Monday 18 March 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG

Matai,

Kwani wanaokufa kwenye mapambano na polisi wanauliwa wakiwa wamefungwa mikono. Wanakufa kwa kuzidiwa nguvu na polisi! Huwezi kuanza kupambana na polisi ukawazidi ukasepa halafu ukawa mshindi! Watakubamba tu siku moja. Kwa maana hiyo unataka kutuaminisha kuwa polisi wanaua bila exchange of fire action?

Utasemaje juzi Rais na wananchi wa ufaransa walikuwa na kumbukumbu ya watu waliouawa na mwarabu na katika kuwatafuta wahalifu hao, polisi walifanikiwa kuwaua. Huko nako kwa akili yako nao polisi ni wakosaji? Usitetee uovu, wananchi tulishasema tukikukamata ready-handed unaiba au una silaha ndo mwisho wako. Sisi sio polisi na hatuna muda wa kukupeleka polisi.


------Original Message------
From: Matai Mbwago
Sender: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG
Sent: Mar 18, 2013 11:35

 Kama vitu vinavyowekwa kwenye mtandao kama wa huo wa youtube ni ukweli basi serikali ishitakiwe kwa kuwafukia wachimbaji wadogo wadogo wa kule Shinyanga kwani tuliona picha za vitendo hivyo kweye mitandao. Inasahangaza mitandao hiyo kutumiwa na polisi na vyombo vya dola kwa watu wasio na nguvu tu na kuiacha serikali ikiendelza mauaji.   Inashangaza pia polisi wetu kutangza hadharani kuwa wamefanikwa kuwaua watu  kana kwamba wajibu na majawapo wa malengo ya jeshi la polis ni kuua. Bila shaka kuna target imewkwa ili kufikia malengo hayo. Cha ajabu hakuna uchunguzi wowote huru unaofanyika kubaini ukweli wa maisha ya watazania yanayopotea       From: Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com> To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com> Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Sunday, March 17, 2013 1:24 PM Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG Maggid, Tusaidie. Kwa kauli hii unamaanisha wewe na blog yako mnajitenga na Ludovick kwa sababu ametuhumiwa? Zipo taarifa, na wewe umezithibitisha, kwamba Ludovik alipotekwa alikimbilia kwako ukampa nguo ajisetiri. Je, kama kwa ukaribu wenu huo na wewe utahisiwa na kuhusishwa naye na kilichotokea, utafunga blog ya Maggid au "utajifukuza" kazi? Na kwa Msimamo wako huu unamaanisha hutasaidia lolote kumnusuru Ludovick na mkasa huu?    Mwisho, tuendelee kutafakari jambo hili, tusje kujikuta kwenye mkumbo, kumbe jamaa na vijana wake wapo kazini Sent from my iPad On 17 Mac 2013, at 13:12, Saed Kubenea <kubenea@yahoo.co.uk> wrote: From: To: Re: MKUU HII KITU YA HUYU JAMAA IMEKAAJE??? Wednesday, March 13, 2013 1:15 PM "MUHIDIN MICHUZI" <issamichuzi@gmail.com> "Salvator Rweyemamu" <rweyemamu.salvator@gmail.com>, "Prosper Mbena" <prospermbena@yahoo.com>, "Hamisi Mwinyimvua" <hmwinyimvua@yahoo.com>, "Liberata Mulamula" <liberatamul@gmail.com>, "matupa matupa" <sbmatupa04@yahoo.co.uk>, "msafiri marwa" <marwajr@gmail.com>, "Laurent Ndumbaro" <loliondo2011@hotmail.com>, "Muhidin"
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment