Monday 11 March 2013

Re: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?

Nasikitika sana kwa Watanzania kumlinganisha Mzee Lowassa na Uhuru Kenyata wa Kenya. Tukumbuke kwamba kauli au staili ya kampeni zilizomfikisha Uhuru alipo ni kujiunga na kundi la vijana na mwenzie William Rutto huku wakiita vijana wa Digitali huku Odinga akibaki kuwa mzee wa Analogi.
 
Uhuru aliweza kuwateka vijana kuanzia na mavazi yake katika kampeni na kuonekana ni kijana kweli wa kisasa. Tutofautishe kuwatetea vijana na kufanana na vijana. Hili Lowassa hawezi maana umri tayari umemtupa mkono.
 
Anoloweza Lowassa kutusaidia ni kumpata mgombea hatimaye Rais bora anayeweza kwenda na kizazi hiki cha facebook, twitter na BBM.
 
Tukumbuke katika mdahalo wa kwanza wa Urais Odinga alimtuhumu Kunyatta kuwa hawezi kuongoza nchi kwa njia ya SKYPE akiwa ICC. Ni kauli hiyo ndiyo iliyommaliza baada ya kambi ya Jubilee kumuambia "tunataka kumfundisha mzee wetu namna ya kutumia skype maana amezeeka."
 
Lakini tukiachana na hayo ya kampeni majukwaani, Uhuru hana kashfa nzito nzito za ufisadi kama Lowassa ukiacha landgrabing. Wengi tumefungwa macho na kumtazama Lowassa katika kashfa ya Richmond tu na kusahau mengi yasiyoandikika kwa kipindi hiki.
 
Ni lazima tuwe makini mno tunapojaribu kufikiria mtu atakayekuwa kiongozi mkuu wa nchi maana huyu atakuwa jirani na Mungu kwa kuwa ndiye pekee anayeweza kutia saini mtu anyongwe hadi kufa.

--- On Sun, 3/10/13, Ndimara Tegambwage <ndimara@yahoo.com> wrote:

From: Ndimara Tegambwage <ndimara@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, March 10, 2013, 1:01 PM

Kulwa? Tangible!
 
Ndimara Tegambwage
Information and Media Consultant
P.O. Box 71775, Dar es Salaam
Tel: 255 (0)713614872
e-mail: ndimara@yahoo.com
www.ndimara.blogspot.com

From: KULWA MAGWA <magwakulwa12@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, March 10, 2013 3:51 PM
Subject: Re: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?

Kwa nguvu ya umma itawezekana, lakini kwa nini tumlinganishe Lowassa na Uhuru? Kwani Uhuru alikuwa/ana kashfa gani kiasi kwamba hakupaswa kushinda urais? au tunamtazama Uhuru kwa kuangalia/kufikiria kesi aliyofunguliwa na ICC? Binafsi nadhani Uhuru hana kashfa zinazoweza kumuweka katika kundi moja na Lowassa licha ya kwamba hata kashfa kubwa na pekee inayomwandama Lowassa ya Ruchmond haina uthibitisho ambao ni tangible.

2013/3/10 xavery njovu <njovucom@gmail.com>
haaaa  Dr HK

Jiandae  ENL  kuwa  president  wako. Hivi utaresign  ubunge  yeye  akishinda

Regards
xn

2013/3/10  <hkigwangalla@gmail.com>:
> MJL,
>
> Binafsi sina tatizo na Mzee Lowassa na uwezo wake kisiasa, in fact anatisha!
> Kutisha huku kumemfikisha hapo alipo lakini nina mashaka na taasisi ya urais
> kubaki CCM kama tutampa bendera apeperushe dhidi hata ya jiwe! Maana jiwe
> litang'ara kuliko yeye, kwa jinsi wapinzani wake walivyofanya jitihada za
> kumchafua na wakafanikiwa! Kwa hakika hasafishiki! Alilazimika kujiuzulu
> u-WM kwa tuhuma, unaligeuzaje hili? Tukimteua Lowassa kusimama kwa tiketi ya
> CCM, tutashindwa uchaguzi kabla hatujaondoka Dodoma!
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> ________________________________
> From: "mutabaazi lugaziya" <mjlugaziya@mail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sun, 10 Mar 2013 03:21:36 -0400
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?
>
>
>
>
>
> "Binafsi nashangaa
> pia,kwani nini Lowasa amekua kimya mpk wakati huu akiacha tuhuma iza ufisadi
> zimtafune kiasi hicho?"
>
>
> Bwana Ngupula, hilo ndio swali la kujiuliza! Unadhani wanasheria hawajui?
> Wanaoitetea Dowans/Richmond, kwa akili yako unadhani hawajui? Utaendelea
> kushangaa sana.
>
> Ni "collective guilt conscience". Je atamshtaki nani, na hapo chama
> kitabakije salama? Au atawashtaki wa Mwembe Yanga?
>
> Kwa mawazo yangu, watanzania wenye uwezo wa kutoa maamuzi, wachapa kazi,
> wenye misimamo, wapo. Mathalan, Mawaziri wanaoitwa "machachari"(kwa viwango
> vyetu vya utendaji kazi" sio watu wa siku nyingi serikalini. Kwa nini
> tusifikirie ku "flash out" hawa ndugu waliokuwa serikalini tangu bado baadhi
> yetu tuko sekondari. Leo tuna watoto ambao wako vyuoni, huku nchi ikiwa
> haipigi hatua zozote kwenda mbele? Tunataka warejee ili wafanye nini ambacho
> hawakupata fursa ya kukifanya?
>
> Kwa hilo la kukaa kimya, wanajuana. Baadhi wameshikilia sinia la wali,
> wengine wana bakuli la mchuzi.Akimwaga mmoja, wanakosa wote!!
>
> MJL
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" IT IS MORE IMPORTANT  TO  USE YOUR  MIND TO THINK  THAN TO USE IT
AS  A WAREHOUSE  OF  FACT"

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment