Wednesday 6 March 2013

Re: [wanabidii] Re: KIGWANGALA AFUNGUKA....AMA NIJIUZULU AU?

Tony, ahsante. Kuna watu huwa wanajiona kuwa wako smart sana na wengine wote ni wababaishaji tu! Ni upotofu mkubwa sana kudhani hivyo. Wangejifunza kisa cha kwenye quran cha L'hadhr na Nabii Mussa (asw) wangebadilika. Nabii Mussa alidhani na kuamini kuwa hakuna anayemfikia yeye kielimu na akamuuliza Mungu 'hivi kuna mtu ananishinda elimu mimi kweli katika viumbe vyako? (Maana yeye alikuwa akiongea na Mungu moja kwa moja). Mungu hakumjibu alimwelekeza mahala pa kwenda akakutane na mtu, na ndipo akakutana na huyo L'hadhr...kwa ufupi alishangazwa!

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 7 Mar 2013 07:22:33
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: KIGWANGALA AFUNGUKA....AMA NIJIUZULU AU?

HK

Naona mnasoma sehemu/nchi moja na yeye. Hongereni sana.
------Original Message------
From: hkigwangalla@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: KIGWANGALA AFUNGUKA....AMA NIJIUZULU AU?
Sent: Mar 7, 2013 09:57

Hahahaaaa Chambi Chachage, sinaga tabia ya kufanya hivyo, na nakushangaa sana kwa nini umeling'ang'ania hilo jambo hata baada ya maelezo niliyotoa kipindi kile. Nimeagiza hicho kitabu ili nisome nione na kuelewa unachokisema nini msingi wake haswa. KTY, Sasa hivi nasoma PhD pale UCT, na nimeishaandika thesis 3, scientific papers 7, makala zaidi ya 30 kwenye magazeti, ripoti zaidi ya 20 na naandika vitabu viwili (nkimaliza ntakupa upitie uone kama nitakuwa nimeiga ama ni orijino in your own perspectives!) - mimi ni mwanazuoni ninayejitengeneza kwa jitihada za kusoma na kufuata maadili ya kazi za kisomi, siwezi copy kazi ya mtu kwa kutafsiri - that is too low aisee! Give me my respect walau a bit! Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania From: Chambi Chachage <chambi78@yahoo.com> Sender: wanabidii@googlegroups.com Date: Wed, 6 Mar 2013 22:05:04 -0800 (PST) To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>; mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com Subject: [wanabidii] Re: KIGWANGALA AFUNGUKA....AMA NIJIUZULU AU? Kila la heri ila hiyo alma mata yangu ikigundua unadesa kwa kutafsiri (plagiarizing by translation) kama ulivyofanya kwenye hiyo makala yako hapo chini watakufukuza na hata kukufunga; kuwa muungwana wa taaluma, waandikie kina Prof. Acemoglu kuwaomba msamaha na mwambie Makunga atoe tangazo kwenye gazeti la Mwananchi na waahidi kuwa kuchuja kutaongezeka: "Hizi tofauti zinazoonekana leo siyo za kihistoria. Na kwa hakika hazikuwepo kabla ya ile vita kuu ya pili ya dunia. Kilichotokea baada ya mwaka 1945 ni kwamba hizi serikali mbili, ya Kusini na ile ya Kaskazini zilifuata mifumo miwili tofauti ya kiuchumi, moja ilijenga mfumo wake kufuatia mfano wa kiliberali wa soko huria lililoruhusu uhuru wa masoko na mitaji kama ule unaofuatwa na nchi za magharibi na marekani, na nyingine, Korea ya Kaskazini, ilifuata mfumo wa kikomunisti. Japokuwa marais wa kwanza wa Korea ya Kusini hawakuweka mfumo wa kisiasa wa kidemokrasia, wen
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment