Wednesday 13 March 2013

Re: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?

Tufikirie mara 2 ndugu zangu wanabidii,
Nataka tu kujua,
Wakati kunatokea fujo 2007, Uhuru alikuwa anamuunga mkono Mwai Kibaki,
and he was having no interest katika nafasi ya urais, waliokuwa mbele
ni Kibaki na Raila, running mate wa Raila akiwa Ruto,

Uhuru ameingiaje kuua watu?? Kama Ruto ameingizwa kwenye kashfa ya
mauaji kwa nini asiunganishwe na Raila ambaye ndie aliyekuwa bosi
wake??

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment