Sunday 17 March 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG

Alex,

Kafanya la maana kukaa mbali na mtuhumiwa wakati upelelezi unaendelea. Ni kawaida kujiweka mbali na mtu anayetuhumiwa na kosa baya kama hilo. Hajamfukuza isipokuwa anauweka mtandao wake mbali na possible uhaalifu.

Ni nyinyi hapa hapa mnataka watuhumiwa wasimamishwe kazi, leo tena inakuwaje inapohusu mtu mnayemfahamu utaratibu ubadilike? Wakati Jairo anatuhumiwa na wabunge mlipiga kelele asimamishwe wakati akipelelezwa, leo mkuki kwa nguruwe kumbe? Acheni unafiki, mtandao ni wa Mjengwa, ana haki ya kufanya alivyofanya awe na taarifa au la, yote ni sahihi!

Tuacheni unafiki huu.

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 17 Mar 2013 08:29:53 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG

Ndugu Maggid,
Hatua uliochukua sio ya haki hata kidogo labda kama wewe unataarifa za kina juu ya mwenendo wa huyo Ludovick uliyejipambanua mwanzo kua unafahamiana nae toka alipokua anasoma chuo kikuu DUCE.

Umekiri kua mmekua mkishirikiana, sasa leo kutuhumiwa tu imekua nongwa!! Kumbuka kila mtu anaweza kutuhumiwa pia Kumbuka hakuna aliwekewa rasmi polisi au magereza watu wote twaweza kwenda siku moja. 

Hatua yako inanishawishi niamini kua ulikua unashirikiana na Ludovick sio for mutual benefit, bali ulikua unamtumia tu kwa faida zako. Nikukumbushe pia kua 'Those who leave their friends during difficult moment, they were never with them even before'.

Fikiria mara mbili, maana kesho unaweza kutuhumiwa wewe, sasa watu wote wakijitenga na kukukana itakuaje? Nashawishika pia kuamini kua uamuzi wako umeongozwa na woga zaidi. Acha woga Maggid. Hakuna shaka kua ni hatari na haifai kushirikiana na watu waovu 'magaidi' kwahiyo uamuzi wako ungekua sahihi baada ya shutuma za Ludovick kuthibitishwa. Lakini kwa sasa kijana bado ni mtuhumiwa tu.
Alexander


From: raymond nkya <nkyaraymond@hotmail.com>
To: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>; "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>; "mabadilikotanzania@googlegroups.com " <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Sunday, March 17, 2013 10:58 AM
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG

@Maggid, kutuhumiwa sio tatizo, ni mpaka pale itakapothibitishwa kweli anahusika. Sidhani kama ni wazo la busara. Labda kama unazo taarifa za ziada tusizozijua


Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----
From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Date: Sun, 17 Mar 2013 09:53:21
To: <wanabidii@googlegroups.com>; <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Subject: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG


Ndugu zangu,
Kutokana na kuwepo kwa taarifa rasmi za kipolisi zenye kumtuhumu Ludovic Joseph kuhusika na matukio ya kigaidi.
Uongozi wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog unasitisha rasmi, kuanzia leo Jumapili, Machi, 17,2013, kuwa na Ludovick Joseph kama msaidizi wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog na website ya Kwanza Jamii.
Maggid Mjengwa,
Mmiliki wa Mjengwablog /Kwanzajamii
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.






0 comments:

Post a Comment