Sunday 10 March 2013

Re: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?

MJL,

Binafsi sina tatizo na Mzee Lowassa na uwezo wake kisiasa, in fact anatisha! Kutisha huku kumemfikisha hapo alipo lakini nina mashaka na taasisi ya urais kubaki CCM kama tutampa bendera apeperushe dhidi hata ya jiwe! Maana jiwe litang'ara kuliko yeye, kwa jinsi wapinzani wake walivyofanya jitihada za kumchafua na wakafanikiwa! Kwa hakika hasafishiki! Alilazimika kujiuzulu u-WM kwa tuhuma, unaligeuzaje hili? Tukimteua Lowassa kusimama kwa tiketi ya CCM, tutashindwa uchaguzi kabla hatujaondoka Dodoma!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: "mutabaazi lugaziya" <mjlugaziya@mail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sun, 10 Mar 2013 03:21:36 -0400
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] RE: káma Uhuru kaweza why not Lowasa?

 

 

"Binafsi nashangaa   pia,kwani nini Lowasa amekua kimya mpk wakati huu akiacha tuhuma iza ufisadi   zimtafune kiasi hicho?"          Bwana Ngupula, hilo ndio swali la kujiuliza! Unadhani wanasheria hawajui? Wanaoitetea Dowans/Richmond, kwa akili yako unadhani hawajui? Utaendelea kushangaa sana.     Ni "collective guilt conscience". Je atamshtaki nani, na hapo chama kitabakije salama? Au atawashtaki wa Mwembe Yanga?     Kwa mawazo yangu, watanzania wenye uwezo wa kutoa maamuzi, wachapa kazi, wenye misimamo, wapo. Mathalan, Mawaziri wanaoitwa "machachari"(kwa viwango vyetu vya utendaji kazi" sio watu wa siku nyingi serikalini. Kwa nini tusifikirie ku "flash out" hawa ndugu waliokuwa serikalini tangu bado baadhi yetu tuko sekondari. Leo tuna watoto ambao wako vyuoni, huku nchi ikiwa haipigi hatua zozote kwenda mbele? Tunataka warejee ili wafanye nini ambacho hawakupata fursa ya kukifanya?     Kwa hilo la kukaa kimya, wanajuana. Baadhi wameshikilia sinia la wali, wengine wana bakuli la mchuzi.Akimwaga mmoja, wanakosa wote!!     MJL   

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment