Monday 11 March 2013

RE: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?

Ndugu wanabidii, fungua macho muone.  Kwa muda wa miaka karibu ya hamsini, Kenya imetawaliwa na maraisi wanne na wote wanatoka kwenye makabila mawili au kanda mbili Cental na Rift Valey. Wale wanaojiona ni Wakenya zaidi ya wakenya wengine kwa sababu walipigania uhuru kwa kupigana na mzungu na wamepata fursa ya kupora rasimali za Kenya kwa kusaidiwa na Raisi wao wa Central wametoa maraisi watatu. Wale wenye kura nyingi kwa ajili ya wingi wao lakini hawajaona mwanga kama wengine wametoa Raisi mmoja.  Hamjaona kuna walakini na kwa msingi huu wajanja watatumia mwanya huu wa kuwahadaa makabila haya mawili na wakaweza kupata wakitakacho bila tatizo kama Ruto na Uhuru walivyofanya ili kujiokoa na pingu za ICC na vile vile kulinda utajiri wao? Miaka kumi iliyopita Ruto alikuwa lofa wa kutupa lakini leo ni tajiri wa kuotea mbali na asili mia 70 ya utajiri wake ameupta miaka 3 iliyopita. 

Kenyatta sio Lowasa na Lowasa sio Kenyatta na mazingira ya siasa ya nchi hizi mbili ni tofauti kabisa hivyo tafuteni kitu kingine chenye mshiko cha kuzungumzia kwenye jamvi badala ya kupoteza muda wenu bure. Nahitimisha

Cheers

Herment A. Mrema  

Date: Mon, 11 Mar 2013 03:00:59 -0800
Subject: Re: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?
From: ribahati@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Jacob Zuma alikuwa na kasfa nyingi sana na alianddamwa sana na Mbeki. Lakini watu walimtaka vile vile. Mtizamo wa wachambuzi wengi humu sio mtizamo wa wengi. Siku hizi watu wanajua kuchambua baya na zuri na hata kama ni baya lakini kinnafaa kwa jambo fulani basi bora. Rais hatarajii kuwa malaika asiyekuwa na makosa, ni binadabu anajetakiwa kujitambua na kung'amua kama ana uwezo wa kuwaongoza wananchi. Ni vizuri kuwa na wagombea wenye uwezo kutoka kambi mbili ili kuwe na ushindani wa ukweli. Uchaguzi wa hapa Tz hauna upinzani. Labda kule Zanzibar kidogo. Kenya hadi siku moja kabla ya matokeo hakuna aliyekuwa na uhakika wa kushinda. Hapa kwetu hata ukienda kupiga kura matokeo yanajuliana. Mfumo wetu ni kama wa China, penda usipende atakayeteuliwa CCN ndiye. So far ndivyo naamini. Wapinzni wangetengeneza coalition ya nguvu na ya kisomi ingekuwa safi. Ingeleta maana ya ushindani, ingeleta changamoto, watu wangekuna vichwa, wengi wangejiandikisha na kuhakikisha wanapiga kura. Bado kwetu hakuna ladha na hamasa ya kupiga kura. Labda kwa maeneo machache kama Arusha, Mbeya, Mwanza, Kigoma tena huko si kwa level ya urais ni level ya uwakilishi tu. Tunatakiwa tupige kura katika hali ya ushindani. Kwa hiyo vyama husika vingeweka pia washindani wanaouzika kwa watanzania wote kwani Tanzania hakuna karata ya ukabila. Unapokuwa na msururu wa wagombea urais tena wengine wanajulikana tu wakati wa uchaguzi hata majina hayafahamiki...... Kukiwa na ushindani kama Marekani, Uingereza, Ujerumani..... unakuta ushindani ni mkubwa na kipindi cha kampeni kinakuwa na maana kwa kila mwananchi. Hapa kwetu kampeni zinaanza wengine hatujui, zinaisha hatujui, anaapishwa hatujui..... yaani hakuna mwamko na hii imechangiwa sana na vyama vingi vinavyoenda tuuuuu. Kwa kuwa kuna kugombea basi mtu anagombea urais bila kuwa na strategies na kuweka uwiano kama unauzika au sera zako zinauzika. Ni vizuri kuwa na ndoto lakini ndoto hizi zinatakiwa zifanyiwe critical analysis, ushauri wa kisiasa, siku hizi kuna maprofesa wengi tu, ..... Siasa sio bahati na sibu, siasa ni career, ni kazi hasa, ni investment......

2013/3/10 xavery njovu <njovucom@gmail.com>
DR  HK  na  Watanzania  wengine

ENL  ni  mtuhumiwa  tu.  Tena   mtuhumiwa  wa  maneno  ya  Watu.
Hakuna  hata  mahakama yenye  file  yake  kuwa  yeye  ni  mtuhumiwa.
Ukiwa  mtuhumiwa   wa  aina  yoyote ya   kashfa  au   mashitaka  bado
una haki ya  kugombea  popote  pale  na  hakuna wa kukuzuia. Lakini
mtuhumiwa  huyu   EL  anatuhumiwa  zaidi  na baadhi  ya  wanaCCM
hivyo  kwangu  mimi  naita  conflict  on interest. Hebu wekeni
jamvini tuhuma  zaidi   za  EL  ambazo  ni zaidi ya  richmond  lakini
 Kumbuka  hata akiwa  na  tuhuma  milioni  moja  ni tuhuma tu
hazimzuii  kuwa  mgombea  wa uraisi  kwa ticketi ya ccm. na  kuingia
ikulu kwa ticketi ya ccm

Regards

xn

2013/3/11  <hkigwangalla@gmail.com>:
> XN, mbona unaleta hoja za ajabu sana hapa? Kwani mimi nimemzuia asiwe Rais, ama ni adui yangu? Yeye akiwa Rais na awe tu, si ni yeye?! Mimi nasema amechafuliwa sana na hauziki kirahisi kwa wananchi. Kwa kuwa anajitahidi kujenga mtandao wake ndani ya CCM na kama ikatokea akashinda maana yake we will have to face matusi na kashfa kwenye kampeni na tutajitetea kwa siku zote 70 za kampeni huku wakiendelea kutuchafua! Je tuko tayari kwa hilo? Huyu mtu waliishamchafua siku nyingi sana, jamaa watakuwa wakipita kukumbushia tu. Mimi SIMUUNGI MKONO ng'o, na ni a matter of simple reasoning, ana kashfa nyingi sana na ninaipenda CCM na nchi yangu!
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> -----Original Message-----
> From: xavery njovu <njovucom@gmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 10 Mar 2013 15:33:47
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?
>
> haaaa  Dr HK
>
>
> Jiandae  ENL  kuwa  president  wako. Hivi utaresign  ubunge  yeye  akishinda
>
> Regards
> xn
>
> 2013/3/10  <hkigwangalla@gmail.com>:
>> MJL,
>>
>> Binafsi sina tatizo na Mzee Lowassa na uwezo wake kisiasa, in fact anatisha!
>> Kutisha huku kumemfikisha hapo alipo lakini nina mashaka na taasisi ya urais
>> kubaki CCM kama tutampa bendera apeperushe dhidi hata ya jiwe! Maana jiwe
>> litang'ara kuliko yeye, kwa jinsi wapinzani wake walivyofanya jitihada za
>> kumchafua na wakafanikiwa! Kwa hakika hasafishiki! Alilazimika kujiuzulu
>> u-WM kwa tuhuma, unaligeuzaje hili? Tukimteua Lowassa kusimama kwa tiketi ya
>> CCM, tutashindwa uchaguzi kabla hatujaondoka Dodoma!
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>> ________________________________
>> From: "mutabaazi lugaziya" <mjlugaziya@mail.com>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Sun, 10 Mar 2013 03:21:36 -0400
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?
>>
>>
>>
>>
>>
>> "Binafsi nashangaa
>> pia,kwani nini Lowasa amekua kimya mpk wakati huu akiacha tuhuma iza ufisadi
>> zimtafune kiasi hicho?"
>>
>>
>> Bwana Ngupula, hilo ndio swali la kujiuliza! Unadhani wanasheria hawajui?
>> Wanaoitetea Dowans/Richmond, kwa akili yako unadhani hawajui? Utaendelea
>> kushangaa sana.
>>
>> Ni "collective guilt conscience". Je atamshtaki nani, na hapo chama
>> kitabakije salama? Au atawashtaki wa Mwembe Yanga?
>>
>> Kwa mawazo yangu, watanzania wenye uwezo wa kutoa maamuzi, wachapa kazi,
>> wenye misimamo, wapo. Mathalan, Mawaziri wanaoitwa "machachari"(kwa viwango
>> vyetu vya utendaji kazi" sio watu wa siku nyingi serikalini. Kwa nini
>> tusifikirie ku "flash out" hawa ndugu waliokuwa serikalini tangu bado baadhi
>> yetu tuko sekondari. Leo tuna watoto ambao wako vyuoni, huku nchi ikiwa
>> haipigi hatua zozote kwenda mbele? Tunataka warejee ili wafanye nini ambacho
>> hawakupata fursa ya kukifanya?
>>
>> Kwa hilo la kukaa kimya, wanajuana. Baadhi wameshikilia sinia la wali,
>> wengine wana bakuli la mchuzi.Akimwaga mmoja, wanakosa wote!!
>>
>> MJL
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> --
> XAVERY  LANGA  NJOVU
>
> 0783 662681
>
> " IT IS MORE IMPORTANT  TO  USE YOUR  MIND TO THINK  THAN TO USE IT
> AS  A WAREHOUSE  OF  FACT"
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" IT IS MORE IMPORTANT  TO  USE YOUR  MIND TO THINK  THAN TO USE IT
AS  A WAREHOUSE  OF  FACT"

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment