Sunday 17 March 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG

Ndugu Maggid

Uamuzi uliouchukua sio mzuri na unatia fedheha kwenye jamii nzima ya ushirikiano kwenye mitandao ya kijamii , tafadhali tumia haki yako ya msingi kama mwanadamu kumwonea uchungu mwenzako wa karibu na uende kumsaidia kwa dhamana na masuala mengine yanayohusiana na kutetea haki zake za msingi na sio kugeukana wakati wa matatizo .

Ndugu Maggid

Pia ujue kuna watu wamepigania uhuru huu wa mitandao ya kijamii , kujieleza na kupashana habari au kujadiliana kwa njia za vificho au wazi , kwa miaka mingi kuliko wewe ,wengine wamesumbuliwa na wanaendelea kusumbuliwa hata wanapoishi wanajua wenyewe lakini hawakuwahi kugeukana wala kuacha kusaidiana wala kuacha kushirikiana hata kama kumetokea nini kati yao hii yako ni ya mara ya kwanza kwangu na ni ya kutisha sana lakini ujue tu yeye alikuwa ni moderator wako na ni lazima kuna trace fulani kwako zinazohusiana nae  ukimkana na kumtupa sasa hivi sio mwisho na iko siku utalazimika kuwajibika kwa kushirikiana nae kwa njia yoyote ile na hata mtandao waku kufungwa kwa uchunguzi zaidi .

Hii ni kwa Ndugu Mtoi .

Nimeangalia mjadala fulani kwenye jamiiforums unaohusu Joseph Ludovick Huyu ndugu yetu ameandika - Ludovick Joseph anatokea Bukoba , Hugo Chavez Bukoba na Lwakatare Bukoba mwingine akaongezea Josephine Mushumbusi .

Jamani tuache ubaguzi dhidi ya jamii nyingine za kitanzania kilatu atekeleze wajibu wake katika kuleta maendeleo ya taifa hili sio ubaguzi wa aina yoyote kama unavyoonyeshwa na ndugu huyu .

2013/3/17 alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Ndugu Maggid,
Hatua uliochukua sio ya haki hata kidogo labda kama wewe unataarifa za kina juu ya mwenendo wa huyo Ludovick uliyejipambanua mwanzo kua unafahamiana nae toka alipokua anasoma chuo kikuu DUCE.
Umekiri kua mmekua mkishirikiana, sasa leo kutuhumiwa tu imekua nongwa!! Kumbuka kila mtu anaweza kutuhumiwa pia Kumbuka hakuna aliwekewa rasmi polisi au magereza watu wote twaweza kwenda siku moja. 

Hatua yako inanishawishi niamini kua ulikua unashirikiana na Ludovick sio for mutual benefit, bali ulikua unamtumia tu kwa faida zako. Nikukumbushe pia kua 'Those who leave their friends during difficult moment, they were never with them even before'.

Fikiria mara mbili, maana kesho unaweza kutuhumiwa wewe, sasa watu wote wakijitenga na kukukana itakuaje? Nashawishika pia kuamini kua uamuzi wako umeongozwa na woga zaidi. Acha woga Maggid. Hakuna shaka kua ni hatari na haifai kushirikiana na watu waovu 'magaidi' kwahiyo uamuzi wako ungekua sahihi baada ya shutuma za Ludovick kuthibitishwa. Lakini kwa sasa kijana bado ni mtuhumiwa tu.
Alexander

Sent: Sunday, March 17, 2013 10:58 AM
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG

@Maggid, kutuhumiwa sio tatizo, ni mpaka pale itakapothibitishwa kweli anahusika. Sidhani kama ni wazo la busara. Labda kama unazo taarifa za ziada tusizozijua

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----
From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Date: Sun, 17 Mar 2013 09:53:21
To: <wanabidii@googlegroups.com>; <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Subject: [Mabadiliko] TAARIFA RASMI KUTOKA MTANDAO WA KIJAMII WA MJENGWABLOG

Ndugu zangu,
Kutokana na kuwepo kwa taarifa rasmi za kipolisi zenye kumtuhumu Ludovic Joseph kuhusika na matukio ya kigaidi.
Uongozi wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog unasitisha rasmi, kuanzia leo Jumapili, Machi, 17,2013, kuwa na Ludovick Joseph kama msaidizi wa Mtandao wa Kijamii wa Mjengwablog na website ya Kwanza Jamii.
Maggid Mjengwa,
Mmiliki wa Mjengwablog /Kwanzajamii
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment