Monday 25 March 2013

Re: [wanabidii] Re: Kusoma India

Matinyi, kweli kuna hao unaowasema. Ila kuna ambao wanaingia mkenge. Unakumbuka ile inshu ya Watanzania walioenda Marekani Waldorf ilipokuja Dar? Kila kitu walichoambiwa kilikuwa ni kweli? Nilikutana na mmojawao aliyeniambia kuwa walikopelekwa siko walikotarajia/walikoambiwa. Je, ya huko India tunayajua yote?

Shule feki nje zipo. Na zinadanganya watu. Wakifika huko wanalosti. Pengine kuiita hiyo ni human-trafficking ni Uwanaharakati wa Kimagharibi. Ila tunajua haupo?

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, March 25, 2013 1:48 PM
Subject: RE: [wanabidii] Re: Kusoma India

Hivi ndugu zangu,
Mzazi anatafuta chuo kizuri, anamlipia binti yake ili akasome, na binti anafika huko na kufanya umalaya licha ya kuwa anatumiwa fedha zinazohitajika. Hii inakuwaje biashara ya kusafirisha watu?
Je, mtu akienda masomoni nje ya nchi kwa hiari na uchaguzi wake mwenyewe, akashindwa kulipia na badala ya kurudi akaamua kuwa muuza mwili, tunasemaje kuwa hii ni biashara ya kusafirisha watu?
Biashara ya kusafirisha watu ni nini?
Kuna maana za kimagharibi za biashara hii na sidhani kama sisi tunalazimika kuzichukua. Sidhani kama kila uonevu ama uovu anaofanyiwa mtu aliyesafiri unahitaji kuitwa biashara ya kusafirisha watu, na wakati mwingine ni changamoto za maisha na ukubwa tu, sasa iweje tuite biashara ya kusafirisha watu?
Biashara ya kusafirisha watu ni nini kwani? Mimi nahisi maana zingine ni za kiunaharakati zaidi, kwamba hata mtu aliyekwenda mwenyewe mahali, akichagua kuwa malaya tuseme eti amesafirishwa?
Matinyi.

Date: Mon, 25 Mar 2013 09:39:58 -0700
From: chambi78@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: Kusoma India
To: wanabidii@googlegroups.com

Naisisitiza tu hoja ya mtoa mada. Utumwa wa kisasa kupitia human-traficking upo. Hivyo, tuhakikishe watoto wetu wanaenda kweli nje kusoma sio kuuz(w)a miili.

From: Alois Komu <fr.komu@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, March 25, 2013 12:22 PM
Subject: Re: [wanabidii] Re: Kusoma India

Oh! Ina maana hiyo traficking inawahusu wanafunzi wanaokwenda huko kusoma! Itskuwa balaa basi Kama ni hivyo itafikia mahali mungu atapata hasira na kuangamiza tena kiziwi hiki.nitajaribu kuhangaikia baadaye. Naamini hiyo link uliyopeleka ndio unayonipa hiyo filum
  Kwa msingi hiyo una hofu Kuwa ndugu zetu wakapata nafasi kuja huko waweze kujikusanya ktk Bali hiyo. Maana Kama sijakuelewa.

Sent from my iPad

On Mar 25, 2013, at 7:37 AM, Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> wrote:

Bariki, jana nimeangalia filamu hii inayotokana na matukio ya ukweli (The Whistleblower - http://www.imdb.com/title/tt0896872/), inaonesha jinsi human-traficking ilivyotumika huko Bosnia kwa ajili ya soko la ngono hivyo inawezekana huko India Waafrika wanahitajika, kwa mfano, Mumbai mjini ni vigumu sana kuona Waafrika.

From: lucas haule <kisacha2003@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, March 25, 2013 8:02 AM
Subject: Re: [wanabidii] Kusoma India

Ally
Angalia na vyuo vinavyotoa elimu masafa. Kupeleka watoto nje sasa hivi hofu imetujaa.

--- On Mon, 3/25/13, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Kusoma India
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, March 25, 2013, 4:37 AM

Trafficking kwenda India duh basi balaa. Nchi ina watu 1.3 bilioni sijui kama inaleta maana.

2013/3/25 Ally Ahmed <aahmeda50@hotmail.com>
Hakuna kitu kama hicho kwa mji kama Bangalore ambapo mimi nasoma huu mwaka wa tano sasa.

Sent from my Windows Phone

From: ezekiel kunyaranyara
Sent: 25-03-2013 12:55
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Kusoma India

Kumekuwa na minong'ono kwamba hii ni njia mojawapo ya People trafficing ya kwenda ASIA hasa vijana, je hapa unatuondolea wasiwasi huo ili tuwaruhusu vijana wetu waanze kuomba?
 
K.E.M.S.
From: Ally Ahmed <aahmeda50@hotmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, 25 March 2013, 0:55
Subject: [wanabidii] Kusoma India

Salaam!
Za asubuhi!Nafasi za masomo kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na cha tank nchini India kwa gharama nafuu.
Kumpeleka mtoto nchi nyingine si kwa matajiri peke yake bali hata kwetu sisi tunaotaka kuwapatia watoto wetu elimu bora.India ni sehemu ambayo mtoto atafursa ya kujitegemea na kuona maisha tofauti inayomjenga mtoto kuwa na fikra na kumtoa katika dimbwi lakutegemea na kumpeleka katika upande wa kujitegemea.
India na katika moja ya ambayo wanajali elimu na hawana migongano mingi ambayo inamuathiri mwanafunzi akiwa huko.Walimu wenye kulazimishwa kumaliza syllabus kwa kuhakikisha wanafunzi wote wanaelewa na kufanya vizuri na hakuna swala la maandamano wala ugomvi aina yoyote unaoruhusiwa Chuo.
Hizi ni baadhi ya course zitolewapo chuoni hapo kwa waliomaliza form 4;
PCMB - Physics, Chemistry, Mathematics, Biology
PCMC - Physics, Chemistry, Mathematics, Comp. Science
PCME - Physics, Chemistry, Mathematics, Electronics
PCBH - Physics, Chemistry, Biology, Home science
•Optional Subjects Combination: Commerce Stream
CSBA - Computer Science, Statistics, Business Studies, Accounts.
CEBA - Computer Science, Economics, Business Studies, Accounts.
HEBA - History, Economics, Business Studies, Accounts.
•Optional Subjects Combination: Arts Stream
HEPK - History, Economics, Psychology, Kannada.
HEPP - History, Economics, Psychology, Political Science.
HEPS - History, Economics, Political Science, Sociology
Na kwa waliomaliza form 6;
•B.Sc. Biotechnology, Genetics, Biochemistry
•B.Sc. Biotechnology, Chemistry, Zoology
•B.Sc. Biotechnology, Chemistry, Botany
•B.Sc. Genetics, Microbiology, Biochemistry
•B.Sc. Genetics, Biochemistry, Biotechnology
•B.Sc. Microbiology, Chemistry, Zoology
•B.Sc. Biochemistry, Microbiology, Botany
•B.Sc. Computer Science, Mathematics, Electronics
•B.Sc. Computer Science, Mathematics, Physics
•B.Sc. Computer Science, Mathematics, Statistics
•B.Sc. Electronics, Mathematics, Physics
•B.Com. Bachelor of Commerce
•B.C.A. Bachelor of Computer Applications
•B.A Journalism, Psychology, Optional English
•B.A Journalism, Political Science, Optional English
•B.B.M. Bachelor of Business Management.
Kwa waliomaliza form 4 course ni ya miaka miwili ambayo baada ya hapo ataweza kusoma degree na tution fees ni $3000 kwa miaka yote miwili.
Na kwa waliomaliza form 6 course zote ni $5500 kwa miaka yote mitatu.Miongoni mwa baadhi ya vyuo hivyo bora India.
Website: www.karnatakaeducationtrust.com na www.iadcollege.com
Contact us for admission
aahmeda50@hotmail.com au 0655492431.

Sent from my Windows Phone
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment