19 Mac 2013, at 4:02 alasiri, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> wrote:

Mfuatiliaji wa kwa karibu wa masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki anasema kuwa katika miaka ya 70 baada ya Arusha kufanywa makao makuu ya jumuiya hiyo, Wakikuyu wengi walinunua/walitwaa ardhi hapo. Hivyo, Arusha ikaanza kuwa kama sehemu ya Kenya na fedha ya Kenya ikawa ndio inadaiwa/inatumika katika mahoteli, maduka n.k. Kwa mujibu wa maelezo yake, hali hii ilikoma baada ya Tanzania kufunga mpaka wake na Kenya katika mtafaruku wa kuivunja jumuiya hiyo.

Mdau huyo anasisitiza kuwa tukio hilo lilisababisha Wakikuyu warudi/wakimbilie kwao Kenya. Sasa anaona wanarudi kwa kasi sana na anahisi Watanzania hawana wasiwasi kabisa. Anashauri watafiti wa masuala ya ardhi watathmini kwa kina ni kiasi gani cha ardhi huko Arusha kimeshatwaliwa na Wakikiyu. Hofu yake ni kuwa ushindi wa Uhuru Kenyatta unaweza kusababisha hali hii izidi hasa katika muktadha wa kuiimarisha Arusha kama makao makuu ya Jumuiya mpya ya Afrika Mashariki. 

"Kwa kuwa Arusha sasa imekuwa kitongoji cha Nairobi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki ni vyema kutathmini ardhi inayotwaliwa na Wakikuyu" - Mdau Mfuatiliaji
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 



__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (6)
.

__,_._,___



--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment