Katika siku za karibuni ameongelea suala la Ajira kwa vijana na
akatamka kwamba hili ni janga la kitaifa lakini hajawahi kusema nini
kifanyike hata kwenye jimbo lake la monduli hakuna miradi hai ya
maendeleo kwa ajili ya vijana iliyoleta mabadiliko tofauti sasa ndugu
balile unatuelezaje kuhusu ajira kwa vijana ambayo inapigiwa kelele na
Lowassa .
Tusisahau kwamba kete ya ajira kwa vijana ilimpaisha sana Uhuru na
Ruto hata jana katika hotuba yake ya kukubali matokeo ya uchaguzi
alikumbusha wakenya kuhusu hili .
On Mar 10, 8:36 am, ELISA MUHINGO <
elisamuhi...@yahoo.com> wrote:
> Inaumiza sana akili watu kuacha kugombania punje wakagombania maganda au pumba Nafikiri Elias ametoa mawazo yake. Hakukuwa na haja kumshambulia ila turud kwenye mada ya Yona. Ni muhimu kuijadili
>
> --- On Sat, 3/9/13, Deodatus Balile <
deobal...@yahoo.com> wrote:
>
> From: Deodatus Balile <
deobal...@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
> To:
wanabidii@googlegroups.com> Date: Saturday, March 9, 2013, 2:10 PM
>
> Elias,
>
> Temea kushoto. Usidandie treni kwa mbele. Waache wenye meno watafune mbaazi. Usicheze ngoma usiyoijua
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> From: elias mhegera <
mhegerael...@yahoo.com>
> Sender:
wanabidii@googlegroups.com> Date: Sat, 9 Mar 2013 12:01:59 -0800 (PST)
> To:
wanabidii@googlegroups.com<
wanabidii@googlegroups.com>
> ReplyTo:
wanabidii@googlegroups.com> Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>
> huyo ni fisadi hasafishiki wale wanaompigania labda ni kwa sababu anatoa pesa nyingi tu
>
>
> Elias Mhegera
> Media & Information Officer
> Tanzania Human Rights Defenders Coalition
> Tel: 255-0754-826272
> 255-0715-076272
> Email:
mhegerael...@yahoo.com>
mheg...@gmail.com> The only thing we have to fear is fear itself
>
> From: Yona F Maro <
oldmo...@gmail.com>
> To: Wanabidii <
wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Saturday, March 9, 2013 10:58 PM
> Subject: [wanabidii] URAIS 2015 - TANZANIA ITAWEZA KUMBEBA LOWASSA ?
>
> Ndugu zangu ,
>
> Sehemu nyingi ninazopita hata kuulizia au kuongea mambo ya urais 2015
> wengi wanampa kura Lowassa kutokana na historia yake ya nyuma na jinsi
> alivyoweza kukabiliana na masuala kadhaa wa kadha mpaka sasa hivi
> ninavyoandika .
>
> Kubwa zaidi ni jinsi alivyokubali kuwajibika kama waziri mkuu kwenye
> kashfa ya richmond na bila kufikishwa mahakamani mpaka leo .
>
> Sasa naomba kuuliza wenzangu hivi Tanzania inaweza kumbeba lowassa
> kweli na mizigo yote hii aliyokuwa nayo ?
>
> --
> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+
unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment