Thursday 21 March 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Dear Kiwasila,  
Samahani sana kukosea jina lako. Kama ninakuelewa vizuri kuna shida katika kuwajibishana. Nafikiri tunapaswa kuanzia hapo mambo yatabadilika. Wasomi nao wanapaswa kuwajibishwa hasa yale wanayo ya recomend yanapoleta madhara kwa jamii kwa sababu alipofushwa na rushwa, ubinafsi na tamaa ya mali.
Alexander

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, March 21, 2013 7:05 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Hili jina mbona si langu jamani Chipalazya langu ni refu la hili, limekaa vibaya hapa! Umeshindwa kukopi! Basi umepata F-wanabidii exam!!

Fahamu Alexanda EIA inalipiwa na muhusika na Hela zinatakiwa zipelekwe NEMC na NEMC kufika pia kuona eneo. Hivi ndivyo nielewavyo mimi. Hivyo basi, NEMC itatafuta  capable organization kufanya EA -itatangaza na kusona bids zao na kuwapa kazi na contractor kuwakilisha report yake NEMC na kwa muhusika na ikasomwa hapo NEMC. Hivyo wataanza na scoping kuangalia haja ya full EIA. NEMC wataangalia taarifa na kutembelea eneo kuhakiki hayo.

Kufanya EIA usemavyo wewe hapa ni kinyume kwani huyo mwekezaji atataka iandikwe-hakuna madhara au apendavyo yeye kuwa kila kitu ni positive hakuna negative effect za uwekezaji wake. Wengine ndio hao wa tumboni street, atajipendekeza na kuandika atakavyo mwekezaji maana ndio kampa kazi au atamsaka na kumwambia ampe hela atamwandikia vizuri. Halafu anajenga kitu cha madhara. Wakakuzi michoro na eneo nao watakula hela na kumruhusu amwage maji ya kiwanda kwa kuweka bomba linamwaga directly baharini au mtoni-maji ya moto au yenye kemikali mbaya. Halafu ndio unawaona kwenda kumfungia hoteli au kiwanda! hapo kamata huyo aliyefanya EIA aliyoona nia ya ujenzi wa kiwanda, aina yake, mchoro na process yake ya uzalishaji product, majitaka yake na kiwango cha chemikali za kutoka, akijua hiyo ni zao fulani na shule kapitia/kasoma. Na huyo industrial inpector wa kupitia project document na mchoro waliodanganya serikali-kamata funga kesi isiwe na dhamana. Wanga hao!! Wengine si suala la umasikini bali ni ubinafsi na tamaa. wanamihela, majumba, magari tena vijana wadogo kaanza kazi juzi tu leo ana magari ya kifahari na mjumba wa mamilioni kama Wema Sepeku au Diamond. Kama si wizi wa namna hii na kukosa utaifa ni nini? Na kila siku anataka kupata tena na tena bila fedheha. Ndio maana tupo kama tulivyokuwa miaka 47 ilipoita na hali inakuwa mbaya. Kiasi kwamba hata Mchina na wawekezaji wageni wanajua kuwa TZ ni hela tu, kitu kidogo unafanya utakavyo. Kwao hafanyi hivyo hapa kwetu anafanya na kuunganisha bomba la kinyesi au maji taka anamwaga mtaro wazi au ya cyanide kumwaga mtoni. Mbona sisi wenyewe tunaharibu tunafanya hivyo pia na hygiene, env safety is not our priority? Ndio maana kinyesi tunaunganisha mabomba mtoni, mtaroni, penye uchafu na mainzi ndio tumepanga chakula; kituo cha bus baraza yake ndio meza ya mama ntilie, bwawa na maji taka ndio tunavamia tunajenga hapo na kuishi na watoto; chandarua cha bure tunavulia samaki. Tunaanza na kigenge kuuza chakula bandarini kisha tunajenga nyumba na tunaishi na watoto mahala pa maghorofa hakuna hewa safi kwa vichanga na unapewa hela kuhurumiwa uhame-huhami kwenda penye nafasi. Unajijali? Ni mengi tu tufanyayo kinyume na maendeleo, sheria na utu wetu ila kwa visingizio-tumeshinda. Zawadi yako hiyo ya mazingira tunavyoyachakachua kukukumbushia kwani nimeshaipachika humu mara nyingi kwa vile inanikera ki-afya.

--- On Wed, 20/3/13, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 20 March, 2013, 9:52

Hildarda,
Unaposoma report nyingi juu ya EIA unakata tamaa. Maana huko kilwa EIA imefanyika lakini hazifuatwi na mahala pengine hazifanyiki ipasavyo (Rushwa). Watu wana andika report kufavour investors, kwahiyo EIA kama tool ya kusaidia decision making inakosa maana kwa sasa. Zingefanywa vizuri na mtu akareport kilichopo na kutoa mapendekezo sahihi zingesaidia sana. Tunatakiwa kubadilika sana, hata wasomi wamekua corrupt, hawaangalii mstakabari wa nchi hii 25-50 years to come. Ni aibu sana.
Alexander

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, March 20, 2013 7:53 AM
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?

Halafu hawa investors wanaochukua ardhi kubwa na kuanzisha mashamba na biashara, lazima kufanyike EIA kwanza na benefit sharing scheme yake kwa wananchi ijulikane. Lazima kuwe na elimu kwa jamii kujilinda na kulinda watoto wao na masuala ya sexual abuse. Kwani ukifika maeneo ambapo wapo utaona jinsi magari yao yalivyo na visichana vidogo waliovaa kihuni, wanaingia nao bar na lodging; utaelewa na wananchi mambo yao ya kutumia walinzi wao kuwapelekea wasichana, utakuta mtandao wa changu doa unazagaa maeneo hayo na masuala ya abnormal sex kuanza kuzagaa. Tunaona huko yaliko makambi ya uwindaji na huo uwekezaji. Wakati wa msimu wa uwindaji sio kuwinda wanyama tu na visichana na vijana kwa michezo hiyo michafu na wanaingia nao makambini na hoteli tunaangalia. Jinsi tunavyofungua uwekezaji na haya yataongezeka.

tujitahidi kulinda jamii yetu ili tupunguze mambo hayo, ukimwi na genetically transmitted diseases.

--- On Tue, 19/3/13, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Wakikuyu wanatwaa ardhi Arusha?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 19 March, 2013, 22:09

Na ajabu ya ajabu, Agrosol hawana zaidi ya eka 17,000 hapa Marekani. Wanakuja Bongo wanapewa eka 600,000. Nasikia kule Mpanda wanataka eka 800,000. Halafu masharti yao ni kwamba mazao watakayozalisha wanapeleka soko la nje.
Sisi tutaendelea kuwa watizamaji wakati wageni wanatajirika kwa migongo yetu. CCM has to go.
em

2013/3/19 Ephata Nanyaro <nanyaro04@gmail.com>
Kivuyo unamaanisha Kibo Palace iliyopo Corridor area au Palace hotel iliyopo boma road?
Swala la ardhi hapa Tanzania ni tete sana,huko kusini kampuni ya Agrosol imechukua zaidi ya hekari 600,000,kwa msaada wa Serikali dhaifu ya ccm
Ndio maana husema kila kuwa tumeshindwa kujitawala

On Tue, Mar 19, 2013 at 10:52 PM, Boniface Magessa <magessabm@gmail.com> wrote:

Kivuyo,
Kibo Palace bado ni ya bepari wa rombo..ana share na NHC

On Tuesday, March 19, 2013, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
> Kivuyo
>
> Alinunua kwa pesa ngapi aisee
>
>
> 2013/3/19 Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
>
> Watanzania wanaouza ardhi kwa wakikuyu wasilaumiwe hata kidogo. hata wewe ungeuza kwa mtu mwenye pesa unazozihitaji. Serikaloi ndiyo inatakiwa kusimamia na kuratibu sheria ichukue mkondo wake. wanachofanya 
>
> ______________________________________________
> Real Change for Real Development,  
> Lemburis Kivuyo
> +255654650100/078 7665050/0755646470
> Website: www.kivuyo.com,  
> Facebook: https://www.facebook.com/ujasiriamali
> Titter: http://twitter.com/lembu1, 
> Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo, 
> Google+: gplus.to/lembukivuyo
>
> 2013/3/19 Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
>
> Kenyata mwenywe anamiliki hoteli ya 4 or 5 stars Arusha inayoitwa Kibo Palace ambayo aliuziwa kutoka kwa fisadi ile ya rombo
>
> ______________________________________________
> Real Change for Real Development,  
> Lemburis Kivuyo
> +255654650100/078 7665050/0755646470
> Website: www.kivuyo.com,  
> Facebook: https://www.facebook.com/ujasiriamali
> Titter: http://twitter.com/lembu1
> Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo
> Google+: gplus.to/lembukivuyo
>
> 2013/3/19 alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
>
> Hildegard,
> Hakuna kipindi ambapo Tanzania tunatakiwa kua na Migration Department inayowajibika ipasavyo kama kipindi hiki ambapo sera za utandawazi zinapaliliwa sana, pamoja na hiki kitu kinaitwa 'EAC'.
>
> --
> Bariki G. Mwasaga,
> P.O. Box 3021,
> Dar es Salaam, Tanzania
> +255 754 812 387
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>  
>  
>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Ephata Nanyaro
P.o.box 15359
Arusha
+255 754 834152
Skype.nanyaro.ephata

0 comments:

Post a Comment