Monday 18 March 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG

 Kama vitu vinavyowekwa kwenye mtandao kama wa huo wa youtube ni ukweli basi serikali ishitakiwe kwa kuwafukia wachimbaji wadogo wadogo wa kule Shinyanga kwani tuliona picha za vitendo hivyo kweye mitandao. Inasahangaza mitandao hiyo kutumiwa na polisi na vyombo vya dola kwa watu wasio na nguvu tu na kuiacha serikali ikiendelza mauaji.
 
Inashangaza pia polisi wetu kutangza hadharani kuwa wamefanikwa kuwaua watu  kana kwamba wajibu na majawapo wa malengo ya jeshi la polis ni kuua. Bila shaka kuna target imewkwa ili kufikia malengo hayo. Cha ajabu hakuna uchunguzi wowote huru unaofanyika kubaini ukweli wa maisha ya watazania yanayopotea
 
From: Ansbert Ngurumo <ansbertn@yahoo.com>
To: "mabadilikotanzania@googlegroups.com" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, March 17, 2013 1:24 PM
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG

Maggid,

Tusaidie. Kwa kauli hii unamaanisha wewe na blog yako mnajitenga na Ludovick kwa sababu ametuhumiwa? Zipo taarifa, na wewe umezithibitisha, kwamba Ludovik alipotekwa alikimbilia kwako ukampa nguo ajisetiri. Je, kama kwa ukaribu wenu huo na wewe utahisiwa na kuhusishwa naye na kilichotokea, utafunga blog ya Maggid au "utajifukuza" kazi?

Na kwa Msimamo wako huu unamaanisha hutasaidia lolote kumnusuru Ludovick na mkasa huu?   

Mwisho, tuendelee kutafakari jambo hili, tusje kujikuta kwenye mkumbo, kumbe jamaa na vijana wake wapo kazini

Sent from my iPad

On 17 Mac 2013, at 13:12, Saed Kubenea <kubenea@yahoo.co.uk> wrote:

From:
To:
Re: MKUU HII KITU YA HUYU JAMAA IMEKAAJE??? Wednesday, March 13, 2013 1:15 PM
"MUHIDIN MICHUZI" <issamichuzi@gmail.com>
"Salvator Rweyemamu" <rweyemamu.salvator@gmail.com>, "Prosper Mbena"
"Liberata Mulamula" <liberatamul@gmail.com>, "matupa matupa"
<sbmatupa04@yahoo.co.uk>, "msafiri marwa" <marwajr@gmail.com>, "Laurent
"Hajrah Kitogo" <mishikt@hotmail.co.uk>, "Kimario" <kimario1956@yahoo.com>,
"karolina, mthapula" <mthapulac@yahoo.com>, "wilbald lorri"
<wlorrister@gmail.com>, "Aziza Bukuku" <abukuku@yahoo.com>, "shaban Gurumo"
<gurumo1956@yahoo.com>, "kisare makori" <kisarem@yahoo.com>, "Rajabu
Luhwavi" <luhwavi@yahoo.com>, "Yunge Massa" <yungelmassa@yahoo.co.uk>

Ndugu wana OBR. Jioneeni njama za CHADEMA kudhuru wanahabari. FYA HII LINK uone youtube yote.
Huyu na wengine wote si wa kuwaachia. Kudos to TISS kwa kufanya kazi ya ziada kupata hii kitu. Hii ni
kete kubwa kwetu, lazima tupige kelele kwa nguvu zote

MM

--
Name: Othman Michuzi Jr
Phone: +255 (0) 713 775 869
--
MUHIDIN MICHUZI
Re: MKUU HII KITU YA HUYU JAMAA IMEKAAJE... http://us.mc1406.mail.yahoo.com/mc/showMessa...
1 of 2 03/15/2013 12:22 AM
--
MUHIDIN MICHUZI
Re: MKUU HII KITU YA HUYU JAMAA IMEKAAJE... http://us.mc1406.mail.yahoo.com/mc/showMessa...
2 of 2 03/15/2013 12:22 AM

----- Forwarded Message -----
From: raymond nkya <nkyaraymond@hotmail.com>
To: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>; "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>; "mabadilikotanzania@googlegroups.com " <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Sunday, 17 March 2013, 10:58
Subject: Re: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG

@Maggid, kutuhumiwa sio tatizo, ni mpaka pale itakapothibitishwa kweli anahusika. Sidhani kama ni wazo la busara. Labda kama unazo taarifa za ziada tusizozijua

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----
From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Date: Sun, 17 Mar 2013 09:53:21
To: <wanabidii@googlegroups.com>; <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Subject: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG

Ndugu zangu,
Kutokana na kuwepo kwa taarifa rasmi za kipolisi zenye kumtuhumu Ludovic Joseph kuhusika na matukio ya kigaidi.
Uongozi wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog unasitisha rasmi, kuanzia leo Jumapili, Machi, 17,2013, kuwa na Ludovick Joseph kama msaidizi wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog na website ya Kwanza Jamii.
Maggid Mjengwa,
Mmiliki wa Mjengwablog /Kwanzajamii
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
<Michuzi.pdf>
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment