Friday 8 March 2013

Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Mwanamme Jiulize, Ni Lini Mara Ya Mwisho Ulifungua Daftari La Mtoto Wako?

Nawapongeza anawake wote kwa siku yao  leo.
Naomba  mtu yeyote mwenye hotuba ya kitaifa na kimkoa wa Dar kwa siku ya leo anitumie.
Asanteni sana

From: raymond nkya <nkyaraymond@hotmail.com>
To: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>; "wanabidii@googlegroups.com " <wanabidii@googlegroups.com>; "mabadilikotanzania@googlegroups.com " <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Friday, 8 March 2013, 9:57
Subject: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] Mwanamme Jiulize, Ni Lini Mara Ya Mwisho Ulifungua Daftari La Mtoto Wako?

@Majid, ni kweli uliyoandika. Mimi nafanya homework na wanangu kila jumatatu hadi alhamis. Ijumaa namwachia mama yao ili nipate castle lite kidogo


Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

-----Original Message-----
From: Maggid Mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Date: Fri, 8 Mar 2013 06:48:33
To: <wanabidii@googlegroups.com>; <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Subject: [Mabadiliko] Mwanamme Jiulize, Ni Lini Mara Ya Mwisho Ulifungua
Daftari La Mtoto Wako?

Ndugu zangu,
Siku hii ya Kimataifa ya Wanawake haifai ikapita bila kujadili masuala ya msingi yenye kumhusu mwananmke na mahusiano yetu; wanawake na wanaume hususan kwenye kusaidiana malezi ya watoto wetu.

Kwa mwananme, mara nyingi jukumu la kumlea mtoto anamwachia mwanamke, haya ni mapungufu. Haitoshi tu kwa mwanamme kuacha hela ya chakula na mboga nyumbani. Kuna kufuatilia maendeleo ya watoto, ikiwamo shule.

Nitoe mfano, jana nikiwa hapa Morogoro kamanda wangu mmoja amenipigia simu akiwa nyumbani Iringa kuniomba nimsaidie na kazi yake ya shule kuhusu historia. Ananitegemea pia kuwa ni msaada kwake kwa mambo ya shule. Hivyo, ikanibidi niwaombe radhi wenzangu kuwa nisingekuwa nao baada ya saa kumi na mbili jioni kwa vile nahitajika nirudi nilipofikia na kuanza kazi niliyopewa na mwanangu. Kumsaidia kufafanua masuala ya historia.

Hoja yangu hapa, ni kuwa wanaume, pamoja na majukumu yetu mengi, tuna wajibu wa kutenga muda nyumbani walau wa kuwauliza watoto wetu juu ya maendeleo yao ya shule. Kuyaangalia madaftari yao pia.

Na hapa mwanamme uanze kwa kujiuliza; Ni lini mara ya mwisho umeliangalia daftari la mtoto wako? Au ni kazi uliyomwachia mkeo tu?

Happy International Women Day!
Maggid Mjengwa,
Msamvu.
0788 111 765
http://mjengwablog.co.tz/ <http://www.facebook.com/l.php?u=http%3A%2F%2Fmjengwablog.co.tz%2F&h=yAQEp9eqq&s=1>
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.




0 comments:

Post a Comment