Sunday 10 March 2013

Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?

HK mbona hamuishi mikwara?angalia na wewe usiwe kwenye kundi la Akna
MWIGULU & com,kwamba nikihoji tu,mnakimbilia kusema mtaweka uchafu wa
CHADEMA,kama unaujua uchafu wowote wa CHADEMA weka hadharani.Kimsingi
mimi siamini wala sitaamini kuwa ccm inaweza kumtoa Rais msafi,katika
msingi ule ule wa Tony kuwa kwa Africa RAIS wa nchi ndio Taifa

On 3/11/13, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
> Martharose,
>
>
> Kama anampenda EL kwanini atuletee mapenzi yake hapa? Naona alitaka maoni ya
> wengine, la hivyo angekaa kimya tu. Hata ukileta jina la Martharose
> kujadiliwa kwenye jukwaa kuna watu watakujadili katika misingi tofauti.
>
> Nani alikuambia waziri mkuu lazima au mkurupukaji na mpiga kelele ndipo
> aonekane kama mchapaa kazi? WM anaweza kuwa mkimya na akawa mchapa kazi!
> Acha uchambuzi legelege huo dada yangu.
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.
>
> -----Original Message-----
> From: Martharose Daniel Kingu <martha54rose@yahoo.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 10 Mar 2013 21:46:27
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA
> ?
>
> Watanzaia muwe na maono ya kuangalia mbele jifunzuni wenzetu Wakenya Uhuru
> ana kesi ya kujibu tena ya Kimataifa, lakini wenzetu waliangalia mbele huyu
> amefanya nini ingawa ana kesi wakampa kwani Odinga hawakumwona
> mbona hawakumpa kura kuna sehemu alikuwa anapata kura 30 tu.  Pili katika
> Viongozi tulionayo mpaka sasa wote wana makosa, hata hao mliowachagua
> wamefanya nini zaidi ya kugombana bungeni tu. Waziri Mkuu tuliyo nayo ni
> mkimya hawezi makelele ya watanzania ndiyo maana toka ateuliwe mambo
> yanafanyika hakuna mabadiliko yanayofanyika ndiyo mnataka watu wa namna hii.
>
>
> Hata ndugu akikukosea akaomba samahani husamehewa hata kama alihusika kwa
> kidogo lakini nyinyi kila mkiona jina la Lowasa basi makelele makelele hao
> mlionao mpaka sasa wamewapa ajira? au kwa kuwa mnaona jina la Lowasa, wewe
> kama humtaki mwenzako anamtaka acheni kuwa watu wa maneno mengi kama wakenya
> wanavyosema watanzania wana maneo mengi lakini vitendo hakuna.
>
>
> wanabidii wenzangu.
>
> Mtanzania mpenda maendeleo
>
>
>
> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] Re: URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Sunday, March 10, 2013, 7:44 AM
>
>
> Katika siku za karibuni ameongelea suala la Ajira kwa vijana na
> akatamka kwamba hili ni janga la kitaifa lakini hajawahi kusema nini
> kifanyike hata kwenye jimbo lake la monduli hakuna miradi hai ya
> maendeleo kwa ajili ya vijana iliyoleta mabadiliko tofauti sasa ndugu
> balile unatuelezaje kuhusu ajira kwa vijana ambayo inapigiwa kelele na
> Lowassa .
>
> Tusisahau kwamba kete ya ajira kwa vijana ilimpaisha sana Uhuru na
> Ruto hata jana katika hotuba yake ya kukubali matokeo ya uchaguzi
> alikumbusha wakenya kuhusu hili .
>
> On Mar 10, 8:36 am, ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com> wrote:
>> Inaumiza sana akili watu kuacha kugombania punje wakagombania maganda au
>> pumba Nafikiri Elias ametoa mawazo yake. Hakukuwa na haja kumshambulia ila
>> turud kwenye mada ya Yona. Ni muhimu kuijadili
>>
>> --- On Sat, 3/9/13, Deodatus Balile <deobal...@yahoo.com> wrote:
>>
>> From: Deodatus Balile <deobal...@yahoo.com>
>> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Saturday, March 9, 2013, 2:10 PM
>>
>> Elias,
>>
>> Temea kushoto. Usidandie treni kwa mbele. Waache wenye meno watafune
>> mbaazi. Usicheze ngoma usiyoijua
>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>
>> From: elias mhegera <mhegerael...@yahoo.com>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Sat, 9 Mar 2013 12:01:59 -0800 (PST)
>> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>>
>> huyo ni fisadi hasafishiki wale wanaompigania labda ni kwa sababu anatoa
>> pesa nyingi tu
>>
>>
>> Elias Mhegera
>> Media & Information Officer
>> Tanzania Human Rights Defenders Coalition
>> Tel: 255-0754-826272
>>         255-0715-076272
>> Email: mhegerael...@yahoo.com
>>              mheg...@gmail.com
>> The only thing we have to fear is fear itself
>>
>> From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>> To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>> Sent: Saturday, March 9, 2013 10:58 PM
>> Subject: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>>
>> Ndugu zangu ,
>>
>> Sehemu nyingi ninazopita hata kuulizia au kuongea mambo ya urais 2015
>> wengi wanampa kura Lowassa kutokana na historia yake ya nyuma na jinsi
>> alivyoweza kukabiliana na masuala kadhaa wa kadha mpaka sasa hivi
>> ninavyoandika .
>>
>> Kubwa zaidi ni jinsi alivyokubali kuwajibika kama waziri mkuu kwenye
>> kashfa ya richmond na bila kufikishwa mahakamani mpaka leo .
>>
>> Sasa naomba kuuliza wenzangu hivi Tanzania inaweza kumbeba lowassa
>> kweli na mizigo yote hii aliyokuwa nayo ?
>>
>> --
>> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.

> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment