Mungu Ibariki Tanzania
Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana
From: Gaudencia Ngetti <gaudencia.ngetti@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 11 Mar 2013 03:01:16 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?
Nasikitika sana kwa Watanzania kumlinganisha Mzee Lowassa na Uhuru Kenyata wa Kenya. Tukumbuke kwamba kauli au staili ya kampeni zilizomfikisha Uhuru alipo ni kujiunga na kundi la vijana na mwenzie William Rutto huku wakiita vijana wa Digitali huku Odinga akibaki kuwa mzee wa Analogi. Uhuru aliweza kuwateka vijana kuanzia na mavazi yake katika kampeni na kuonekana ni kijana kweli wa kisasa. Tutofautishe kuwatetea vijana na kufanana na vijana. Hili Lowassa hawezi maana umri tayari umemtupa mkono. Anoloweza Lowassa kutusaidia ni kumpata mgombea hatimaye Rais bora anayeweza kwenda na kizazi hiki cha facebook, twitter na BBM. Tukumbuke katika mdahalo wa kwanza wa Urais Odinga alimtuhumu Kunyatta kuwa hawezi kuongoza nchi kwa njia ya SKYPE akiwa ICC. Ni kauli hiyo ndiyo iliyommaliza baada ya kambi ya Jubilee kumuambia "tunataka kumfundisha mzee wetu namna ya kutumia skype maana amezeeka." Lakini tukiachana na hayo ya kampeni majukwaani, Uhuru hana kashfa nzito nzito za ufisadi kama Lowassa ukiacha landgrabing. Wengi tumefungwa macho na kumtazama Lowassa katika kashfa ya Richmond tu na kusahau mengi yasiyoandikika kwa kipindi hiki. Ni lazima tuwe makini mno tunapojaribu kufikiria mtu atakayekuwa kiongozi mkuu wa nchi maana huyu atakuwa jirani na Mungu kwa kuwa ndiye pekee anayeweza kutia saini mtu anyongwe hadi kufa. --- On Sun, 3/10/13, Ndimara Tegambwage <ndimara@yahoo.com> wrote:
|
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment